Parata
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 3,090
- 680
ulishawahi kuona mtu mzima aliyebakwa akabakwa mara mbili na mtu yule yule kwenye mazingira yanayoshabihiana?
muhusika anasema amebakwa, kwaiyo ata kama ni mara kumi, hakuna principle ya kubaka mr, muhusika akitoa ushahidi umebaka ndo imekula kwako