Waambie TFF waweke zao
 
Sasa ulitegemea TFF itajitetea vipi kama sio kuwaita Yanga waende? Na kwa akili ndogo tuu unadhani taasisi kubwa kama TFF haina records zote za madeni inayodai na kudaiwa na wadau mbalimbali ikiwemo hizi clubs?
 
Na mimi naona hiyo, ile barua imelenga kumtuliza mdhamini tu. TFF wanachofanya wanaishikiria pesa na kuibadilishia matumizi ili siku ukiwa na kosa wanakata juu kwa juu kufidia kitu ambacho sio sawa.
Miaka yote tangu enzi za FAT na TFF zilizopita walikuwa hawagusi hela za zawadi za ubingwa za clubs,walikuwa wanakatana kwenye gates collection na hela za CAF.
 
Kwanin unaona watu wa finance yanga ndo walipaswa kwenda tff kukokotoa salio?
Na sio tff walipaswa wawape Yanga salio lao baada ya kukata deni wanalosema?

Kata chako unipe haki yangu, siyo ukate chako halafu tena ubaki na haki yangu. Hiyo siyo sawa
Yaani hao watu wanajitoa ufahamu,badala ya TFF kuweka wazi hayo madeni ya Yanga na hela waliyokata na iliyobaki badala yake Yanga ndio anaambiwa atoe hesabu.
 
Ivi hao viongozi wa TFF sjui bodi ya ligi
Si wajiuzulu mwisho wa siku wanatafuta magonjwa bure
 
Yanga tukiiponda tiefuefu kuna mbumbumbu huchukia wakisema wenye akili uto ni wawili tu, huu ni ushahidi kuwa hao jamaa ni kundi la wahuni kama wahuni wengine tu, hivi pesa ya Yanga anayo nani sasa? Ndio maana marefa wanakula mpunga na kuibeba Simba na wao wako kimya maana wanajua wamejaa magumashi, mpunga wa Yanga ulipwe haraka kesho nao waachie viti haraka, hii si nchi ya wahuni, mpira wetu wameshauozesha bila aibu, Simba ikicheza kila mtu anajua matokeo, majitu mazima ovyo, Rais wao atoke Sasa imetosha kila siku majanga tu , haoni aibu?
 
Tulisema Kalio ni janga la Taifa, mukatuona tunachuki.
 
TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi?
Tatizo ulikimbilia kuanzisha uzi bila kujua Yanga walisongesha, ilpoingia ya CRDB ikakatwa na bado haikutosha kumaliza deni. Sasa upo na wakati mgumu kuutetea uzi wako!
 
Tatizo ulikimbilia kuanzisha uzi bila kujua Yanga walisongesha, ilpoingia ya CRDB ikakatwa na bado haikutosha kumaliza deni. Sasa upo na wakati mgumu kuutetea uzi wako!
Yanga walishajibu huko fuatilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…