Na ndio DC sasa,Kwa mnaokumbuka Itv jackpot bingo wale wadada warembo wa mujini walikuwa wanchezesha ile bahato nasibu ya mzee Mengi kama kina Teddy kalonga basi alikuwepo huyu Dc mpya ambaye kama mwaka mmoja nyuma alikuwa ameshinda miss Tanzania anaitwa Basilla mwanukuzi..
Unashamhilia wanaume wenzako wakikosa teuziUnashangilia wanaume wenzako kuteuliwa tena waliotoka upinzani
Nafikiri Naye alishirikiNiki wa Pili ndio huyu ana wimbo unaitwa "Mambupu"?
Hii nchi kupiga hatua ni pale tu tutapota katiba na CCM kuondolewa madarakani na wapiga kura.
Vituo hivi:
View attachment 1824714
Ukiacha baadhi ya waungo mkono juhudi, waliobaki wengi ni form 4 kisha wakasoma Certificate na baadae Diploma leo wamekuwa watawala.
Kwani kinacho ongoza ni ni cheti au mtu? Ondokaneni na mawazo ya kijinga na ya kitumwa hayo , hao wenye master degree na phd si ndio wanatumbuliwa kila siku kwa kufanya vioja vya ajabu kabisa .Ukiacha baadhi ya waungo mkono juhudi, waliobaki wengi ni form 4 kisha wakasoma Certificate na baadae Diploma leo wamekuwa watawala.
Inaenda kama gari bovu!Hii nchi imeingia Choo cha kike
Katiba mpya haiwezi kupatikana kwa kupiganiwa na CHADEMA.Huu ni muda bora zaidi kwa Chadema kuongoza jitihada za kudai katiba mpya kwani wamedhamiria, wana nia na wako organized.
Jukumu hili haliwezi kuwa haphazard.
Kwani kinacho ongoza ni ni cheti au mtu? Ondokaneni na mawazo ya kijinga na ya kitumwa hayo , hao wenye master degree na phd si ndio wanatumbuliwa kila siku kwa kufanya vioja vya ajabu kabisa .
Katiba mpya haiwezi kupatikana kwa kupiganiwa na CHADEMA.
Hii nchi kupiga hatua ni mpaka pale tutapota katiba mpya na CCM kuondolewa madarakani na wapiga kura.
Vituo hivi:
View attachment 1824714