Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

Tunamlazimisha huyu mama atupende ila huyu mama hatupendi,Mama ni Mzanzbara na inajulikana fika kwamba wabara na watu wa huko katikat ya maji tunalazimisha tu undugu...Ishu ya Udini hiyo tukubaliane tu nayo.
Akina John wakijaa kwenye mkeka hakuna shida ila ikitokea kuna akina John 20 na akina Ali 10 tayari kuna udini. Mmezoea kuwa peke yenu akiteuliwa Muislam mmoja tu povu kama lote. Hii nchi si yenu peke yenu.
 
Sasa hawa wote walikuwa wanatokea Mikoa ya Pwani tu!
 
Shida ndio unaiona leo
Hiv wewe kumbe hata sio msomi au mtu wa tafiti
Toka mwaka 1961, 88% mpaka leo yabwatumish ni wakristo.na watu wametoa mpaka takwimu.upo wap mzee
 
Sasa hawa wote walikuwa wanatokea Mikoa ya Pwani tu!
Hata kama wote hawakutoka Pwani lkn wengi waliteuliwa kulingana na kanda pamoja na kabila.

Usisahau kwamba jamaa aliongoza kwa kupendelea dini yake, kanda yake na kabila lake. Hilo kila mtu analifahamu pengine na wewe ukiwa mmoja wapo. Ila kwa leo unajifanya haujui.
 
Utafanya nini na Dunia inaendeshwa na Wakristo na Wakristo wa USA na UK ndiyo walileta serikali ya Muungano!
Ndio umeulimmishe mtoa uzi.88% ka sio 90% ,ya civil servants ni waksrito.kina sheh ponda wamesema wee mpaka vitabu vipo.
 
Lakini viongozi wa kitaifa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu walikuwa Waislamu.
Mie hata shida siioni
Maana bado wanafanyakazi chini ya taratibu za utawala wa katiba na sheria na sio chini ya Qur ani au Biblia.
Hebu tusiumize mioyo yetu na Afya za Akili tuzilinde.
 
Hawa si Wazanzibar ambao hawakujumuishwa kwenye mkeka mkuu wa TRA?? kaangalie ule mke mkuu utaona 70% ni Wakristo
 
Kajifunze kuandika kwanza ndiyo uje na mada humu jamiiforums. Neno kama baraza linalotumika mara nyingi unashindwa kuandika, unakuja kuleta mashonde humu ndani.
 
Shida ndio unaiona leo
Hiv wewe kumbe hata sio msomi au mtu wa tafiti
Toka mwaka 1961, 88% mpaka leo yabwatumish ni wakristo.na watu wametoa mpaka takwimu.upo wap mzee
Hii ndo Tanzania. Akinya kuku poa, ila akinya bata kaharisha.
Mkristo akichagua wakristo wote poa tu, Muislam akiweka waislam kadhaa anaitwa mdini.
 
Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:

Mawaziri na Manaibu: 30.

Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.

Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.

Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.

Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.

Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.

Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.

Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.

Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.

Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.

Wakurugenzi mbalimbali: 249.

Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.

Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.

Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.

Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.

Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33

Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.

Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.

Jumla Kuu ya Uteuzi:

Waislamu asilimia 20%.

Wakristo asilimia 80%.

Uchaguzi 2020 - Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020.
www.jamiiforums.com www.jamiiforums.com
 
Kwaiyo na yeye Mama ameamua kufuata upuuzi wa JPM!
 
Wewe ndo unawasalisha au kuwasswalisha?

Wewe ni MCHUNGAJI, shehe au mganga wao?

Si sawa kuwatizama wateule wa Rais na kuchunguza Dini zao,

Tunapotafuta viongozi kuongoza Nchi hatuangalii dini, Bali uwezo.
 
Hii ndo Tanzania. Akinya kuku poa, ila akinya bata kaharisha.
Mkristo akichagua wakristo wote poa tu, Muislam akiweka waislam kadhaa anaitwa mdini.
Ndio hayo mzee wqngu.kunya anye kuku akinya bata.......
Toka mwaka 1961 ratio ni 20:80 katika nafas 100 za christian 80 muslim 20
 
Hao ni UPANDE WA ZANZIBAR, au umeona mtu aliyeelekezwa aende DODOMA kufata barua yake? TUMIA AKILI
 
Kwenye dini sina hakika. Ila swala la watoto na ndugu wa watu waliotufikisha hapa tulipo, hilo linanisikitisha.
Basically....issue wala sio watoto na ndugu, issue ni the whole CCM....these hooligans ndio waliotufikisha hapa na wanaendelea kubwabwaja kwamba watatutoa hapa....How?
 
Haki sawa kwa wote, hata sisi tumesoma siku hizi.

Sio akina Kangi Lugola tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…