TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Jokate , Basila Mwanakuzi(x- Miss Tanzania 1998), Bulembo. Uzuri na Urembo unachangia. Si Ajabu DAs tukamuona Mobeto, sepetu, na Iwoya.

Umlinganishe Basila na Mobeto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa Nassari Mama kaheshimu wosia wa mwendazake maana alihaidi kumpa kazi
 
H
Kuna watu ni wanafiki sana Kwahiyo mama kuteua ma-DC imewauma sana?mbona kipindi cha Jpm hamkulalamika?

Kipindi kile watu waliteuliwa hamkulalamika sasa samia anateua mwalalamika kwanini akifanya samia inakua nongwa lakini akifanya magufuli inakua ni sawa?

Au ndo mkuki wa nguruwe

Mbona kipindi cha jpm akiteua hamkunyanyua pua zenu?

Tena wanaolalamika ni vijana wa mataga ambao kipindi cha jpm walifurahia teuzi

Wacheni unafiki acheni mama achape kazi
Akuna kijana wa wa ccma analalamika, wanaolalamika kupitia hiyo mataga ni bavicha ambao walitaka hao mnaowaita wasaliti wapate shida baada ya kutoka huko kwenye sacos yenu
Na sasa mtawaheshimu tu.

Hata kipindi cha jpm wakiokuea wanalalamika ni.bavicha wakisema jpm anateua wasaliti wakati kuna vijana ccm wanakosa uteuzi.
 
Aliokwambia ili uongoze lazma uwe na 1 ya 7 ama Gpa ya 5.0 ni nani?
Ana chuki za wazi juu za gabriel Zakaria.....failure zimekujaje hapo sasa, hata km ni elimu miaka yote aliyofanya kazi ana uhakika hajawai kujiendeleza
 
Mimi sitaki kujadili majina sababu sio issue tatizo huu mfumo wetu hauko sawa ningependa kujuwa gharama za teuzi kama hizi je inapotokea mabadiliko kama haya kama serikali inaingia gharama ngapi? hawa walioachwa wanakuwa out katika payrol au huwa inakuwaje nikijuwa haya naweza kuwa na mchango mzuri.

Niliona Chelsea walileta kocha mpya kikosi kile kile kilikuwa kinafanya vibaya wakawa mabingwa sasa je ufanisi ni kubadilisha kila kitu au hali ya kuonesha madaraka yako kuwa hawa ni wangu nimewateua kutafuta loyalty.

Mimi sielewi kwa kweli teuzi ni nyingi utasema kimeshinda chama kingine unaweza kuwatoa wale waliovurunda au kutofikia malengo lakini kubadili watu tu halafu utegemee utashi wa mmoja mmoja kuleta tija sidhani kwa kweli. lakini kubwa gharama zikoje hapa?

Mfumo mzuri wowote ni endelevu kama umefanya kazi miaka mingi kwa uhodari unastahili reward lakini hii litaathiri watu wengi kuona nafasi ya kupata nafasi fulani ndogo japo najuwa hii nafasi kisiasa zaidi lakini pia kuna watu maisha yao wamekipigania chama hichi sijui nafasi yao iko wapi. maswali mengi muda mdogo.
 
Huu mchezo hauhitaji hasira kuna watu walidhani kifo cha Magufuli ni mafanikio yao walijidanganya sana kinyume chake imekuwa kweli. Magufuli aliibua wapinzani waliokimbilia ng'ambo kwa uanaharakati wa uongo

Yaani mama ameamua kuimalizia CHADEMA hakuna namna CHADEMA tena itaibuka yaani imeshazama kabisa na inapiga piga miguu

operesheni yao ya haki mama anaifanya kwa Vitendo
Kwahiyo hapo unaona wivu ama unafurahi.
 
Kuna kitu cha kujifunza sana katika hili la ndg Paschal, japo wengi wanashangilia kwa jamaa yangu huyu kukosa teuzi siku nenda rudi ila behind the curtain kuna jambo.

Si kwamba wapeleka majina na wanaochuja hawamuoni NO wanamuona sana tu ila something hiden wanakutana nacho wakifikisha jina meza ya pili kabla ya meza ya mwisho kwa anayepitisha.

Jamaa yetu huyu asubiri kwanza, maana red pen ilikosea ikatua kwenye jina lake.
 
Kuna kitu cha kujifunza sana katika hili la ndg Paschal, japo wengi wanashangilia kwa jamaa yangu huyu kukosa teuzi siku nenda rudi ila behind the curtain kuna jambo.

Si kwamba wapeleka majina na wanaochuja hawamuoni NO wanamuona sana tu ila something hiden wanakutana nacho wakifikisha jina meza ya pili kabla ya meza ya mwisho kwa anayepitisha.

Jamaa yetu huyu asubiri kwanza, maana red pen ilikosea ikatua kwenye jina lake.
Hana connection na RSO na DSO hawezi tambuliwa.
 
Niwapongeze wote mlioteuliwa
Mmetumwa KUFANYA kazi niwajuze TU msifurahie Sana PENYE UTEUZI utenguzi upo

Mtanguluzeni Mungu
Kubalini USHAURI
Heshimuni mliowakuta
Mjue Sana Mungu hapomlipo

Alldbest
Unamaanisha waheshimiwa wamepata teuzi za ukuu wa Wilaya halafu wasifurahi sana, eti kwa kuhofia kutengulia!??? Kweli mchawi si lazima arugeruge usiku na kienge cha moto.
 
Back
Top Bottom