Champion number one
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 1,560
- 4,016
Tff imeoza yanga wapo sahihi..
Ukiona manyoya ama manyonyo😋🙌🏿🙈😂TFF nawaita mara 3 leteni majibu
Imeisha iyo😁Karia akamatwe
NASHANGAA UMELETA UZI HUU BILA KUIPONDA YANGA..!Benki ya CRDB imefafanua kuhusu Madai ya Yanga ya kutopatiwa fedha za ubingwa wa msimu uliokwisha wa CRDB Bank Federation Cup ✍🏿
"Benki ilikwisha tekeleza kikamilifu wajibu wake wa kifedha kwa TFF kama sehemu ya makubaliano ya udhamini wa mashindano haya, malipo yote ya msimu uliopita yalifanyika kwa TFF kwa mujibu wa mkataba baina ya Benki ya CRDB na TFF."- Taarifa kutoka CRDB BANK.
"Benki ya CRDB inapenda kutoa ufanunuzi wa madai yaliyotolewa na Msemaji wa Klabu ya Yanga katika mkutano wake na wanahabari uliofanyika tarehe 09 Juni 2025 katika Makao Makuu ya klabu hiyo. Katika mkutano huo, Msemaji wa Klabu hiyo alinukuliwa akitoa taarifa kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kwetu kama Mdhamini Mkuu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB kuwa Klabu ya Yanga haitocheza fainali za mashindano hayo msimu huu kama hawatolipwa fedha za ubingwa wa msimu uliopita."- Taarifa kutoka CRDB BANK.
"Tungependa kuufahamisha umma na wadau wote wa soka kuwa Benki ya CRDB ni taasisi yenye kuzingatia weledi, kanuni na taratibu na kwa msingi huo tayari Benki ilikwisha tekeleza kikamilifu wajibu wake wa kifedha kwa TFF kama sehemu ya makubaliano ya udhamini wa mashindano haya. Malipo yote ya msimu uliopita yalifanyika kwa TFF kwa mujibu wa mkataba baina ya Benki ya CRDB na TFF."- Taarifa kutoka CRDB BANK.
"Benki ya CRDB inatambua kuwa mbali na mchezo wa soka kuunganisha jamii yetu na kutoa burudani, lakini pia mchezo huu ni ajira kwa vijana wengi, hivyo dhamira yetu ni kuendelea kushirikiana na TFF, vilabu na wadau wengine katika kukuza mchezo huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu."- Taarifa kutoka CRDB BANK.View attachment 3363107
Baada ya tarehe 15 itakuwa zamu yenu kugomea maamuzi ya TFF na bodi ya ligi. Episode bado ziko kibao zinaendelea kabla hatujafika kwa AlmasiKuna kitu kinaendelea hapa si
bure...
Yajayo hayafurahishi..
Vipi hii si aibu Kwa tff?Imeisha iyo😁
Karia anang'olewa kirahisa kuliko kiongozi yeyote wa TFFImeisha iyo😁
Hawajawahi kuwa na aibu haoVipi hii si aibu Kwa tff?
Magu angekuwepo takukuru ingeshaondoka na watu pale TFFHaya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali
TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi?!!!
Details kama zipi?Hii barua ni ya kweli?
Kama ni kweli basi CRDB wamekurupuka kuandika hii barua....kwa sababu ili kumshika mchawi kuna important details nyingi tu ambazo hazipo.
Weka details zote muhimu..je kama mmelipa leo?
Umezipenda au zimekuboa?Nilisha ignore Jukwaa la Sports na mambo ya soka kwa ujumla. Lakini hizi habari bado zinanifuata huku
Anataka Taarifa za muamalaDetails kama zipi?
Acha ujuaji wewe,waambie tff wakanusheHii barua ni ya kweli?
Kama ni kweli basi CRDB wamekurupuka kuandika hii barua....kwa sababu ili kumshika mchawi kuna important details nyingi tu ambazo hazipo.
Weka details zote muhimu..je kama mmelipa leo?
Hata hivyo mambo ya muhimu kitaifa hayaachwi nyuma.