Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

Lakini wenzetu wamesoma sana, lazima tuwape kipaumbele,, 😁🤷🏻‍♀️
 
Akivurunda lawama wanapewa washauri wa kufikirika,akifanya vyema pongezi anapewa yeye!

Hili neno washauri linataka kuwa maarufu sana awamu hii ni vile tu watu hamtaki kuamini kama hiki kinachotokea ndiyo utashi wa "Mama" mwenyewe.
Hahaaa sahihi..
 
Hebu andika hapa teuzi zote za Rais ili tujue anaegemea dini gani!!
 
Huo udini wenyewe unaleta matunda baada ya kupata hizo nafasi au ndiyo mnapakana matope Tu. Upande fulani wamejaa lawama kila mtawala anapokuwa wa upande wa pili tena kwa kigezo cha udini na ukanda lakini game ikiwa kwao hutosikia hayo yote. Tuwapime kwa utendaji kazi wao ndiyo msingi wa uwepo wao.
 
Kila akiingia Rais kutoka Unguja na Pwani swala Udini katika teuzi huwa linajitokeza. Sasa limeongezeka jinsia na Uzanzibari. Angalia wabunge wote kutoka mkoa wa Pwani ni mawaziri!
 
Hata wakiristo wakikaa wote nje ya serikali,waislam watajaza hizo nafasi na mambo yataenda
Lakini sisi tunajiweza hata kitaa, kwenye mipira, miziki, ujenzi, biashara, viwanda, uigizaji, etc,
Tungewaacha wasomi wafanye yao, na sisi street smart tufanye yetu🤷🏾‍♂️😂
 
Acha mama afanye kazi yake uislamu ndo dini ya haki sisi mashekh wakubwa huu ndo Muda wetu wakulamba Asali maana hii nchi imechezewa.
 
Ila Pengo sikuhizi kauona ukweli baada ya kukumbana na dhoruba za chuma's,
Haijalishi kiongozi ni dini gani, hatuendi kuhubiriana maofisini,,
Kiongozi akiwa wa dini yako, inakufaa nini ewe muumuni,,
Pengo sikuhizi kaachana kabisa na mambo ya nyaraka aliyoyaanzisha kipindi cha Ruxa na Jk,
Tunahitaji ustawi wa nchi yetu, hatuhitaji kiongozi wa kuja kutuhubilia,,
Ndo maana chuma, alikua haangalii huyu dini yangu au vipi,, ukimletea letea, analala nawe mbere,, 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…