TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa
Lipeni madeni achaneni na CAF...
Nani anadaiwa TFF wamesema wanaidai Yaga kiasi gani?
FB_IMG_17495616760371006.jpg

Ya Yanga hayo hapo. Inawezekana hiyo barua imeandikwa sababu ya kumtuliza mdhamini, ila wanao wadai TFF ni wengi sana, hizi timu za vijana,wanawake,marefa wengi nasikiaga wana madai.

Ila acha inyeshe tuone panapo vuja mpira wetu upate tiba.
 
Nani anadaiwa TFF wamesema wanaidai Yaga kiasi gani?
View attachment 3363313
Ya Yanga hayo hapo. Inawezekana hiyo barua imeandikwa sababu ya kumtuliza mdhamini, ila wanao wadai TFF ni wengi sana, hizi timu za vijana,wanawake,marefa wengi nasikiaga wana madai.

Ila acha inyeshe tuone panapo vuja mpira wetu upate tiba.
Sauwaaa...
Ngoja nitoke kidogo jukwaa hili
 
Sauwaaa...
Ngoja nitoke kidogo jukwaa hili
Dk tatu zilizopita Yanga nao wamejibu.
Screenshot_20250610_164403_Instagram.jpg

Natamani baada ya hapa kuwe na chombo huru cha kukagua hela zote za udhamini wa ligi kuu na shirikisho CRDB, baada ya hapo ripoti zote ziwe shared kwa vilabu vyote na kama ikiwezekana kuwe na vikao vya kuhoji baadhi ya matumizi. Hii itapunguza uhuni kwa kiasi kikubwa.

Ile barua TFF kaindika sababu kumtuliza mdhamini.Halafu hii barua imetoka ofisi ya mtendaji mkuu.
 
Hii sasa itakuwa ni mipasho wakifanya unachokisema na hakitaondoa tatizo zaidi ya kujaa kwenye mfumo wa kijinga wa majibizano ulioanzishwa na Yanga.

TFF wamejibu haraka kulinda heshima na brand (jina) ya mdhamini CRDB. Lakini pia wamejibu kitaaluma zaidi kuwataka Yanga wafike ofisini kufanya usuluhishi (Reconciliation) wa hesabu zao kujua nani anadaiwa na kiasi gani.
Mbona hawataji kiasi gani wanaidai Yanga?
 
Dk tatu zilizopita Yanga nao wamejibu.
View attachment 3363320
Natamani baada ya hapa kuwe na chomo huru za kukagua hela zote za udhamini wa ligi kuu na shirikisho CRDB, baada ya hapo ripoti zote ziwe shared kwa vilabu vyote na kama ikiwezekana kuwe na vikao vya kuhoji baadhi ya matumizi.

Ile barua TFF kaindika sababu kumtuliza mdhamini.Halafu hii barua imetoka ofisi ya mtendaji mkuu.
Na mimi naona hiyo, ile barua imelenga kumtuliza mdhamini tu. TFF wanachofanya wanaishikiria pesa na kuibadilishia matumizi ili siku ukiwa na kosa wanakata juu kwa juu kufidia kitu ambacho sio sawa.
 
Dk tatu zilizopita Yanga nao wamejibu.
View attachment 3363320
Natamani baada ya hapa kuwe na chombo huru za kukagua hela zote za udhamini wa ligi kuu na shirikisho CRDB, baada ya hapo ripoti zote ziwe shared kwa vilabu vyote na kama ikiwezekana kuwe na vikao vya kuhoji baadhi ya matumizi.

Ile barua TFF kaindika sababu kumtuliza mdhamini.Halafu hii barua imetoka ofisi ya mtendaji mkuu.
Tutafika tuu...
Am out....
 
Hii sasa itakuwa ni mipasho wakifanya unachokisema na hakitaondoa tatizo zaidi ya kujaa kwenye mfumo wa kijinga wa majibizano ulioanzishwa na Yanga.

TFF wamejibu haraka kulinda heshima na brand (jina) ya mdhamini CRDB. Lakini pia wamejibu kitaaluma zaidi kuwataka Yanga wafike ofisini kufanya usuluhishi (Reconciliation) wa hesabu zao kujua nani anadaiwa na kiasi gani.
Screenshot_20250610_164403_Instagram.jpg

Dk tatu zilizopita na kesho wa kikutana najua Yanga atakuja na nyingine.
 
View attachment 3363329
Dk tatu zilizopita na kesho wa kikutana najua Yanga atakuja na nyingine.
Huu ni ujinga naweza kusema na viongoz wq Yanga wanaonekana hakuna anaemzidi mwingine wote wapo level moja.

