Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Kumbe [emoji849] basi ule ubongo movie mi namchukuliaga hivo hivo, ana elimu gani?
Eve hujabahatika shosht nijisogeze sogeze?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe [emoji849] basi ule ubongo movie mi namchukuliaga hivo hivo, ana elimu gani?
Jokate , Basila Mwanakuzi(x- Miss Tanzania 1998), Bulembo. Uzuri na Urembo unachangia. Si Ajabu DAs tukamuona Mobeto, sepetu, na Iwoya.
Kama vile hizi teuzi zote na zilizo pita zina base dar au fani fulani hii tu ni kero kubwa sana kwangu
Hv Pasco aliwakosea nn hawa jamaa wa CCM!Loooh! Ndugu yetu Paschal Mayala ana mkosi gani jamani?
Waandishi kibao wamesombwa fuso inajaa lakini yeye hakuonekana
Kihongosi kapelekwa singida jmn,angalieni vzrKasesera kaliwa kichwa
Yule Mwehu wa Arusha Bongo Flavour nae kaliwa Kichwa
Akuna kijana wa wa ccma analalamika, wanaolalamika kupitia hiyo mataga ni bavicha ambao walitaka hao mnaowaita wasaliti wapate shida baada ya kutoka huko kwenye sacos yenuKuna watu ni wanafiki sana Kwahiyo mama kuteua ma-DC imewauma sana?mbona kipindi cha Jpm hamkulalamika?
Kipindi kile watu waliteuliwa hamkulalamika sasa samia anateua mwalalamika kwanini akifanya samia inakua nongwa lakini akifanya magufuli inakua ni sawa?
Au ndo mkuki wa nguruwe
Mbona kipindi cha jpm akiteua hamkunyanyua pua zenu?
Tena wanaolalamika ni vijana wa mataga ambao kipindi cha jpm walifurahia teuzi
Wacheni unafiki acheni mama achape kazi
Ana chuki za wazi juu za gabriel Zakaria.....failure zimekujaje hapo sasa, hata km ni elimu miaka yote aliyofanya kazi ana uhakika hajawai kujiendelezaAliokwambia ili uongoze lazma uwe na 1 ya 7 ama Gpa ya 5.0 ni nani?
We unaona hayupo lakini ndo ivo ishakuwa the iron lady in the house..ndo atakuongozaHakuna Rais hapo nchi ipo ipo tu Mungu atusaidie Watanzania.
Kwahiyo hapo unaona wivu ama unafurahi.Huu mchezo hauhitaji hasira kuna watu walidhani kifo cha Magufuli ni mafanikio yao walijidanganya sana kinyume chake imekuwa kweli. Magufuli aliibua wapinzani waliokimbilia ng'ambo kwa uanaharakati wa uongo
Yaani mama ameamua kuimalizia CHADEMA hakuna namna CHADEMA tena itaibuka yaani imeshazama kabisa na inapiga piga miguu
operesheni yao ya haki mama anaifanya kwa Vitendo
Sipo best, nasikilizia udas. Kama sipo narudi kwetu kulima make kilimo kinalipaEve hujabahatika shosht nijisogeze sogeze?
AkajiajiriAnko Paschal vipi jamani?
Hana connection na RSO na DSO hawezi tambuliwa.Kuna kitu cha kujifunza sana katika hili la ndg Paschal, japo wengi wanashangilia kwa jamaa yangu huyu kukosa teuzi siku nenda rudi ila behind the curtain kuna jambo.
Si kwamba wapeleka majina na wanaochuja hawamuoni NO wanamuona sana tu ila something hiden wanakutana nacho wakifikisha jina meza ya pili kabla ya meza ya mwisho kwa anayepitisha.
Jamaa yetu huyu asubiri kwanza, maana red pen ilikosea ikatua kwenye jina lake.
Endelea kuweweseka tu, ulitaka upewe wewe URAIS?Hakuna Rais hapo nchi ipo ipo tu Mungu atusaidie Watanzania.
Unamaanisha waheshimiwa wamepata teuzi za ukuu wa Wilaya halafu wasifurahi sana, eti kwa kuhofia kutengulia!??? Kweli mchawi si lazima arugeruge usiku na kienge cha moto.Niwapongeze wote mlioteuliwa
Mmetumwa KUFANYA kazi niwajuze TU msifurahie Sana PENYE UTEUZI utenguzi upo
Mtanguluzeni Mungu
Kubalini USHAURI
Heshimuni mliowakuta
Mjue Sana Mungu hapomlipo
Alldbest
Na kuondoka unaondoka hivyo hivyo...Hahahah raha sana unalala na raum unaamkia kwenye V8 yenye king’ora pamoja na mabodyguard wawili 😅😅😅