fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
AbsolutelyKatiba mpya haiwezi kupatikana kwa kupiganiwa na CHADEMA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AbsolutelyKatiba mpya haiwezi kupatikana kwa kupiganiwa na CHADEMA.
Kwenye kudai katiba mpya binafsi namuamini zaidi yule askofu kuliko Chadema na genge lao la wahuni.
Wananchi kawaida tunataka katiba mpya iondoe huu upuuzi tena haraka lakini Chadema ni CCM-B so hawana jipya Zaid ya kuendekeza matumbo mpaka kusalitiana
Labda kama alikufundisha wewe!Taahira aliyejufundisha jinsi ya kutumi VPN
Watu wengi wanahitaji Katiba bora lakini Chadema siyo chama chenye uwezo wa kuorganize watu wote towards a common goal.Mkuu hata Bashiru, Pole pole, Majaliwa na hata Mataga wakereketwa wanaihitaji katiba mpya. Anatakikana mratibu tu wa shughuli hii. Hayuko bora kuliko Chadema kwenye hili kwa sababu zilizoorodheshwa kwenye uzi huu hapa chini:
Tathmini: Kesho bora ya Tanzania inategemea uwepo wa Katiba Mpya
Mabibi na mabwana ni ukweli usiopingika kuwa kesho yetu iliyo bora zaidi inategemea sana uwepo wa katiba mpya. Kwa hali tuliyofikia kunahitajika zaidi mustakabala mpya wa utangamano. Ni wazi kuwa hayupo mmoja ambaye kwa dhati yake asiyekwazika kabisa kwa lolote na katiba iliyopo labda tu, kwa...www.jamiiforums.com
Au nasema uongo ndugu zangu?
Naomba ni add mkuu kwenye hlo groupGroup la WhatsApp la CCM wamejitoa kama 18 hivi, linaitwa "CCM yetu"
Watu wengi wanahitaji Katiba bora lakini Chadema siyo chama chenye uwezo wa kuorganize watu wote towards a common goal.
Chadema ni chama ambacho siku zote huwa wanaona wao kama wao wanatosha kabisa, wao ndio wapenda haki, wazalendo wa kweli, wengine wote ni ovyo na wasaliti...
Mataga yamechanganyikiwa kama yote kwa kukosa uteuzi wakati walionunuliwa kutoka upinzani wakipeta.Unashamhilia wanaume wenzako wakikosa teuzi
Sawa tusubirie Chadema wapiganie Katiba mpya mpaka ipatikane.Mkuu kwamba?
"Ili Katiba mpya ipatikane bila machafuko inahitajika lobbying na ushawishi mpaka ndani ya CCM yenyewe."...
Sawa tusubirie Chadema wapiganie Katiba mpya mpaka ipatikane.
Wengine tunasubiri kuwaona wakisusia chaguzi zote mpaka pale itakapopatikana tume huru kama walivyoahidi.
Sawa tusubirie tuone namna CCM watakavyokubali kuunda Tume huru ya uchaguzi yenye uwezo wa kuwafurahisha Chadema.Kwa hakika hakuna haja ya kushiriki chaguzi viuno macho hizi zisizokuwa na tume huru wala katiba mpya.
Huo nao ni ukweli mwingine mchungu.
Huu muungano ni tatizo. Watu wanaoonekana kubebwa zaidi, ndio wanaolalamika zaidi. Msipouvunja nyinyi wazee, tutauvunja sisi wanenu!
Hii ni ndoa ya kulazimishwaKuna hoja ilioandikwa hapa,kulalamika na kuhoji iweje Mzanzibari kateuliwa kuwa mkuu wa wilaya,akataja Tanganyika.Pia akaendelea kudai Tamisemi haipo katika wizara za Muungano...