Acha uongo kijana unapata nini kudanganya umma?Kaka 1300 ni nyongeza kama bonas. Yanga wanamkata na gsm wanawapa zaidi ya 2b kwa mwaka mkataba ulisainiwa 2022 unaelekea mwisho. Simba kwenye huo mkataba ndio wanapata 3b bila bonas yoyote. Pole sana kwa kukosa taarifa kamili.
Yanga inajaza ukiona wamefungulia mbwa tiket zishauzwa tiyari mapato yameingia.
Makonda wakati anawakabidhi zile hekari 7 zilikuwa na thamani ya shilingi milioni 700, hiyo ni sawa na asilimia 0.7 ya bilioni 100Umekaa kibishi sana hivi unazani thaman ya heka moj la kigamboni ni shiling ngap. Pale kariako lilipo jengo la yanga bado pana thaman kubwa sana sio pa kubeza
Unashupalia kuwa eneo la Jangwani lina thamani kubwa, ukilazimisha liwe sehemu ya assets zenye uzito kwenye thamani ya klabu wakati mazingira ya eneo hilo yanapingana moja kwa moja na mantiki ya kibiashara.Tupe basi thaman ya jengo la yanga lilipo inaweza kua ngap
hata ingekua na wanachama mil 1, hakuna club yoyote afrika inaweza kukusanya mapato ya wanachama ikafika bil 100, unaposema biil 100 unaongelea 1/4 ya gdp ya nchi nzimaK
Kwani thamani ya Yanga ikiwa billion 100 inaku
Ina wanachama wangapi?
Wewe nae shugulishaWana asset Gani mkuu, Kwa hiyo nawe umejaa ka wale madeiwaka wa kariakoo, ukiona ndugu yako ni shabiki wa hizi timu sali sana analeta matatizo kwenye familia,
Fullstop, kwishaaaa
kwa akili zako za ki mbumbumbu ume elewa hio valuation imefanyika kwa mwaka mmoja tu?hata ingekua na wanachama mil 1, hakuna club yoyote afrika inaweza kukusanya mapato ya wanachama ikafika bil 100, unaposema biil 100 unaongelea 1/4 ya gdp ya nchi nzima
Unapo fanya valuation una Fanya projection ya muda mrefu nyie vijana wa Rage mbona hua hamuelewi vitu vidogo vidogohata ingekua na wanachama mil 1, hakuna club yoyote afrika inaweza kukusanya mapato ya wanachama ikafika bil 100, unaposema biil 100 unaongelea 1/4 ya gdp ya nchi nzima
Akili ya kijima hii watu wanajenga chini ya bahari wewe unaona mabondeni hapajengekiUnashupalia kuwa eneo la Jangwani lina thamani kubwa, ukilazimisha liwe sehemu ya assets zenye uzito kwenye thamani ya klabu wakati mazingira ya eneo hilo yanapingana moja kwa moja na mantiki ya kibiashara.
Jangwani ni eneo la bondeni, linalokumbwa na mafuriko ya mara kwa mara. Hata kama ardhi hiyo ina ukubwa wa hekari 100, thamani yake haiwezi kuwa kubwa.
Una maumivu makali sana unavyo chambua budget ya Yanga wakati ya kwenu haujui itasomwa liniAcha uongo kijana unapata nini kudanganya umma?
Hoja yako kuhusu Yanga kupata bilioni 2 kupitia mauzo ya jezi ni ya kupotosha na inadhihirisha kiwango cha juu cha miss information kuhusu klabu yako.
Taarifa rasmi kutoka kwenye mkutano mkuu wa mapato na matumizi ya Club yenu chanzo (Mwananchi) zinaonyesha wazi kuwa kwenye bajeti ya msimu wa 2021/2022, Yanga ilipanga kukusanya Tsh milioni 350 tu kupitia mauzo ya jezi na si bilioni 2 kama unavyodai kwa kujiamini bila rejea.
Ukweli wa Bajeti ya Yanga
Kwa mujibu wa bajeti iliyowasilishwa kwa wanachama kwenye mkutano mkuu:
Kwa hiyo, jezi zilichangia chini ya 5% ya bajeti nzima ya Tsh bilioni 7.9. Hii inaonyesha kuwa mauzo ya jezi si chanzo kikuu cha mapato kwa Yanga, na hakijawahi kufikia kiwango cha bilioni 2 hata kwa makadirio ya juu.
