HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Banks na Bureau zote bei ni 2400+2350?
Mbona nimeona mahali 2402?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Banks na Bureau zote bei ni 2400+2350?
Mbona nimeona mahali 2402?
sawa anaisimamia kaburini katafute site hukoAcha uongo alieisimamia Dora vizuri ni jpm ,mkapa na Nyerere tu
Baki hivyó hivyo wenzako Wana account za dólar wewe umeweke katika pesa za madafu Lazima ulilie.Leo dola moja ni Tsh 2350 mtandaoni. Gharama za vitu tunavyoagiza itazidi kupanda. Shida nini pesa yetu kuporomoka namna hii? Hivi kuna namna tunaweza kuachana na kuagiza vitu kwa dola?
Hata hivyo BOT ilijitahidi sana kuingilia na kukontrol. Hadi huu mwaka uishe lazima itakuwa 2500+Na yeye aliikuta 1650 mwaka 2015
Mpaka anaondoka ongezeko la 660 siku 2160
Sijui angemaliza ingekuwaje
Kweli ulichosemaAcha kusema uongo.magufuli alikuta 2250 hadi anaondoka ilipanda kidogo tu.lakini wa sasa tunakoelekea atamaliza mda wake ikiwa zaidi ya 3000
Viwanda vinahitaji kemikali kutoka China na IndiaFungua kiwanda/viwanda vya hizo bidhaa unazoagiza,itasaidia shilingi kuimarika,pesa ni bidhaa,ikihitajika kwa wingi hupanda thamani
Nenda na hiyo pesa yako uone kama hujafukuzwasiyo kweli kitu gani, fuatilia taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika. Leo hii tar 24.04.2023 dola ya Marekani ilinunuliwa kwa sh. 2301 na kuuzwa kwa sh 2324. Taarifa ya BOT. nenda hata kwenye tovuti yao siyo mnajidanganya vijiweni. Huyo mpotoshaji ana malengo yake maovu.
Berude change zimeeudi kama kawaida mpaka 2024 mbona itafika 5000Leo dola moja ni Tsh 2350 mtandaoni. Gharama za vitu tunavyoagiza itazidi kupanda. Shida nini pesa yetu kuporomoka namna hii? Hivi kuna namna tunaweza kuachana na kuagiza vitu kwa dola?
Ukisikia wanaahangilia mama anaonya nchi ni pamoja na kuruhusu Beru de change .hii mbona bado sana itafika 5000 muda si mrefuMwendazake aliacha 2310 imeongezeka 40 Siku 720 tu ikifika miaka 5 itakuwaje
Sawa kibwetere safina inakamilika lini?Hamjui kusoma alama za nyakati.
Kuanzia 2023 imetabiriwa Uchumi wa Dunia kuporomoka, Mungu aliumba Dunia, akatukabidhi, Badala ya kumwabudu Mungu, tunatumia pesa zetu kumtenda dhambi.
Kila kitu kitavurugwa, ni tuanze moja, tukumbuke tulipojikwaa.
Kuanzia 2023 na kuendelea, hayupo atakayetegemea pesa ktk mabenki alikotunza akiba maana vyote vitapukutika.
Imeandikwa, mwenye HAKI ataishi Kwa Imani, huu ni mwanzo wa Ishara tu, mziki wenyewe unaanza 2024 na kuendelea.
Tutarudi tu shambani, Ili mtu ale ni lazima afanye KAZI na atoke JASHO, mifumo yote ya ajira itavurugika.
Ingia kwenye safina kama utapenda kustahimili mkwamo unaokuja .
Ameen
Wewe!! Ni sh 2,402 NMB haoLeo dola moja ni Tsh 2350 mtandaoni. Gharama za vitu tunavyoagiza itazidi kupanda. Shida nini pesa yetu kuporomoka namna hii? Hivi kuna namna tunaweza kuachana na kuagiza vitu kwa dola?
Kwa kuwa ni wagalatia wenzako?Acha uongo alieisimamia Dora vizuri ni jpm ,mkapa na Nyerere tu
Sasa hapo mwongo nani? Yaani hata ukigoogle tu inakwambia bei zote na mwakaAcha kusema uongo.magufuli alikuta 2250 hadi anaondoka ilipanda kidogo tu.lakini wa sasa tunakoelekea atamaliza mda wake ikiwa zaidi ya 3000
Wewe mnafiki sana! Nyie ndioNa yeye aliikuta 1650 mwaka 2015
Mpaka anaondoka ongezeko la 660 siku 2160
Sijui angemaliza ingekuwaje
Wewe pimbi sana! Huyo Samia amekupa nini? Taahira mkubwa unaparamia tu mada hata hoja huna taarifa!Kwa kuwa ni wagalatia wenzako?
Mwongo mkubwa, magufuli alikuta daola 1600/= ikapanda mpaka 2300
Unaleta kunena kwa lugha kwenye uchumi?Hamjui kusoma alama za nyakati.
Kuanzia 2023 imetabiriwa Uchumi wa Dunia kuporomoka, Mungu aliumba Dunia, akatukabidhi, Badala ya kumwabudu Mungu, tunatumia pesa zetu kumtenda dhambi.
Kila kitu kitavurugwa, ni tuanze moja, tukumbuke tulipojikwaa.
Kuanzia 2023 na kuendelea, hayupo atakayetegemea pesa ktk mabenki alikotunza akiba maana vyote vitapukutika.
Imeandikwa, mwenye HAKI ataishi Kwa Imani, huu ni mwanzo wa Ishara tu, mziki wenyewe unaanza 2024 na kuendelea.
Tutarudi tu shambani, Ili mtu ale ni lazima afanye KAZI na atoke JASHO, mifumo yote ya ajira itavurugika.
Ingia kwenye safina kama utapenda kustahimili mkwamo unaokuja .
Ameen
Hizo kemikali Nazo mwingine mwenye uchungu na sarafu yetu ataanzisha kiwanda chakeViwanda vinahitaji kemikali kutoka China na India
Tumwite madelu aje kutuelezea sarakasi za ukuajii imara wa uchumi wetu.Leo dola moja ni Tsh 2350 mtandaoni. Gharama za vitu tunavyoagiza itazidi kupanda. Shida nini pesa yetu kuporomoka namna hii? Hivi kuna namna tunaweza kuachana na kuagiza vitu kwa dola?