Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,899
- 73,370
ahahaah inapendeza hivi hiviMpaka na nyie mkubali kusema hamchez
ahahaah inapendeza hivi hiviMpaka na nyie mkubali kusema hamchez
Tuungane hawa Tff sioahahaah inapendeza hivi hivi
Unaweza ukakuta na yeye refa anadai posho ya mechi zaidi ya kumi hajalipwa.Mfikirie refa ambaye analipwa 300K, 500K au 1M halafu anaenda kuchezesha mechi ya Kengold dhidi ya Simba au Yanga. Waamuzi wakapigwa 10M halafu mabeki wakapigwa 2m kila mmoja unaona nini kinatokea?
Inawezekana kabisa. Ingawa mechi nyingi wanalipwa kwa kuwa wanasafiri ila ndio wanapewa kiduchu mwisho wa siku unakuta anahudumiwa na Yanga au Simba.Unaweza ukakuta na yeye refa anadai posho ya mechi zaidi ya kumi hajalipwa.
majibu yatapatikana tuuTuungane hawa Tff sio
Kama hujaelewa tulia..Taarifa yao imezingatia weledi. Huwezi weka kila details
Na Kidau....wote wajiuzulu ni aibuuuuSiyo TFF ni Karia
Mkubwa pole sana kuchukua muda huo wote kuelewa hili.Nimebaini soka la Tz linasimamiwa na viongozi wapuuzi wasio na maono yeyote kuanzia clubs mpaka TFF. Sasa mimi siwezi kuendelea kufuatilia vitu vya kitoto toto.
Imagine Shirikisho la soka linatapeli club fedha. Lakini kuna sababu gani zawadi ya Yanga apokee TFF. Inatofauti gani na wale tuma kwa namba hii
Wamepost kwenye official page Yao.Hii barua ni ya kweli?
Kama ni kweli basi CRDB wamekurupuka kuandika hii barua....kwa sababu ili kumshika mchawi kuna important details nyingi tu ambazo hazipo.
Weka details zote muhimu..je kama mmelipa leo?
Hata hivyo mambo ya muhimu kitaifa hayaachwi nyuma.
kwa hiyo unataka maisha mengne yasiendelee basi acha kula chakula,kulala,kukaa,kunywa maji maana navyo ni mpango wa ccm kukutoa kwenye reli NO KUJIUZULU NO DERBYNahisi kama drama za CCM kuwatoa wa Tanzania kwenye heka heka za no reforms
Tutajua soonAu Yanga tuna deni TFF walikata kama Songesha?🤔
sio kujidharirirsha ni kujidhalilishaHaya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali
TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi?!!!
Asante kwa kunisahihisha au kuna lingine?!!sio kujidharirirsha ni kujidhalilisha
hapana ni hilo tuAsante kwa kunisahihisha au kuna lingine?!!
Naunga mkono hojaUnaweza ukakuta na yeye refa anadai posho ya mechi zaidi ya kumi hajalipwa.
Kama inawezekana TFF wawe na chombo huru cha ukaguzi wa mahesabu, ikiwezekana kimilikiwe na wadau kwa maana ya Clubs zinazo shiriki ligi kuu na shirikisho (CRDB), kitakacho kagua hizi hela zote za udhamini, haki ya matangazo, mapato na matumizi na kuwe na ripoti itakasomwa kwa wadau na kila mdau apewe copy yake.
Sasa kama hiyo 50m,wameminya vipi hizo bil 225 za Azam,alizo weka kwa misimu kumi,sijui zinahali gani baada ya kufika TFF.
Shukurani kiongozihapana ni hilo tu
💪No reform no election