- Mapato ya jezi yalipangwa kuwa Tsh milioni 350
- Mapato ya udhamini: Tsh bilioni 4.9
- Ada za wanachama: Tsh bilioni 2.04
- Mapato ya mechi: Tsh milioni 565
- Mapato ya mitandao ya kijamii: Tsh milioni 960
2021/2022 ndio mwaka ambao kwenye industry ya Club kits ni Simba ndio ili break record kwa kuingia mkataba mnono na kampuni ya Vunjabei ambao kwa mwaka Simba alikuwa anaingiza Bilion 1 bila kutegemea soko la mauzo.
Mashabiki wa Yanga mnapaswa kuwa wachambuzi wa takwimu, si wapiga kelele wa makadirio ya kufikirika.
Kusema “watu wanajenga chini ya bahari” kama hoja ya kuthibitisha kuwa Jangwani ni eneo lenye thamani kubwa ni mfano wa kujaribu kutumia ndoto za Dubai kutetea uhalisia wa Dar es Salaam.Akili ya kijima hii watu wanajenga chini ya bahari wewe unaona mabondeni hapajengeki
Kwa akili zako na Mangungu unapona jangwani ni sehemu hatarishi sababu akili yako inawaza hapa hapa hauwazi miaka 20 mbeleKusema “watu wanajenga chini ya bahari” kama hoja ya kuthibitisha kuwa Jangwani ni eneo lenye thamani kubwa ni mfano wa kujaribu kutumia ndoto za Dubai kutetea uhalisia wa Dar es Salaam.
Ni hoja ya kufikirika isiyofikiria mazingira halisi ya kiuchumi, kiteknolojia, na kijiografia ya Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Ni kweli, kuna nchi kama Japan, UAE, na Singapore ambazo zimefanya miradi ya ujenzi chini ya bahari, lakini hizo ni nchi
Tanzania na Afrika kwa ujumla bado tunapambana na changamoto ndogo ndogo ambazo kwetu ndio za msingi kama.
- Zenye teknolojia ya hali ya juu
- Zenye uwezo mkubwa wa kifedha
- Zenye miundombinu ya kisasa ya kudhibiti maji na mazingira
Kwa sasa, Jangwani ni eneo la bondeni linalokumbwa na mafuriko kila msimu. Hakuna mwekezaji makini atakayekubali kuwekeza mabilioni kwenye ardhi ambayo inahitaji boti kufika kazini.
- Mifereji ya maji taka mijini
- Barabara zinazoharibika kwa mvua
- Nyumba zinazozama kwa mvua ya saa moja
Kwa hiyo, kama hatuwezi ku-convert ardhi hiyo kuwa pesa kwa teknolojia tuliyonayo sasa, thamani yake ni ya kufikirika tu.
Hii sio hoja ya kuifanya bilion 100 iwe thamani halisi ya Club yenu.Una maumivu makali sana unavyo chambua budget ya Yanga wakati ya kwenu haujui itasomwa lini
Haya wewe uliefanya utafiti leta hio thamani maana kila kitu hua unajua, mwanasheria , mchambuzi, mwanauchumi, mwanasiasa, technology, kilimo, mziki ,ujenzi, automobile vyote unajuaHii sio hoja ya kuifanya bilion 100 iwe thamani halisi ya Club yenu.
Tumeamua kuwasaidia kubeba majukumu yenu ya kuhoji baada ya kuona mmekuwa too idle ili kuwapa challenge viongozi wenu wasije kukurupuka tena kuwa underestimate kuwapa takwimu za kupikwa.
Kabla hatujaangalia mbele, ni lazima tuangalie nyuma, na hapo ndipo hoja yako inaporomoka kama jengo la ghorofa lililojengwa juu ya tope.Kwk
Kwa akili zako na Mangungu unapona jangwani ni sehemu hatarishi sababu akili yako inawaza hapa hapa hauwazi miaka 20 mbele
wewe na chalamila tofauti yenu ni ufupiKabla hatujaangalia mbele, ni lazima tuangalie nyuma, na hapo ndipo hoja yako inaporomoka kama jengo la ghorofa lililojengwa juu ya tope.
