Headcorner
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 205
- 292
Feisal yupo zake mambele,barua enyewe ya kidhungu ataelewaBarua ya TFF
Yanga, Feisal na Tff. Kuna mmoja kati yao hajui kiswahili au? Mbona barua ni ya kizungu?Barua ya TFF
Labda FeisalYanga, Feisal na Tff. Kuna mmoja kati yao hajui kiswahili au? Mbona barua ni ya kizungu?
Nimesema jana hapa. Yanga wameumizwa sana na hili jambo, ni kama bado wamepigwa na butwaa. Hawajui hata hatma yao hasa katika mashindano ya Afrika itakuwaje bila huyu dogo kuwepo.Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (Kamati) limepokea malalamiko dhidi yako (FEISAL SALUM ABDALLAH) kutoka kwa Young Africans Sports Club (Klabu) kuhusu hali ya mkataba wako na Klabu.
Kwa barua hii, unaitwa kufika binafsi na mshauri wako wa kisheria mbele ya Kamati siku ya Jumatano, tarehe 4 Januari 2023 saa 10:00 katika Ofisi ya TFF, Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza malalamiko hayo.
Yanga ni Taasisi, lazima ifanye mambo yake kitaasisiYanga wameshaanza uchawi wao kwa huyu dogo.
Sio msaada, ni utaratibu. Misaada hupatiwa mikiaHahahahaha TFF ambayo ilikuwa inapigwa vita kuwa inachuki na Yanga leo inatumiwa kama msaada