Kwanini wasikutane na TFF kama walivyotakiwa kisha waje na taarifa kamili ya deni linalodaiwa na kuwajulisha wanachama wake.

Hii ni kutafuta attention za kipuuzi wakijua uelewa wa mashabiki bongo upo chini. Hauwezi tu kukurupuka kusipojulikana ukadai unaidai taasisi bila kwanza kukutana na kufanya usuluhishi wa hesabu zenu. Unajua ulimpa mamlaka ya kutumia pesa zako kukulipia madeni. Mkutane sasa mbadilishane taarifa na baada ya hapo anaedaiwa alipe.
 
Msemaji wa Club hakurupuki vyote anavyo vifanya ni maamuzi ya Club,Kamwe hawezi kujiandikia barua mwenyewe, sababu hana reference. Vikao vya mamuzi vikifanyika then Kamwe ataambiwa afanye nini. Pili kwenye vyama vyetu vya soka kuna mengi sana hatuelewi, hasa upande wa fedha sababu hakuna wakaguzi wa ndani na wanje, kila mtu akipata nafasi anapiga na kutambaa. Ndio maana kuachia uongozi wa TFF au bodi ya ligi ni ngumu ,sababu kuna hela ambazo hazifuatiliwi. Ngojea Yanga nae ataibuka na lake.......
View attachment 3363305
Sijajua hapa TFF wataibuka na nini?
Umeandika vizuri mkuu. Acha watu wa Finance waende wakakokotoe tuone salio linalobaki linaegemea wapi.

Kusema kama kuna mwanaume akate point alihemka hakupaswa kuwa hivyo na hapo hatuwezi sema ametumwa na management atumie lugha hiyo. Baada ya hili mahusiano baina ya Yanga na TFF na bodi yanaendelea.

Kusema CEO alisema kuna mtu wa ngazi za juu aliamuru uwanja wa Mkapa ufungwe wakati Simba wakitaka kujiandaa alikurupuka. Lakini kama kuna barua timu yangu iliomba TFF wafanye kama Songesha basi hapa pia alikurupuka na huenda statement isinģepaswa kuwa hiyo aliyosema kuwa Yanga inadai pesa ya zawadi bali salio la pesa ya zawadi.

Kwa response tunakoenda ni vita kali. Tusubiri
 
Huu ni ujinga naweza kusema na viongoz wq Yanga wanaonekana hakuna anaemzidi mwingine wote wapo level moja.

Kwanini wasikutane na TFF kama walivyotakiwa kisha waje na taarifa kamili ya deni linalodaiwa na kuwajulisha wanachama wake.

Hii ni kutafuta attention za kipuuzi wakijua uelewa wa mashabiki bongo upo chini. Hauwezi tu kukurupuka kusipojulikana ukadai unaidai taasisi bila kwanza kukutana na kufanya usuluhishi wa hesabu zenu. Unajua ulimpa mamlaka ya kutumia pesa zako kukulipia madeni. Mkutane sasa mbadilishane taarifa na baada ya hapo anaedaiwa alipe.
Yanga amendika barua nyingi hakupewa feedback na hata wao Yanga wanadai hawajawahi kupokea barua yoyote ya TFF ya madai. Huoni hao TFF wajinga na Yanga wameshare moja ya barua yao ya madai. Tukubali tu TFF wameijibu ile barua kwa ajili ya kumtuliza mdhamini, ila wanacho simamia Yanga ni cha msingi kabisa.Sababu hapa lazima tujiulize vipi timu zilizoshika nafasi ya pili ndani ya misimu mitatu,je walilipwa? Marefa na timu yake walilipwa kwa misimu hiyo mfululizo? Vipi na hizo timu nyingine zilizokuwa zikishiriki hii michuano kwa misimu mitatu ina maana na hawa nao TFF atakuwa anawadai?

Mfano hii barua inakumbushua madai yao kwa nini TFF hawakujibu wala Kuwaita Yanga?
FB_IMG_17495616760371006.jpg
 
Umeandika vizuri mkuu. Acha watu wa Finance waende wakakokotoe tuone salio linalobaki linaegemea wapi.

Kusema kama kuna mwanaume akate point alihemka hakupaswa kuwa hivyo na hapo hatuwezi sema ametumwa na management atumie lugha hiyo. Baada ya hili mahusiano baina ya Yanga na TFF na bodi yanaendelea.

