Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Nauza kanzu kwa bei poa,makobazi na mzuzu wa kubandika pia ipo bei maelewano njoo inbox.😂😅Ngoja tusilimu na sisi tupate teuzi.....
yani watanganyika tusituke maana tutajaziwa wa makobazi na barakashia nchini kwetu hadi tushangae halafu kwao wao hawatutambuisijakuelewa! sukuma gang na ile dini wapi na wapi?
huna unalolijua weww
Rais inajitahidi kuteua kwa kubalance dini lakini tatizo linakuja pale kwenye wizara muhimu na sehemu nyeti wanawekwa wa dini ile,mfano madini,nishati,utumishi, ukatibu mkuu,ukurugenzi, ukuu wa mikoa na wilaya,,, kwenye maeneo potential utawakuta wa dini ile,wale waliowekwa kwa kubalance utawakuta Kigoma etc
nchi sasa ipo chini ya wavaa kobazi shituka usiwe lofa
tatizo watanzania tunakosoa kila kitu, tunajifanya tunajua kila kitu hapo najua akifanya teuzi kivingine mtasema tena hebu muachane mama afanye kaziNaingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.
Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya.
Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia. Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya wasaidizi wake, anarudia tatizo lile lile.
Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano, mzuri ni huu uteuezi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi.
Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajuia kama anashauriwa bibaya. Wanadhani anafanya makusudi.
Nawasilisha.
akichemka lazima aambiwe ukweli teuzi zake zimejaa udini hilo liko wazi abadiliketatizo watanzania tunakosoa kila kitu, tunajifanya tunajua kila kitu hapo najua akifanya teuzi kivingine mtasema tena hebu muachane mama afanye kazi
hili jambo kila awamu lipo halijaanza jana wala juzi sio kitu cha kushangazaakichemka lazima aambiwe ukweli teuzi zake zimejaa udini hilo liko wazi abadilike
basi liachwe lisemwe kama lilivyokuwa likisemwa hiyo jana na juzi,sio lisemwe saizi mseme wabongo ni wakosoaji no....asikosolewe ye nani?hili jambo kila awamu lipo halijaanza jana wala juzi sio kitu cha kushangaza
Walishazoea 9:1Mtoa post unadhani Rais Samia anapendelea dini gani na kwa ushahidi upi. Tuletee hapa hizo teusi tuzione ufafanue hoja zako kwa ushahidi.
Kwanini kila jambo lake mnalaumu washauri wake?!!!
sasa kama ni lakawaida toka enzi hizo kwanini unakaza ubongo kulisema na wakati hakitafanyiwa kazi chochotebasi liachwe lisemwe kama lilivyokuwa likisemwa hiyo jana na juzi,sio lisemwe saizi mseme wabongo ni wakosoaji no....asikosolewe ye nani?
nyie ndio mnazuia wakosoaji wasikosoe,yeye asikosolewi ni nani? acha watu watoe view zao hata kama hazitafanyiwa kazisasa kama ni lakawaida toka enzi hizo kwanini unakaza ubongo kulisema na wakati hakitafanyiwa kazi chochote
Alishindwa kubalance mtangulizi wake nasi tukaona fresh tu..!! Saivi shida inatoka wapi? Tuchukulie poa....Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.
Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya.
Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia. Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya wasaidizi wake, anarudia tatizo lile lile.
Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano, mzuri ni huu uteuezi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi.
Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajuia kama anashauriwa bibaya. Wanadhani anafanya makusudi.
Nawasilisha.
unakaza ubongo kwa kitu ambacho unaona hakina faida,si bora ukae kimya kuliko kupoteza nguvu na muda wakonyie ndio mnazuia wakosoaji wasikosoe,yeye asikosolewi ni nani? acha watu watoe view zao hata kama hazitafanyiwa kazi
Eti wengine hawajajua wewe ndiye unajua. Je umejuaje.Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.
Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya.
Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia. Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya wasaidizi wake, anarudia tatizo lile lile.
Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano, mzuri ni huu uteuezi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi.
Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajuia kama anashauriwa bibaya. Wanadhani anafanya makusudi.
Nawasilisha.
kama wewe ulivyotakiwa kukaa kimya kutetea kitu kilicho wazi kabisa na kudai wabongo ni wakosoaji,ulidhani ukiandika hivyo hutajibiwa?kwa hilo ubongo lazima ukazweunakaza ubongo kwa kitu ambacho unaona hakina faida,si bora ukae kimya kuliko kupoteza nguvu na muda wako