Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,899
- 73,370
Shoga yenu utopolo Jamal Malinzi nae enzi zake aliondoka kwa skendo ya utakatishaji fedhaShoga zake makolo ni matapeli
Shoga yenu utopolo Jamal Malinzi nae enzi zake aliondoka kwa skendo ya utakatishaji fedhaShoga zake makolo ni matapeli
"walilipa kwa mujibu wa mkataba kati ya TFF na CRDB". Je mkataba uliwataka fedha za mwaka jana walipe leo?Hii barua ni ya kweli?
Kama ni kweli basi CRDB wamekurupuka kuandika hii barua....kwa sababu ili kumshika mchawi kuna important details nyingi tu ambazo hazipo.
Weka details zote muhimu..je kama mmelipa leo?
Hata hivyo mambo ya muhimu kitaifa hayaachwi nyuma.
Endapo TFF akikataa ndipo hiyo hoja Yako itakua imekaa vizuriHii barua ni ya kweli?
Kama ni kweli basi CRDB wamekurupuka kuandika hii barua....kwa sababu ili kumshika mchawi kuna important details nyingi tu ambazo hazipo.
Weka details zote muhimu..je kama mmelipa leo?
Hata hivyo mambo ya muhimu kitaifa hayaachwi nyuma.
Isingeyeyuka ila wangedai kimya kimyaYanga waishukuru Simba, bila Simba kugomea mechi siku ile hii pesa yao ingeyeyuka kama barafu.
Kwa Raha wanazopata Ukiwaambia wajiuzuru wako tayari soka lifeHapa sasa tayari binafsi naanza kupata picha kwa nini Yanga wanajeuri ya kusema hawachezi dabi.
Kweli kabisa mpaka sasa dabi haitachezwa. Haitachezwa kwa sababu kuna watu wakubwa sana wapo nyuma ya Yanga kuhakikisha Wallace Karia hatoboi labda kwa sababu amezidisha makandokando anakula peke yake.
Na hata Kamwe kusema hawachezi fainali ya CRDB ni mwendelezo wa kuibua hoja kwamba huko TFF wanakula zaidi ya urefu wa kamba, pamejaa rushwa.
Hivi jamani, kuna kipindi ambacho TFF imewahi kuwa na udhamini mnono na pesa nyingi kama awamu ya Karia? Iweje apewe pesa na CRDB halafu asiziwasilishe Yanga? Mana yake wanakula sana hao watu. Safari hii hatoboi!
Reli ipi,kwani hapo kuna uongo wowote?wameamua kutumia iz Timu kututoa kwenye reli eeh
Simba na yanga team za wanywa kahawa hiziHaya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali
TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi?
Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita
---
TAARIFA KWA UMMABenki ya CRDB inapenda kutoa ufanunuzi wa madai yaliyotolewa na Msemaji wa Klabu ya Yanga katika mkutano wake na wanahabari uliofanyika tarehe 09 Juni 2025 katika Makao Makuu ya klabu hiyo.
Katika mkutano huo, Msemaji wa Klabu hiyo alinukuliwa akitoa taarifa kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kwetu kama Mdhamini Mkuu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB kuwa Klabu ya Yanga haitocheza fainali za mashindano hayo msimu huu kama hawatolipwa fedha za ubingwa wa msimu uliopita.
Tungependa kuufahamisha umma na wadau wote wa soka kuwa Benki ya CRDB ni taasisi yenye kuzingatia weledi, kanuni na taratibu na kwa msingi huo tayari Benki ilikwisha tekeleza kikamilifu wajibu wake wa kifedha kwa TFF kama sehemu ya makubaliano ya udhamini wa mashindano haya. Malipo yote ya msimu uliopita yalifanyika kwa TFF kwa mujibu wa mkataba baina ya Benki ya CRDB na TFF.
Benki ya CRDB inatambua kuwa mbali na mchezo wa soka kuunganisha jamii yetu na kutoa burudani, lakini pia mchezo huu ni ajira kwa vijana wengi, hivyo dhamira yetu ni kuendelea kushirikiana na TFF, vilabu na wadau wengine katika kukuza mchezo huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Imetolewa na;
Idara ya Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma
Benki ya CRDB
Juni 10, 2025
Mshaanza kucheza mdundo wa Yanga sasa,na mbadoKuna kitu kinaendelea hapa si
bure...
Yajayo hayafurahishi..
Baada ya kupakwa mafuta na Waarabu sioNilisha ignore Jukwaa la Sports na mambo ya soka kwa ujumla. Lakini hizi habari bado zinanifuata huku
Bado hajasema,wengi mlikuwa mnailaumu Yanga bila kujua nini kipo nyuma ya pazia juu ya uozo wa TFF na Bodi yake.Nimebaini soka la Tz linasimamiwa na viongozi wapuuzi wasio na maono yeyote kuanzia clubs mpaka TFF. Sasa mimi siwezi kuendelea kufuatilia vitu vya kitoto toto.
Imagine Shirikisho la soka linatapeli club fedha. Lakini kuna sababu gani zawadi ya Yanga apokee TFF. Inatofauti gani na wale tuma kwa namba hii
Unapenda usikie Yanga walikuwa wanadaiwa uanze kutusumbua humu🤣🤣🤣Tutajua soon
Propaganda hizi za kina Jemedari, huwezi badilisha matumizi pesa za udhamini labda kama walikua wanaidai yangaInasemekana uto waliomba zikatwe kama ada za wachezaj wa nje
Mechi imeahirishwa hadi sintofahamu inayoendelea itakapopatiwa ufumbuzi na kumalizika.Wataamuaje kwani....
TANZANIA FOOTBALL FAILURE TUNAOMBA KUJUA PESA ZETU SISI WANAYANGA ZIKO WAPI, KUMBE MZIGO ULISHAWEKWA MEZANI TAYARI MKAUFICHA [emoji23]
Ahahha si unajua Karia hawezi kukubali kirahisi so mengi yataenda kutokea soon...Unapenda usikie Yanga walikuwa wanadaiwa uanze kutusumbua humu🤣🤣🤣
Wallace awe makini na hiki kinachoendelea mambo mengi yataibuka. Kuna pesa zile za fainali za kombe la dunia kwa wale mabinti zIlitaka kuleta maneno na pesa nyingi zinazotoka FIFA. Wakati huu wa kumwaga mboga inatakiwa awe makini zaidi.
Ukikaa kwenye kitengo cha pesa au kusimamia taasisi inayopokea pesa toka taasisi nyingine huwezi maliza salama ama sivyo ujitoe mapema. Sep blater haikumuacha salama. Pesa inamuingiza matatizoni yeyoteShoga yenu utopolo Jamal Malinzi nae enzi zake aliondoka kwa skendo ya utakatishaji fedha
Kumbe..Mechi imeahirishwa hadi sintofahamu inayoendelea itakapopatiwa ufumbuzi na kumalizika.