TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa
Mbona hawataji kiasi gani wanaidai Yanga?
Ni ngumu kutaja kwa haraka kiwango cha pesa kinachodaiwa kwa kuwa mambo yametokea kwa haraka tangu tamko la Kamwe kisha CRDB. Ndio maana maana wameita team ya finance iripoti ofisini kuhakiki madai yao.

Hapa TFF nawapa heko kwa response ya haraka vinginevyo mambo yangekuwa hovyo
 
Nimecheka sanaaa...hasa ulivyojiuliza mwanzo kabisa kama ulijua wamekatwa...eti songesha... 😀
Ila inamaana wao Yanga mwaka mzima wamekaa kimya au hao tff hawasemi why hela haipo mpk leo?
Hili nililiona kwa kuwa haya ni mambo ya kawaida kwenye taasisi. 🤣

Umeuliza swali la msingi. Na Ally kamwe alisema wamekuwa wakiandika barua kwa TFF ili kulipwa pesa za ubingwa wanazungushwa. Nafikiri hakuwa na taarifa kamili toka uongozi wa juu kijana alihemka. Swali ni nani aliidhinisha makato ya juu kwa juu kama songesha? Hapa TFF wameamua kumwaga biriani. Kuna udhaifu kwenye management ya Yanga.
 
Sasa mtani tunaenda pamoja...
Yataibuka mengii mengii mpka mpira utafungiwa au la busara tena zitatumika...
 
Ni ngumu kutaja kwa haraka kiwango cha pesa kinachodaiwa kwa kuwa mambo yametokea kwa haraka tangu tamko la Kamwe kisha CRDB. Ndio maana maana wameita team ya finance iripoti ofisini kuhakiki madai yao.

Hapa TFF nawapa heko kwa response ya haraka vinginevyo mambo yangekuwa hovyo
Bado haisaidii kitu, walikuwa wap mwaka mzima kufanya hizo hesabu za madeni yao?
 
Hivi yanga inatoaga wapi wanasheria wao, timu imejaa mambumbumbu.

Kwani wakijifunza kwa Simba watapungukiwa nini?
 
Hapa inabidi fukuza fukuza itembee kwa uzembe wote uliofanyika na baada ya hapo hawa wahusika wapewe onyo na amri kwamba tarehe iliyopangwa mechi ifanyike na yoyote atakayediriki kurudia huu upuuzi adhabu kali itolewe ili iwe mfano kwa yoyote kesho au keshokutwa atakayediriki kurudia upuuzi kama huu

You give them a Yard they take a Mile..... ; Huu upuuzi ukiachwa uendelee tutashangaa Ligi inaongozwa na TIMU na sio Bodi ya Mpira wa Miguu na basi tu kina Blatter waliashaacha enzi zake alikuwa hacheki na KIMA ni kufungia nchi nzima...

NB: Wanasiasa wameharibu na kushindwa kwenye Siasa zao wasituharibie na kwenye Game
 
Sasa mtani tunaenda pamoja...
Yataibuka mengii mengii mpka mpira utafungiwa au la busara tena zitatumika...
Hii vita ni ngumu watu wanatetea ugali wao. Wote wanahitaji kukaa chini na kuamua kutunza siri kwa baadhi ya mambo. Kuna baadhi ya taarifa ni siri ya taasisi na taasisi. Ally kalipuka kataja siri za kikao hata yale ambayo hayakupaswa kusemwa na TFF imejibu kiweledi. Ally amekiuka miiko ya uongozi kukiruka kipengele cha confidentiality
 
Ana kesi ya kujibu soon..
Umeongea vyema...au kama wataruhusu kiburi kitawale...tunaenda kupata tunachokitafuta kama nchi...
 
Bado haisaidii kitu, walikuwa wap mwaka mzima kufanya hizo hesabu za madeni yao?
Mimi ni Yanga pia. Hivi umeelewa majibu ya TFF mkuu? Uongozi wa timu yetu uliiandikia TFF kuwa deni likatwe kwenye malipo yao ya zawadi za ubingwa. Inamaana ilishakatwa kitambo. Ilikuwa ni jukumu la timu ya Yanga kwenda TFF kuhakiki makato yao ya deni mapema ili kama kuna kiasi kinabaki kichukuliwe na kama Yanga inadaiwa iendelee kujipanga namna ya kumaliza deni.
 
Hivi yanga inatoaga wapi wanasheria wao, timu imejaa mambumbumbu.

Kwani wakijifunza kwa Simba watapungukiwa nini?
Tukijifunza kwa Simba tutapotea zaidi huko ni giza tupu acha tuendelee kupata nondo toka LALIGA na sevila
 
Ila hapa inabidi viongozi wangu wa Yanga wamshikilie Ally Kamwe asiite tena press conference hachelewi kuziweka barua zote wazi. Kuna maeneo anavuka mipaka
 
Huu mpira wa bongo ni kupumzika tuu na kuwaacha wararuane mpk apatikane mshindi au wote chali...
Alamsiki....
Kwa ninavyoona Yanga wanajitia aibu.
Barua ya TFF inasema Yanga aliomba fedha za zawadi akatwe kwenye madeni anayodaiwa kwa maandishi.

Sio Mara ya kwanza Yanga kudaiwa hata FIFA wanajua Hilo.
 
TFF waivua nguo yanga 🤣🤣🤣
IMG-20250610-WA0013.jpg
 
Back
Top Bottom