ulishawahi kuona mtu mzima aliyebakwa akabakwa mara mbili na mtu yule yule kwenye mazingira yanayoshabihiana?
usikurupuke na hukumu usizokua na uhakika, jiulize swali je hakujua hayo mpaka amebaka akakamatwa ndo amejua kuandika yote hayo? Nina uhakika kama ni yeye kweli mr mbasha atakua na akili ndogo sana, atadanganya watoto tu si watu wazima.
Hivi Bro KAJIMA kwani hana Mke?....
oh! Na ikithibitika mtukufu mchungaji anahusika na hili saga itakuwaje?
kwann gwajima aetembea na flora...???
mimi huwa siaminigi ujinga, yeye akithibitika kabaka imekula kwake na mbegu huwa zinapimwa, ukweli utakua wazi tu, eti umekamatwa na nyama ya tembo unajitetea eti mheshimiwa ata simba huwa wanakula mbuzi zangu, hapo unafungwa live
Hata mm nimerudi; Imma lete pilau lete wali wa nazi,, kwa hisani ya Inspector Haroun,, babuuu!!!
Sidhani kuna hakimu akayekubaliana na huu upuuzi... tena mkicheza huyo binti atakula mvua kwa kutumika kutengeneza kosa. Kwani mnafikiri hakuna rekodi za mawasiliano ya simu kati ya huyo binti na flora na hatimaye mashujaa wa daudi na waandishi wa habari. Huyo hakimu atakayekubali huu upuuzi atakuwa ni msukule tu.mimi huwa siaminigi ujinga, yeye akithibitika kabaka imekula kwake na mbegu huwa zinapimwa, ukweli utakua wazi tu, eti umekamatwa na nyama ya tembo unajitetea eti mheshimiwa ata simba huwa wanakula mbuzi zangu, hapo unafungwa live
siku zote hakujua eeh? Hadi kabaka ndo akajua, yeye ajibu tu amebaka au hakubaka?
mahakamani iyo kesi haipo, ipo ya kubaka, think big bro and unlesh your potential, huyu jamaa anatafuta excuse na simple popularity, wajinga wote mtamwamini, ila ajibu tu kesi yake maana haya yote hayasaidii
Hana tofauti na kibwetere
mimi sijui, na wewe kama si flora au gwajima utakua ujui
Sidhani kuna hakimu akayekubaliana na huu upuuzi... tena mkicheza huyo binti atakula mvua kwa kutumika kutengeneza kosa. Kwani mnafikiri hakuna rekodi za mawasiliano ya simu kati ya huyo binti na flora na hatimaye mashujaa wa daudi na waandishi wa habari. Huyo hakimu atakayekubali huu upuuzi atakuwa ni msukule tu.
Wanawake hata kama wanateleza na wanaume za watu hawapendi kuitwa 'mchepuko' sijui kwa nini huwa hawaukubali ukweli!Kuwa na mke si sababu.....Flora alikuwa mchepuko...Dahh
ukiunganisha dots unagundua wewe ni gwajima
mimi sijui, na wewe kama si flora au gwajima utakua ujui