Thamani ya pesa yetu inazidi kuporomoka. Shida ni nini?

Leo dola moja ni Tsh 2350 mtandaoni. Gharama za vitu tunavyoagiza itazidi kupanda. Shida nini pesa yetu kuporomoka namna hii? Hivi kuna namna tunaweza kuachana na kuagiza vitu kwa dola?
Baki hivyó hivyo wenzako Wana account za dólar wewe umeweke katika pesa za madafu Lazima ulilie.
 
Fungua kiwanda/viwanda vya hizo bidhaa unazoagiza,itasaidia shilingi kuimarika,pesa ni bidhaa,ikihitajika kwa wingi hupanda thamani
Viwanda vinahitaji kemikali kutoka China na India
 
Nenda na hiyo pesa yako uone kama hujafukuzwa
 
Mwendazake aliacha 2310 imeongezeka 40 Siku 720 tu ikifika miaka 5 itakuwaje
Ukisikia wanaahangilia mama anaonya nchi ni pamoja na kuruhusu Beru de change .hii mbona bado sana itafika 5000 muda si mrefu
 
Sawa kibwetere safina inakamilika lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo dola moja ni Tsh 2350 mtandaoni. Gharama za vitu tunavyoagiza itazidi kupanda. Shida nini pesa yetu kuporomoka namna hii? Hivi kuna namna tunaweza kuachana na kuagiza vitu kwa dola?
Wewe!! Ni sh 2,402 NMB hao
 
Acha kusema uongo.magufuli alikuta 2250 hadi anaondoka ilipanda kidogo tu.lakini wa sasa tunakoelekea atamaliza mda wake ikiwa zaidi ya 3000
Sasa hapo mwongo nani? Yaani hata ukigoogle tu inakwambia bei zote na mwaka
Haya bwashee sie wakulima hatujui mambo ya dola tunawaachia wafanyabiashara
 
Kwa kuwa ni wagalatia wenzako?
Mwongo mkubwa, magufuli alikuta daola 1600/= ikapanda mpaka 2300
Wewe pimbi sana! Huyo Samia amekupa nini? Taahira mkubwa unaparamia tu mada hata hoja huna taarifa!
 
Attachments

  • Screenshot_2023-04-24-21-01-26-995_com.android.chrome.jpg
    127.7 KB · Views: 3
Unaleta kunena kwa lugha kwenye uchumi?
 
Leo dola moja ni Tsh 2350 mtandaoni. Gharama za vitu tunavyoagiza itazidi kupanda. Shida nini pesa yetu kuporomoka namna hii? Hivi kuna namna tunaweza kuachana na kuagiza vitu kwa dola?
Tumwite madelu aje kutuelezea sarakasi za ukuajii imara wa uchumi wetu.

ChoiceVariable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…