Doctizo Mtengwa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2019
- 828
- 1,513
Mama angemuacha jamaa hapo hapo...Komanya kaliwa kichwa.
Jerry Murro kahamishiwa Ikungi.
Waliokuwa CHADEMA wameula.
Alishaweza kuendesha vizuri tu,
Anajichanganya sana na watu huyu jamaa
Wiki moja sasa imepita tangu aje shule ya seliani, kuzindua vyoo vya wanafunzi
Na wala hakuwa na makuu pia hakuja ki kikuu ni yeye na Dereva wake ...