Tujiulize kwa uhalisia:
Kwa hiyo, kusema miaka 20 ijayo italeta mabadiliko makubwa ni ndoto ya mchana isiyojali historia ya kijiografia, kisiasa, wala kiuchumi.
- Miaka 20 iliyopita, Jangwani ilikuwa eneo la mafuriko.
- Miaka 10 iliyopita, bado ilikuwa bondeni, mafuriko yalikuwa yakiripotiwa kila msimu wa mvua.
- Miaka 5 iliyopita, bado hakuna miundombinu ya kudhibiti maji.
- Leo, mwaka 2025, bado Jangwani ni eneo la hatari kwa uwekezaji wa kudumu.
Hakuna mpango wa kitaifa wa kuibadilisha Jangwani kuwa Dubai ya Afrika. Hakuna bajeti ya kitaifa wala ya mkoa iliyowahi kutenga fedha za kuifanya iwe salama kwa uwekezaji wa kisasa.
Zaidi zaidi tumeona mipango mingi ya kimaendeleo ambayo ilipangwa kufanyika eneo hilo ikighairishwa kupelekwa maeneo mengine kutokana na hii changamoto ya mafuriko.
Na hata ile iliyofanikiwa kujengwa eneo hilo yamebaki kuwa majuto na mzigo wa lawama kwa viongozi ambao wali approve miradi hiyo
Chalamila: Waliojenga stendi ya mwendokasi Jangwani hawakuwa na akili, nitashangaa kama bado wanapumua
Kuna Stendi ya mwendokasi pale (Jangwani), mwendokasi ile imejengwa kwenye mkondo wa maji halafu maji yakijaa pale wanaanza kulia kwamba maji yameingia kwenye magari sio kweli bali magari yameingia kwenye maji na wale wote waliotengeneza ile Stendi akili hawakuwa nazo na nitashangaa kama bado...www.jamiiforums.com
Prof. Tibaijuka: Mimi nilikataa Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi kujengwa Jangwani, Sikuwa na Madaraka ya Kuzuia
Prof. Anna Tibaijuka amesema wakati akiwa Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, hakutoa Kibali cha Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Yaendayo Kasi katika eneo hilo lakini ulifanyika kwa maamuzi yasiyo sahihi Tibaijuka amesema "Jangwani haina kibali changu kuwa pale. Mimi nilikataa...www.jamiiforums.com
Hivi ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi ya mwendo kasi Jangwani ulifanyiwa "environmental impact assesment(E.I.A)"?
Nimeangalia taarifa ya habari jana na kumuona Waziri wa Tamisemi akiwa ametembelea hiko kituo na kuelezwa hasara na uharibifu mkubwa uliojitokeza kutokana na kituo hiko kuzingira na maji yaliyotoka mto Msimbazi uliopo mita chache kutoka kwenye kituo hiko. Swali ambalo nilitarajia kulisikia kwa...www.jamiiforums.com
Dah,Thamani ya Yanga ni Tsh. Bilioni 100, Simba ni Tsh. Bilioni 20
Kutokujua jibu sahihi hainifanyi nisijue jibu la uongoHaya wewe uliefanya utafiti leta hio thamani maana kila kitu hua unajua, mwanasheria , mchambuzi, mwanauchumi, mwanasiasa, technology, kilimo, ujenzi, automobile vyote unajua
Kwa hiyo wewe peke yako ndio unaona stendi ile ipo eneo sahihi na hakukuwa na makosa kuweka stendi eneo lile sio?W
wewe na chalamila tofauti yenu ni ufupi
Sasa una ujuaje uongo kama haujui ukweliKutokujua jibu sahihi hainifanyi nisijue jibu la uongo
Kujua uongo ni rahisi.
Naweza nisijue thamani ya Club yenu ila ukanipatia jibu la uongo, hapo hapo nitakupinga na kusema huo ni uongo.
Na ndio maana hata madai yenu ya kutetea hiyo thamani unaona jinsi gani yana pwaya.
Hekari 7 za Jangwani useless kama haziwezi kuwa converted kwenye hela. Ni sawa na kumiliki ndonga kubwa halafu haidisi.