Taarifa yao imezingatia weledi. Huwezi weka kila detailsHii barua ni ya kweli?
Kama ni kweli basi CRDB wamekurupuka kuandika hii barua....kwa sababu ili kumshika mchawi kuna important details nyingi tu ambazo hazipo.
Weka details zote muhimu..je kama mmelipa leo?
Hata hivyo mambo ya muhimu kitaifa hayaachwi nyuma.
Wataamuaje kwani....Baada ya tarehe 15 itakuwa zamu yenu kugomea maamuzi ya TFF na bodi ya ligi. Episode bado ziko kibao zinaendelea kabla hatujafika kwa Almasi
Whatever goes around....Karia akamatwe
Edit na tarehe mkuu
Nimebaini soka la Tz linasimamiwa na viongozi wapuuzi wasio na maono yeyote kuanzia clubs mpaka TFF. Sasa mimi siwezi kuendelea kufuatilia vitu vya kitoto toto.Umezipenda au zimekuboa?
Hapa sasa tayari binafsi naanza kupata picha kwa nini Yanga wanajeuri ya kusema hawachezi dabi.Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali
TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi?!!!
TusubiriWataamuaje kwani....
Sawa....Tusubiri
TTF hawataki kutoa fedha kwa washindi/mshindi wa msimu uliopita?Benki ya CRDB imefafanua kuhusu Madai ya Yanga ya kutopatiwa fedha za ubingwa wa msimu uliokwisha wa CRDB Bank Federation Cup ✍🏿
"Benki ilikwisha tekeleza kikamilifu wajibu wake wa kifedha kwa TFF kama sehemu ya makubaliano ya udhamini wa mashindano haya, malipo yote ya msimu uliopita yalifanyika kwa TFF kwa mujibu wa mkataba baina ya Benki ya CRDB na TFF."- Taarifa kutoka CRDB BANK.
"Benki ya CRDB inapenda kutoa ufanunuzi wa madai yaliyotolewa na Msemaji wa Klabu ya Yanga katika mkutano wake na wanahabari uliofanyika tarehe 09 Juni 2025 katika Makao Makuu ya klabu hiyo. Katika mkutano huo, Msemaji wa Klabu hiyo alinukuliwa akitoa taarifa kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kwetu kama Mdhamini Mkuu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB kuwa Klabu ya Yanga haitocheza fainali za mashindano hayo msimu huu kama hawatolipwa fedha za ubingwa wa msimu uliopita."- Taarifa kutoka CRDB BANK.
"Tungependa kuufahamisha umma na wadau wote wa soka kuwa Benki ya CRDB ni taasisi yenye kuzingatia weledi, kanuni na taratibu na kwa msingi huo tayari Benki ilikwisha tekeleza kikamilifu wajibu wake wa kifedha kwa TFF kama sehemu ya makubaliano ya udhamini wa mashindano haya. Malipo yote ya msimu uliopita yalifanyika kwa TFF kwa mujibu wa mkataba baina ya Benki ya CRDB na TFF."- Taarifa kutoka CRDB BANK.
"Benki ya CRDB inatambua kuwa mbali na mchezo wa soka kuunganisha jamii yetu na kutoa burudani, lakini pia mchezo huu ni ajira kwa vijana wengi, hivyo dhamira yetu ni kuendelea kushirikiana na TFF, vilabu na wadau wengine katika kukuza mchezo huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu."- Taarifa kutoka CRDB BANK.View attachment 3363107
Tupo busy na ChademaHaya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali
TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi?!!!
Siyo TFF ni KariaDaaaaa TFF ni wezi kumbeeee
Mpaka na nyie mkubali kusema hamcheziNi mwendo wa taarifa kwa UMMMMMA
Mfikirie refa ambaye analipwa 300K, 500K au 1M halafu anaenda kuchezesha mechi ya Kengold dhidi ya Simba au Yanga. Waamuzi wakapigwa 10M halafu mabeki wakapigwa 2m kila mmoja unaona nini kinatokea?Uhuni mwingi soka letu kivyetuvyetu, kanuni zipo hila hazifuati ni mwendo wa hekima na busara. Then leo linaibuka jingine hili la upigaji. Timu kubwa kama Yanga haijalipwa chake vipi hao wengine,marefa nao manake tuna walaumu ila hatujui nao watakuwa wanakopwa. Mpira wa bongo mgumu sana.
Ripoti ya ukaguzi wa sieji wa tiefuefu na , Bodi ya ligi zipoje, sio za ummaHaya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali
TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi?!!!