Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ni mengi Beshti....Na Muda hakuna...Khee kumbe bado ngoma mbichi?
Hapo sasa wamwache aende hawatakii..Mambo ni mengi Beshti....Na Muda hakuna...
Mtu analizimishwa kufanya kitu hataki[emoji1787]
Sasa hata akirudi ile kujituma itakuwepo kweli...Au atakuwa anashindia Bench ili kumkomoa tu?
Anyway:Happy New year Beshti yake...
Kabisa Dear....Hapo sasa wamwache aende hawatakii..
Happy new year kipenzi...
Mwaka umeanza na pilikapilka
Kwa hiyo leo ma imani na TFF na ndio maana mnaitumia kwenye swala la Feisali?Sio msaada, ni utaratibu. Misaada hupatiwa mikia
hajahama nchi,utarudi tu.Feisal yupo zake mambele,barua enyewe ya kidhungu ataelewa
Mwisho hiyo saini ya katibu si alitakiwa kidao au huyo ndo wa hadhi ya wachezaj
Sio KUITUMIA, huo ni utaratibu unaopaswa kufuatwa. Kwani TFF inatumiwa kupeleka wapi mashitaka? Au ulitaka Yanga waende wapi?Kwa hiyo leo ma imani na TFF na ndio maana mnaitumia kwenye swala la Feisali?
Chukwu emeka vile vipindi vya kuchekesha nilijua vimeishia mwaka 2022
Kama mnaheshimu utaratibu kwanini mlikuwa walalamishi kwenye swala la Kisinda kuenguliwa baada ya kukiuka utaratibu na baadaye mkaanza kusema TFF inachuki dhidi ya Yanga?Sio KUITUMIA, huo ni utaratibu unaopaswa kufuatwa. Kwani TFF inatumiwa kupeleka wapi mashitaka? Au ulitaka Yanga waende wapi?
Anachezea timu gani huko nje ya nchi?Yanga waaache Roho mbaya na Chuki za kipumbavu. Kijana kawatumikia kwa Moyo wote, Kitambaa cha Unahodha kavaa kwa adabu zote. Leo kaaamua kuyasaka maisha Nje ya Nchi mnamletea Giza na Uchawi wa kijinga. Kweli hii mijitu akili zao ni nyeusi nyeusi sana fooolish sana
Caf au FIFA si ndio wanakokimbilia Rudi ishu ya Morrison na bado mtu akaliwa kichwaSio KUITUMIA, huo ni utaratibu unaopaswa kufuatwa. Kwani TFF inatumiwa kupeleka wapi mashitaka? Au ulitaka Yanga waende wapi?
Ndio taasisi ya awali onayotakiwa kuwa sehemu ya kisheria... Nje ya hapo naamini Kama Kuna njia mbadala yanga hawezi peleka suala lake kwa Tff hii...Hahahahaha TFF ambayo ilikuwa inapigwa vita kuwa inachuki na Yanga leo inatumiwa kama msaada
Kwa hiyo Yanga imeamua kwenda TFF baada ya kukosa option zaidi?Ndio taasisi ya awali onayotakiwa kuwa sehemu ya kisheria... Nje ya hapo naamini Kama Kuna njia mbadala yanga hawezi peleka suala lake kwa Tff hii...
Mbona kama huna ufahamu? Naanza kutilia ashaka uelewa wako. Malalamiko pia ni sehemu ya UTARATIBU. Unashangaa nini? Kwa hiyo ulitaka kila kitu kiwe NDIO MZEE? Hebu acha ushabiki mandazi fungua ufahamu wakoKama mnaheshimu utaratibu kwanini mlikuwa walalamishi kwenye swala la Kisinda kuenguliwa baada ya kukiuka utaratibu na baadaye mkaanza kusema TFF inachuki dhidi ya Yanga?
Kwanini ishu ya kufungiwa Manara ambayo ipo kiutaratibu hamkukubaliana nayo na kuitpia lawama TFF kuwa inachuki dhidi ya Yanga?
Leo hii kwenye ishu ya Feisal kwasababu wewe ndio inakusaidia, unaona TFF ni utaratibu?
Kumbe mikia wengi ni mambumbumbu wakubwa wa sheria na taratibu zake. Kwani suala la Morrison lilianzia CAF moja kwa moja? Unaelewa maana ya rufaa na wakati gani inachukuliwa?Caf au FIFA si ndio wanakokimbilia Rudi ishu ya Morrison na bado mtu akaliwa kichwa
Mkuu upande uliosimama wewe ndio upande unaotoa hoja za kishabiki na sio mpiraMbona kama huna ufahamu? Naanza kutilia ashaka uelewa wako. Malalamiko pia ni sehemu ya UTARATIBU. Unashangaa nini? Kwa hiyo ulitaka kila kitu kiwe NDIO MZEE? Hebu acha ushabiki mandazi fungua ufahamu wako
Sasa nyinyi utopolo si Amna Imani na tff nendeni uko mkapate aki au shida ni mwiko uko nyumaKumbe mikia wengi ni mambumbumbu wakubwa wa sheria na taratibu zake. Kwani suala la Morrison lilianzia CAF moja kwa moja? Unaelewa maana ya rufaa na wakati gani inachukuliwa?