The bold: Waraka

The bold: Waraka

ulishawahi kuona mtu mzima aliyebakwa akabakwa mara mbili na mtu yule yule kwenye mazingira yanayoshabihiana?

muhusika anasema amebakwa, kwaiyo ata kama ni mara kumi, hakuna principle ya kubaka mr, muhusika akitoa ushahidi umebaka ndo imekula kwako
 
usikurupuke na hukumu usizokua na uhakika, jiulize swali je hakujua hayo mpaka amebaka akakamatwa ndo amejua kuandika yote hayo? Nina uhakika kama ni yeye kweli mr mbasha atakua na akili ndogo sana, atadanganya watoto tu si watu wazima.

Kwann Gwajima aetembea na Flora...???
 
oh! Na ikithibitika mtukufu mchungaji anahusika na hili saga itakuwaje?

mahakamani iyo kesi haipo, ipo ya kubaka, think big bro and unlesh your potential, huyu jamaa anatafuta excuse na simple popularity, wajinga wote mtamwamini, ila ajibu tu kesi yake maana haya yote hayasaidii
 
mimi huwa siaminigi ujinga, yeye akithibitika kabaka imekula kwake na mbegu huwa zinapimwa, ukweli utakua wazi tu, eti umekamatwa na nyama ya tembo unajitetea eti mheshimiwa ata simba huwa wanakula mbuzi zangu, hapo unafungwa live

komaa nao mhanga!
 
ETI ALIKUA ANASALI HUKOHUKO THEN ANAJIFANYA MKE WAKE KAIBIWA, HU HU HU HU THINK BIG The bold
 
Last edited by a moderator:
mimi huwa siaminigi ujinga, yeye akithibitika kabaka imekula kwake na mbegu huwa zinapimwa, ukweli utakua wazi tu, eti umekamatwa na nyama ya tembo unajitetea eti mheshimiwa ata simba huwa wanakula mbuzi zangu, hapo unafungwa live
Sidhani kuna hakimu akayekubaliana na huu upuuzi... tena mkicheza huyo binti atakula mvua kwa kutumika kutengeneza kosa. Kwani mnafikiri hakuna rekodi za mawasiliano ya simu kati ya huyo binti na flora na hatimaye mashujaa wa daudi na waandishi wa habari. Huyo hakimu atakayekubali huu upuuzi atakuwa ni msukule tu.
 
wewe The bold sijui ila nina uhakika una akili ndogo sana, yaani bandiko lote ilo hujaandika kwanini umebaka? asee umetia aibu sana
 
Last edited by a moderator:
Gwajima anatoa misukule yake ya T/peckers mapepo....Kumbe yeye ndo PEPO namba moja....
 
Sidhani kuna hakimu akayekubaliana na huu upuuzi... tena mkicheza huyo binti atakula mvua kwa kutumika kutengeneza kosa. Kwani mnafikiri hakuna rekodi za mawasiliano ya simu kati ya huyo binti na flora na hatimaye mashujaa wa daudi na waandishi wa habari. Huyo hakimu atakayekubali huu upuuzi atakuwa ni msukule tu.

ukitaka kujua si yakutunga aliomba excuse yanini? ATADANGANYA WAJINGA TU ILA MIMI NATAKA TU AJIBU KAMA AMEBAKA AU HAKUBAKA
 
Back
Top Bottom