Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Atakuwa anapangwa dakika kumi tu za mwishoSasa mimi swali langu ni moja,je kama yanga atashinda kesi hii na feisal akatakiwa kurudi yanga JE ATACHEZA KWA MOYO MMOJA AU NDO ATAJIVUNJA KILA MECHI??.
Nadhani ni heri kumuacha mtu mzima akishaamua aende zake.
Huwezi kumlazimisha mtu mzima,akiamua lake ndo kashaamua hivyo.