Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ni mdini hatari sn na upendeleo wa waziwazi, nchi imekuwa kama Islamic stateHuyu mama ni mdini sana, amefanya serikali msikiti, pili uzanzibari. Hela inapelekwa Zanzibar. Ameshikwa akili na akili na watu wachache hana maamuzi yake binafsi. Hatuna rais tuna proxy. Kuna mtu au kundi la watu linaendesha hii nchi. Km watu wanaweza kupuuza uteuzi wake na anakuja kuteua kimya kimya hapo kuna rais? Watu anaowateua ni wale wale, huu ni woga. Pummzisha watu mpaka wasahaulike. Christina ana nini kipya, Ulega eti waziri, mpaka mwanaFA? Nchi inaongozwa na wahuni.
tuwekee hapa tuone pleaseNimeona pia majina ya watumishi wapya walioitwa tra, yani mkeka umechanikia macca au arabuni
S/gangRaia tunahoji. Kwa nini Baraza la Sasa limejaa Dini Moja?
Rais haoni kama hii inaweza kuleta shida badae?
Kwa nini asilekebishe mapema tu kabla mambo hayajaenda vibaya hasa hii minong'ono inayoendelea?.
Upendeleo nao umekita mizizi, yaani, watu walewale wazazi wao watufikisha hapa ndio haohao wanaendelea kupewa madaraka.
Mama yuko vizuri .Mama yupo Sahihi tuache majungu
Mimi ndo maana naipenda Sana Chadema
Mimi ni Mkristo-rastaman kwa uongozi w Dr SamiaRaia tunahoji. Kwa nini Baraza la Sasa limejaa Dini Moja?
Rais haoni kama hii inaweza kuleta shida badae?
Kwa nini asilekebishe mapema tu kabla mambo hayajaenda vibaya hasa hii minong'ono inayoendelea?.
Upendeleo nao umekita mizizi, yaani, watu walewale wazazi wao watufikisha hapa ndio haohao wanaendelea kupewa madaraka.
Mupe Muruke style,yule Mama anapenda majungu na ndiyo maana anashauriwa vibaya.Lakini nadhani ni mkakati wa kumdhoofisha ili aonekane chenga mbele ya Wazanzibara.Raia tunahoji. Kwa nini Baraza la Sasa limejaa Dini Moja?
Rais haoni kama hii inaweza kuleta shida badae?
Kwa nini asilekebishe mapema tu kabla mambo hayajaenda vibaya hasa hii minong'ono inayoendelea?.
Upendeleo nao umekita mizizi, yaani, watu walewale wazazi wao watufikisha hapa ndio haohao wanaendelea kupewa madaraka.
Kama umeshindwa kuorodhesha majina ya hao wajumbe wote wa hilo Baraza ili kujiridhisha, hii taarifa yako itakosa mashiko.Raia tunahoji. Kwa nini Baraza la Sasa limejaa Dini Moja?
Rais haoni kama hii inaweza kuleta shida badae?
Kwa nini asilekebishe mapema tu kabla mambo hayajaenda vibaya hasa hii minong'ono inayoendelea?.
Upendeleo nao umekita mizizi, yaani, watu walewale wazazi wao watufikisha hapa ndio haohao wanaendelea kupewa madaraka.
Hapa ndipo wakoloni walifanikiwa kutugawa kwa itikadi zao na dini zilizoletwa kwa mitumbwi na ngalawa. Ukiona mtu anaendekeza udini ujue ni hamnazo kabisa.Mbona wapagani hatuwasemei, kwani wao hawastahili kuwa na uwakilishi?Wakijazwa wakristo wala hamsemi lakini mkiona majina mawili matatu ya kiislamu yamejitokeza basi kwenu tayari huo ni udini! Hivi nyie mkoje yaani mnaona kama waislamu ni raia daraja la pili na hawastaili kupata uteuzi au haki nyingine yoyote hadi wakristo waridhie!
Hii kitu nimeikuta maeneo ya Msikiti mmoja maeneo ya Dampo,Mwanza inajadiliwa.Kumbe ata wavaa Kobazi wenzie hawakubaliani na Mama.Raia tunahoji. Kwa nini Baraza la Sasa limejaa Dini Moja?
Rais haoni kama hii inaweza kuleta shida badae?
Kwa nini asilekebishe mapema tu kabla mambo hayajaenda vibaya hasa hii minong'ono inayoendelea?.
Upendeleo nao umekita mizizi, yaani, watu walewale wazazi wao watufikisha hapa ndio haohao wanaendelea kupewa madaraka.
Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi ndio MwarobainiTusifikie hatua tukaingia kwenye uchaguzi watu wakaanza kupiga kura za udini badala ya kuchagua sera za vyama......kama hisia hizi zipo basi inabidi zifanyiwe kazi mapema kabla hali haijawa mbaya.
Bora S/gang kuliko Islamic state!S/gang
Raia tunahoji. Kwa nini Baraza la Sasa limejaa Dini Moja?
Rais haoni kama hii inaweza kuleta shida badae?
Kwa nini asilekebishe mapema tu kabla mambo hayajaenda vibaya hasa hii minong'ono inayoendelea?.
Upendeleo nao umekita mizizi, yaani, watu walewale wazazi wao watufikisha hapa ndio haohao wanaendelea kupewa madaraka.
STUPID! watu wanalalamika vitu vya msingi wewe unaleta ujinga. if ths is to be the trend, wakristo hawatapata ajira serikalini, nchi ya waislamu tu kazi za serikali. halafu wewe unaleta ujinga! stopthat pleae John! Ths is a very serious issue. Biafra ililetwa na haya haya ya kubagua watu fulani wakataka kujitenga wawe na taifa lao! Usiyaone madogo. watu wanalalamika kuwa TRA kuna majina yote ni Waislamu! Uko kkeka humu utafute utauona.Waislam na Wakristo ni Kitu kimoja tofauti majina tu
Hatodhofu hata siku moja. Mtasema hivyo hivyo mambo yanamwendea vizuri.Mupe Muruke style,yule Mama anapenda majungu na ndiyo maana anashauriwa vibaya.Lakini nadhani ni mkakati wa kumdhoofisha ili aonekane chenga mbele ya Wazanzibara.
π π πWakati wa dhalimu uliona sawa, acha na huyu afanye atakavyo. Mlikalia kimya huu ushenzi sasa imekuwa tabia mnalialia.