Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Achana hao Mkuu wanajitoa ufahamu tuuKama Yanga anadaiwa kweli, kwani asingejibiwa kwenye barua zake za kudai na kukunbushia Zawadi ya Ubingwa wa FA CRDB ?
Achana hao Mkuu wanajitoa ufahamu tuuKama Yanga anadaiwa kweli, kwani asingejibiwa kwenye barua zake za kudai na kukunbushia Zawadi ya Ubingwa wa FA CRDB ?
Binafsi ni Simba lakini hapa TFF walipuyanga sana.Achana hao Mkuu wanajitoa ufahamu tuu
Waambie TFF waweke zaoSasa wanapoposti hapa sisi tunawezaje kufanya usuluhishi (Reconciliation) ya hesabu zao?
Wameitwa waende ofisi za TFF usuluhishi wa hesabu zinazokataana ukafanyike ijulikane wanadai au hawadai.
Hii timu ya YANGA inaendeshwa kishamba sana na kutafuta huruma za mashabiki. Haiwezekani unachapisha taarifa za kihasibu za upande mmoja pekee wakati unajua ulimpa mamlaka mtu mwingine kusimamia malipo ya pesa zako.
Anyway, ngoja tuone huu ujinga nao unaishia wapi
Ndio maana nasema hapa hakuna kuegemea upande,kuna mengi sana hapo TFF tusiyoyajua.Mh basi TFF kuna shida sehemu kubwa sanaaa
Sasa ulitegemea TFF itajitetea vipi kama sio kuwaita Yanga waende? Na kwa akili ndogo tuu unadhani taasisi kubwa kama TFF haina records zote za madeni inayodai na kudaiwa na wadau mbalimbali ikiwemo hizi clubs?Hii sasa itakuwa ni mipasho wakifanya unachokisema na hakitaondoa tatizo zaidi ya kujaa kwenye mfumo wa kijinga wa majibizano ulioanzishwa na Yanga.
TFF wamejibu haraka kulinda heshima na brand (jina) ya mdhamini CRDB. Lakini pia wamejibu kitaaluma zaidi kuwataka Yanga wafike ofisini kufanya usuluhishi (Reconciliation) wa hesabu zao kujua nani anadaiwa na kiasi gani.
Miaka yote tangu enzi za FAT na TFF zilizopita walikuwa hawagusi hela za zawadi za ubingwa za clubs,walikuwa wanakatana kwenye gates collection na hela za CAF.Na mimi naona hiyo, ile barua imelenga kumtuliza mdhamini tu. TFF wanachofanya wanaishikiria pesa na kuibadilishia matumizi ili siku ukiwa na kosa wanakata juu kwa juu kufidia kitu ambacho sio sawa.
Yaani hao watu wanajitoa ufahamu,badala ya TFF kuweka wazi hayo madeni ya Yanga na hela waliyokata na iliyobaki badala yake Yanga ndio anaambiwa atoe hesabu.Kwanin unaona watu wa finance yanga ndo walipaswa kwenda tff kukokotoa salio?
Na sio tff walipaswa wawape Yanga salio lao baada ya kukata deni wanalosema?
Kata chako unipe haki yangu, siyo ukate chako halafu tena ubaki na haki yangu. Hiyo siyo sawa
💪No Reforms No Elections
Tatizo ulikimbilia kuanzisha uzi bila kujua Yanga walisongesha, ilpoingia ya CRDB ikakatwa na bado haikutosha kumaliza deni. Sasa upo na wakati mgumu kuutetea uzi wako!TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi?
Yanga walishajibu huko fuatiliaTatizo ulikimbilia kuanzisha uzi bila kujua Yanga walisongesha, ilpoingia ya CRDB ikakatwa na bado haikutosha kumaliza deni. Sasa upo na wakati mgumu kuutetea uzi wako!
Nao walishajibiwa majibu yao, fuatiliaYanga walishajibu huko fuatilia
Nomawameamua kutumia iz Timu kututoa kwenye reli eeh