Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba na Yanga ni chambo kinachotumiwa na mafisadi ya CCM wakisaidiwa na wafanyabiashara wa kigabachori kuwapumbuza watanzania ili nchi iendelee kupigwa.Sijui wanatumia akili gani.
Mfano Sasa timu inazunguka kutafuta washabiki wajae uwanjani. Timu inazunguka kuuza tiketi. Wanafanya promo Alafu wanaambulia fedha kiduchu.
Tff tu imechukua mamilioni kwa migongo mingi Sana.
Eti gharama za mechi m. 22. Kweli, gharama zipi hizo jamani huu Ni wizi mtupu. Je marefa waliongezeka? Au malipo yao Ni tofauti na mechi ya ihefu na polisi Tanzania.
Baadae Tff wakachukua m 18. Eti kuwapa fa. Kweli? Zanini Sana wakati gharama za mechi walishalipa tayari. Huu Ni wizi mtupu.
Hawakuridhika wakachukua Tena m 25. Eti bodi ya ligi. Kama gharama ya mchezo imelipwa, fa wakalipwa. Sasa na Hawa bodi hayo mamilioni ya Nini Sasa. Hii Ni malipo mengine kwa kitu kimoja.
Hawakuridhika wakachukua Tena Tff m 10 kweli acheni Basi.
Serikali ikachukua Kodi m 64 hawakuridhika wakachukua Tena gharama za uwanja m 47. Sasa kwanini gharama za uwanja zisiwe standadi. Kama Ni m 5 kwa kila mechi iwe ivyo. Haiwszekani malipo yaangalie kipato. Ivi zile sherehe za kitaifa, mabonanza na matumizi tofauti hulipia gharama hizo?
Serikali simamieni utumike utaratibu wa haki. Timu hizi hutumia gharama kubwa Sana kwa usajili, mishahara kambi na mapato yao hayatoshi hata kujiendesha. Wafadhili wao wakichoka Sababu waoga hawawezi kusema soka linarudi lilipokuwa mnakatisha Sana tamaa.
Oneni aibu.
Inashangaza kuona timu zimeanzishwa kabla wengi wetu hatujazaliwa eti bado hazina hata viwanja vya mazoezi.Shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini limetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023, wadau mbalimbali wametoa maoni yao kufuatia timu mwenyeji (Simba)kuambulia sh 188,987,181.10 tu katika mapato yote yaliyopatikana, kuna haja ya timu hizi kuwa na Viwanja vyao kukwepa Unyonyaji huu.
![]()
Na hii ndo sababu hutakuja sikia yanga/simba wanakiwanja.Ipo siku itajua kwmba bossi wako anachangia kukukwamisha ili uwendelee kumtumikia, unaweza akapnga mipango yako safiii ,akatokea mtu akawashauli wengine wakaaribu mipango yooote, waza cmba na yanga wakawa na viwanja selikali itapata nn kupitia hizo timu?