Thamani ya Yanga ni Tsh. Bilioni 100, Simba ni Tsh. Bilioni 20

Nani kasema sisi tuna kiwanja?

Hizo bilioni 100 zimekuwehusha kiasi hiki?
Kwanini Sasa unasema Wanachama wa Yanga wanashangilia tu uwanja hewa, ikiwa wewe huna uwanja, mkutano mkuu hamjafanya Toka ule aliohudhuria mgeni rasmi alikuwa Manzoki, hamsomewi bajeti mpo gizani mambumbumbu
 
Hivi zile Bil. 20 za Mo alizowaahidi Wanathimba alizitoa??
 
We ni mfano hai wa kile kinachoitwa “ujinga unaojivunia”

Aina ya ujinga ambao si tu hauna aibu, bali unajitangaza kwa kelele kama vile ni ushindi wa Nobel.

Na kwa bahati mbaya, nyuzi kama zako huwenda ndizo zilikuwa zikitawala timeline ya JamiiForums TCRA walipoamua kufungua ukurasa mmoja, wakakutana na bandiko lako, wakaulizana: “Hivi kweli hawa ni great thinkers?” Kisha wakaifungia jukwaa lote kwa kosa la mtu mmoja asiyejua tofauti ya club value na squad value.
 
Reactions: Tui
Timu haina uwanja,haina vitegea uvhumi vya kueleweka,ina wachezaji wenye thamani ya buku buku halafu unaambiwa ina thamani kuliko Al ahly na Mamelody🚮
Lini Ahly akawa na uwanja?
Man City hana uwanja
Chelsea hana uwanja
Inter hana uwanja
PSG hana uwanja
AC Milan hana uwanja
 
We ndo takataka unayefananisha club value na squrd value
Yaani unasema kwamba squard value ni sawa na thamani ya club?
Yaani Ahly akiuza wachezaji wake anafikia hizo 99 b, halafu wewe unasema hizo 99 b ndo thamani ya Ahly, upo timamu au na wewe ni Kati ya mambumbumbu.
Haya kadiria Thamani ya Simba ya Sasa utwambie hapa
 
Kwanini Yanga wanaitwa kandambili!?
 
Kaka 1300 ni nyongeza kama bonas. Yanga wanamkata na gsm wanawapa zaidi ya 2b kwa mwaka mkataba ulisainiwa 2022 unaelekea mwisho. Simba kwenye huo mkataba ndio wanapata 3b bila bonas yoyote. Pole sana kwa kukosa taarifa kamili.
Yanga inajaza ukiona wamefungulia mbwa tiket zishauzwa tiyari mapato yameingia.
 
Umekaa kibishi sana hivi unazani thaman ya heka moj la kigamboni ni shiling ngap. Pale kariako lilipo jengo la yanga bado pana thaman kubwa sana sio pa kubeza
 
Tupe basi thaman ya jengo la yanga lilipo inaweza kua ngap
 
Hivi wewe hata shule imo kichwani umo make hata hueleweki kuichangia ccm na thaman ya club vinaemdana nini
 
Hizi hesabu brother K tu ndiye anaweza kubalance.
 
Reactions: Tui
Ni sh ngap? Hebu twambie
Wana asset Gani mkuu, Kwa hiyo nawe umejaa ka wale madeiwaka wa kariakoo, ukiona ndugu yako ni shabiki wa hizi timu sali sana analeta matatizo kwenye familia,

Fullstop, kwishaaaa
 
Timu inashabikia chama cha siasa na kukichangia kabisa. Hiyo timu ni takataka kabisa, haifai kuwepo kwenye ulimwengu wa soka.
 
Hiyo bilioni 100 kama kweli ipo, ni pesa ya GSM siyo ya Yanga. Tuwe wakweli. Tusijisifie mambo ya uongo. Tuendelee kujifunza kwa wenzetu kama Mamelod na Al Ahly ili tuijitegemee kama wao. Yanga na Simba hakuna wa kumcheka mwenzake. Wote bado wanajitafuta. Timu kongwe hazina viwanja hadi leo. Wamezidiwa na timu ndogo, zilizoanzishwa hivi karibuni na tayari zina miondombinu mizuri kama viwanja. Tuache majigambo yasiyo kuwa na tija
 
Kwaiyo Yanga haina thamani yoyote, yani ikionekana Yanga inauzwa hakuna pesa itawekwa mezani
Mbona mnakuwa wapumbavu
Uwanja sio kila kitu kwenye mpira
Man City hana uwanja
Chelsea hana uwanja
PSG hana uwanja
Ac Milan hana uwanja
Inter Milan hana uwanja
Fayernood hana uwanja
Ahly hana uwanja
 
Wewe ndiye mpumbavu unayeshabikia/unameza kila kitu unachoambiwa kuhusu timu yako-hasa kinachohusu kusifia, bila kufikiri/kutafakari kwa kina kwanza.
 
Wewe ndiye mpumbavu unayeshabikia/unameza kila kitu unachoambiwa kuhusu timu yako-hasa kinachohusu kusifia, bila kufikiri/kutafakari kwa kina kwanza.
Sasa wenzako wamekwambia waliwapa kazi taasisi binafsi ya kimataifa wafanye hesabu na utafiti walete thamani ya Yanga
Utafiti ukaja na thamani ya Yanga ni billions 100, Sasa wewe mbumbumbu unabisha Kwa utafika Gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…