TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Hahahaha nimecheka mpaka nimewakera waliojirani yangu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ao kina Mashinji na Lijuakali ndo wameambulia ukuu wa Wilaya, usaliti wao iziikwaltu ukuu wa Wilaya
 
Naikumbuka hiyo mkuu....naikumbuka mno! Alikuwa font page almost 3mths
 
Mipakani kuna tensions sana ndio mana hata RC Ni Major General Charles Mbuge kule hakupaswi kuwa led by Civilian, Wanajeshi wanafaa sana
 
Kakangu Kanali Wa Jeshi Kateuliwa Kuwa DC, Kanali Wa Jeshi Anakuwaje Disiii [emoji846][emoji846][emoji846]
 
Kuwa na maDC wa style ya kina Godwin Gongwe na Jerry Muro ni kuendelea kurudi nyuma kimaendeleo kwa kasi ya ajabu. Hao jamaa hawafai na hawajawahi kufaa. Ni watu wakupenda sifa za kijinga na umaarufu wa vyombo vya habari.
wanapenda sana kamera hao
 
Wakoloni walikuwa makiini katika tuezi kuliko viongozi wetu wa leo wanaotumia kigezo cha ukada na kuikomoa/kuihujumu CHADEMA kufanya uteuzi.

Badala ya kuiga mazuri ya wakoloni, tumeiga ya kijinga kama kuweka watu ndani kwa amri ya DC au RC.

Ngozi nyeusi iko duniani kimakosa!

 
Mambo ya kugawiana mavyeo yako vyama vyote
 
Kigezo kikubwa kwa sasa ni ukada
 
Tumchukulieni tu Yeye hii nafasi ya Uraisi hakuilalia amebahatika tu ,sasa tumwacheni afanye atakavyo alimuradi asivuke mipaka. mama anagawa tu, nafasi yaani unaweza kuamka ukaukwaa ubalozi,
 
Wahuni huku unakufa na umasikini?

Hizi akili au matope?
Niko na mbibi wa kiarusha hapa nmemuonyesha comments yako akaniuliza huyo ( wewe) chalii ni wawapi? Mkamjibu ni mdaslamu, akaniambia nikuteme. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mambo ya kugawiana mavyeo yako vyama vyote
Afadhali ya CCM kuliko kwa baba mkubwa, mmiliki wa chama. Lazima ufungue kufuli au uwe mKaskazini Mashariki ya nchi. Halafu eti baba wa domokrasia.
 
Afadhali ya CCM kuliko kwa baba mkubwa, mmiliki wa chama. Lazima ufungue kufuli au uwe mKaskazini Mashariki ya nchi. Halafu eti baba wa domokrasia.
Ukiangalia CDM wanavyofanyaga teuzi za viti maalum utajua hawana tofauti yoyote na CCM.
 
Hizo ni shida zako kila mtu apambane na hali yake.

Hamia hizo nchi hukatazwi.
Hizo ni shida za 90% ya vijana nchini na wewe mmojawapo
Lakini siasa za kipuuzi za kibongo zimekuzoesha umasikini ili uone ni sehemu ya maisha yako
Na sasa hivi viteuzi vya wanaojikombakomba kwenye hizo siasa uchwara ndio zimekuwa kama bahati nasibu ya maisha.
Hawa makende walioteuliwa watafanya nini kubadilisha maisha ya watu kwenye maeneo ya uteuzi zaidi kwenda kuiba, kunyanyasa na kuua (Sabaya, Makonda) ? ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…