Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

sijakuelewa! sukuma gang na ile dini wapi na wapi?
huna unalolijua weww

Rais inajitahidi kuteua kwa kubalance dini lakini tatizo linakuja pale kwenye wizara muhimu na sehemu nyeti wanawekwa wa dini ile,mfano madini,nishati,utumishi, ukatibu mkuu,ukurugenzi, ukuu wa mikoa na wilaya,,, kwenye maeneo potential utawakuta wa dini ile,wale waliowekwa kwa kubalance utawakuta Kigoma etc

nchi sasa ipo chini ya wavaa kobazi shituka usiwe lofa
yani watanganyika tusituke maana tutajaziwa wa makobazi na barakashia nchini kwetu hadi tushangae halafu kwao wao hawatutambui
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.

Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya.

Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia. Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya wasaidizi wake, anarudia tatizo lile lile.

Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano, mzuri ni huu uteuezi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi.

Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajuia kama anashauriwa bibaya. Wanadhani anafanya makusudi.

Nawasilisha.
tatizo watanzania tunakosoa kila kitu, tunajifanya tunajua kila kitu hapo najua akifanya teuzi kivingine mtasema tena hebu muachane mama afanye kazi
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.

Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya.

Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia. Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya wasaidizi wake, anarudia tatizo lile lile.

Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano, mzuri ni huu uteuezi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi.

Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajuia kama anashauriwa bibaya. Wanadhani anafanya makusudi.

Nawasilisha.
Alishindwa kubalance mtangulizi wake nasi tukaona fresh tu..!! Saivi shida inatoka wapi? Tuchukulie poa....
 
wakichaguliwa wakristo wengi ukiuliza mitandaoni kwanini? wakristo wanakujibi kuwa wao wamesoma sana waislamu hawajasoma wanakalia kwenda kusoma quraan madrasa, wakichaguliwa waislamu wengi wakristo wanasema huu ni udini hawasemi waislamu wamesoma sana, wakristo ukiwauliza nani kaumba mbingu na ardhi watajibu mungu, ukimuuliza yesu ni nani watajibu mungu ukimuliza yesu kaaumba mbingu na ardhi watajibu hapana , hapo ujue hawa watu hawana akili
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.

Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya.

Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia. Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya wasaidizi wake, anarudia tatizo lile lile.

Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano, mzuri ni huu uteuezi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi.

Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajuia kama anashauriwa bibaya. Wanadhani anafanya makusudi.

Nawasilisha.
Eti wengine hawajajua wewe ndiye unajua. Je umejuaje.
 
Mleta mada ni kilaza yaani sukuma gang wamshauri rais kuwaondoa sukuma gang tena??

Si useme tu kuwa ulitaka kuwatetea Msoga gang kuwa ndio wanaoiharibu nchi kwa ubinafsi wao??
 
Back
Top Bottom