Kusema CEO alisema kuna mtu wa ngazi za juu aliamuru uwanja wa Mkapa ufungwe wakati Simba wakitaka kujiandaa alikurupuka. Lakini kama kuna barua timu yangu iliomba TFF wafanye kama Songesha basi hapa pia alikurupuka na huenda statement isinģepaswa kuwa hiyo aliyosema kuwa Yanga inadai pesa ya zawadi bali salio la pesa ya zawadi.

Nasubiri response ya Timu iwe ya weledi ili madudu yote yawekwe wazi. Kwa vyovyote Yanga itajibu mapigo
Broo anacho ongea msemaji ndicho alicho tumwa na management hawa jiongelei.Ndio maana nilikupa mfano wa fainali ile ya Berkane, Ahmed Ally aliongea lugha kali na vitisho na aliyewahi kuwa mwenyekiti wa club Dalali akaongea kilekile alicho ongea Ahmed Ally,tena kwa msisitizo.
 
Yanga amendika barua nyingi hakupewa feedback na hata wao Yanga wanadai hawajawahi kupokea barua yoyote ya TFF ya madai. Huoni hao TFF wajinga na Yanga wameshare moja ya barua yao ya madai. Tukubali tu TFF wameijibu ile barua kwa ajili ya kumtiza mdhamini, ila wanacho simamia Yanga ni cha msingi kabisa.Sababu hapa lazima tujiulize vipi timu zilizoshika nafasi ya pili,je walilipwa? Marefa na timu yake walilipwa kwa misimu hiyo mfululizo? Vipi na hizo timu nyingine zilizokuwa zikishiriki hii michuano ina maana na hawa nao TFF atakuwa anawadai?

Mfano hii barua inakumbushua madai yao kwa nini TFF hawakujibu wala Kuwaita Yanga?
View attachment 3363356
Nimesema awali watu wameamua kumwaga biriani. Na nililoliogopa ni hili la kuanza kumwaga barua kwenye mtandao. Tusubiri tena majibu ya TFFF. Ila kuendelea kuweka barua mitandaoni kwa mtazamo wangu haijakaa sawa. Watu wa fedha wa Yanga waende kama TFF walivyowataka wakahakiki madai yao hakuna haja ya kuendelea na evidence huku. Wakimaliza kesho waje na feedback
 
TFF ni KIKUNDI CHA WAHUNI waliojificha kwenye uongozi wa soka.

Nashangaa mpaka sasa hao hakina KARIA na wenzake bado wapo uraiani!.

TAKUKURU ya Samia kama imelala vile!
 
Nimesema awali watu wameamua kumwaga biriani. Na nililoliogopa ni hili la kuanza kumwaga barua kwenye mtandao. Tusubiri tena majibu ya TFFF. Ila kuendelea kuweka barua mitandaoni kwa mtazamo wangu haijakaa sawa. Watu wa fedha wa Yanga waende kama TFF walivyowataka wakahakiki madai yao hakuna haja ya kuendelea na evidence huku. Wakimaliza kesho waje na feedback
Tatizo ngozi nyeusi ni wagumu kuwajibika, ila kwa nchi za wenzetu ambao ni wepesi kuwajibika na wanasimamia kanuni. Kwanza ile issue ya tarehe nane isinge tokea na hata kama ingetokea, wahusika wangejiwajibisha wenyewe kwa kujiuzulu,mambo yangekuwa yanaendelea bila hizi kelele.
 
Yanga wameongeza barua nyingine kwa umma. Hapa nimechoka hili picha haliishi naona kuna mpambano na wa No reforms hakuna kupokea. Ngoja nikae kimya
 
Nimebaini soka la Tz linasimamiwa na viongozi wapuuzi wasio na maono yeyote kuanzia clubs mpaka TFF. Sasa mimi siwezi kuendelea kufuatilia vitu vya kitoto toto.

Imagine Shirikisho la soka linatapeli club fedha. Lakini kuna sababu gani zawadi ya Yanga apokee TFF. Inatofauti gani na wale tuma kwa namba hii
Kuanzia Leo nakutoa kwenye listi ya AHLUL RAGE
Akili zimerudi hujaweka ushabiki hata kidogo.
 
Kuna kitu kinaendelea hapa si
bure...
Yajayo hayafurahishi..
Dada acha wapigane tuone nani atavuja damu nyingi...
Kuna kitu kinasukwa hapa ..hii ishu pia imeshaingiliwa na siasa...Hawa wapumbavu háwajui kua si kila mtanzania anashadadia siasa , wengine wanapenda soka kwa ajili ya kujiburudisha ..Sasa timu zimeanza kutumika kuzima moto wa NRNE...baada ya muda Mpira utakosa msisimko sababu ya kuingiliwa na wanasiasa wapumbavu
 
Back
Top Bottom