Doctizo Mtengwa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2019
- 828
- 1,513
Mama angemuacha jamaa hapo hapo...Komanya kaliwa kichwa.
Jerry Murro kahamishiwa Ikungi.
Waliokuwa CHADEMA wameula.
Acha UKUDA wewe kwani unapewa tuzoHii tabia sio nzuri maana kila nikileta habari mnaiondoa
Mimi nimeleta taarifa kamili
Na mwingine ameleta tetesi.
Tunalala π€£π€£π€£π€£Watu walikuwa roho juu kusubiri hiyo taarifa toka miezi miwili iliyopita, leo walale sasa.
Pole sana kada mtiifu.Siasa ndio ajira pekee zilizobakia .
Yaani serikali imeshindwa kutengeneza ajira imebakia kuteua watu nafasi za kisiasa.
Shame.
Lijua Libutu Mtoto wa Mjini?Mwaipaya
Fatma Nyangasa
Nassari
Msando
Kalist lazaro waula
Aisee...na wa Temeke kaenda wapi
Kuna form four failures wenye Diploma za Utangazaji humo,π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Sasa hivi ndio unaona vizuri sana. Inaonekana umewekwa BENCH sasaπ€£
EtiNdio yanasomwa TBC
Kwa mfano huyo Zakaria na failure yake ya form four na diploma ya utangazaji,Pole sana kada mtiifu.
Kwakweli inauma kuona akina Nasari, Mashinji wanateuliwa nyie makada vindakindaki mnasugua benchi.
Salam ziwafikie Etwege johnthebaptist Wakudadavuwa Laki Si Pesa
Wapi Jerry Muro jamani?Mwingine atakayefurahi ni Shabiby baada ya "mtesi" wake, DC wa Gairo kutupwa njeπ
VibokoMwingine ambaye kibarua chake kimeota "nyasi" ni yule DC "mjivuni" wa Arusha, Bwana Kihongosi[emoji3]
Utakaa bench mpaka matako yaote suguKuna form four failures wenye Diploma za Utangazaji humo,