Fact wavaa kobaz wengi wana ilmu ilee 😅wakichaguliwa wakristo wengi ukiuliza mitandaoni kwanini? wakristo wanakujibi kuwa wao wamesoma sana waislamu hawajasoma wanakalia kwenda kusoma quraan madrasa, wakichaguliwa waislamu wengi wakristo wanasema huu ni udini hawasemi waislamu wamesoma sana, wakristo ukiwauliza nani kaumba mbingu na ardhi watajibu mungu, ukimuuliza yesu ni nani watajibu mungu ukimuliza yesu kaaumba mbingu na ardhi watajibu hapana , hapo ujue hawa watu hawana akili
Hizi nongwa siku zote zipo afrika, ni asili yetu. JPM alivyokuwa akiwaapisha jamaa zake wa karibu huyo Kitwanga aliufunga mdomo wake.Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.
Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya.
Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia. Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya wasaidizi wake, anarudia tatizo lile lile.
Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano, mzuri ni huu uteuezi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi.
Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajuia kama anashauriwa bibaya. Wanadhani anafanya makusudi.
Nawasilisha.
Utapigana na nani??Tunakoelekea Vita ya wenyw kwa wenyw naiona
🤣🤣🤣🤣Hii kazi ya kuteua naona bora ungepewa wewe .
Haya matatizo yameletwa na awamu ya nne kwa sababu ya ile timu ya mtandao ilikuwa ni kubwa nafasi serikalini zilikuwa chache. Kama unakumbuka Mh rais Mkapa aliunda tume huru ya uajiri na akasema nafasi zote za serikalini zinapokuwa wazi zitangazwe na waombaji wafanyiwe interview kuna mzee mmoja jina lake refu akateuliwa kuongoza tume. Alipoingia rais wa awamu ya nne akaifuta ile tume na yule kiongozi akaambiwa aende likizo na akimaliza astaafu. Mchezo uliishia hapo. Kenya nafasi zote zinaombwa na interview inafanyika.Waache wateuliwe tu mradi ni watanzania
Tatizo ni pale unapoangalia kiudini au kabila, kama alivyokuwa anateua Marehemu pia maneno yalikuwa haya haya
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.
Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni Rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya.
Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia. Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya wasaidizi wake, anarudia tatizo lile lile.
Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano, mzuri ni huu uteuzi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi.
Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajuia kama anashauriwa vibaya. Wanadhani anafanya makusudi.
Nawasilisha.
Umewaza KIJINGA kwanini isipewe Katiba uwezoHii kazi ya kuteua naona bora ungepewa wewe.
Mleta mada na wengine wenye mawazo kama yake walishazoea teuzi za 10:0, 9:1 au 8:2. Sasa wakiona hata 4:6, 5:5 au 6:4 wanashtuka sana.Wakijazwa wakristo wala hamsemi lakini mkiona majina mawili matatu ya kiislamu yamejitokeza basi kwenu tayari huo ni udini! Hivi nyie mkoje yaani mnaona kama waislamu ni raia daraja la pili na hawastaili kupata uteuzi au haki nyingine yoyote hadi wakristo waridhie!
Huyu mama ni mdini sana, amefanya serikali msikiti, pili uzanzibari. Hela inapelekwa Zanzibar. Ameshikwa akili na akili na watu wachache hana maamuzi yake binafsi. Hatuna rais tuna proxy. Kuna mtu au kundi la watu linaendesha hii nchi. Km watu wanaweza kupuuza uteuzi wake na anakuja kuteua kimya kimya hapo kuna rais? Watu anaowateua ni wale wale, huu ni woga. Pummzisha watu mpaka wasahaulike. Christina ana nini kipya, Ulega eti waziri, mpaka mwanaFA? Nchi inaongozwa na wahuni.Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.
Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni Rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya.
Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia. Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya wasaidizi wake, anarudia tatizo lile lile.
Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano, mzuri ni huu uteuzi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi.
Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajuia kama anashauriwa vibaya. Wanadhani anafanya makusudi.
Nawasilisha.
Raia tunahoji. Kwa nini Baraza la Sasa limejaa Dini Moja?
Rais haoni kama hii inaweza kuleta shida badae?
Kwa nini asilekebishe mapema tu kabla mambo hayajaenda vibaya hasa hii minong'ono inayoendelea?.
Upendeleo nao umekita mizizi, yaani, watu walewale wazazi wao watufikisha hapa ndio haohao wanaendelea kupewa madaraka.
Point mambo yakienda vizuri anasifiwa, akiharibu wanalaumiwa washauri, kifupi maza ni mdini snAkivurunda lawama wanapewa washauri wa kufikirika, akifanya vyema pongezi anapewa yeye!
Hili neno washauri linataka kuwa maarufu sana awamu hii ni vile tu watu hamtaki kuamini kama hiki kinachotokea ndiyo utashi wa "Mama" mwenyewe.