The Daily Telegraph: Iran ilipiga kambi 5 za kijeshi za Israel

Mtaongea yote lakini ukweli unabaki palepale kwamba Iran haiwezi kumiliki silaha za nyuklia na kamwe haiwezi kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, taifa la Israel litaendelea kujitanua zaidi hadi wamiliki maeneo yote waliyopewa na Mungu wao. Period.
 
Kwanza..unasema mtu ambae hayuko biased huku ukileta habari ambayo imeandaliwa na israel
Mwanzo wa habari tu imeandikwa kua imekua translated from hebrew
 
Mtaongea yote lakini ukweli unabaki palepale kwamba Iran haiwezi kumiliki silaha za nyuklia na kamwe haiwezi kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, taifa la Israel litaendelea kujitanua zaidi hadi wamiliki maeneo yote waliyopewa na Mungu wao. Period.
Ilikuaje mungu wao akaweka watu kwenye maeneo ya watu wengine?
 
Kwanza..unasema mtu ambae hayuko biased huku ukileta habari ambayo imeandaliwa na israel
Mwanzo wa habari tu imeandikwa kua imekua translated from hebrew
Pole ukweli huwa ni ukweli na uwongo huwa ni uwongo haijalishi chanzo cha habari.
Ukiamua kuamini uwongo ili kujifariji ni chaguo lako.
 
Mtaongea yote lakini ukweli unabaki palepale kwamba Iran haiwezi kumiliki silaha za nyuklia na kamwe haiwezi kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, taifa la Israel litaendelea kujitanua zaidi hadi wamiliki maeneo yote waliyopewa na Mungu wao. Period.
Nashukru Mungu kuna vita inanukia ambapo Russia akiziongoza nchi za nyingi sana za kiislamu watajaribu kuivamia Israel ili kuifuta duniani na bado watashindwa vibaya sana kumaanisha Mungu hajawahi sema uwongo, na shetan kamwe hawezi mshinda Mungu.
 
..bado hamjasema mtasema tu! waisrael wenyewe wameukubari muziki wa Iran na vyombo vya habari vya kimataifa vinasema Israel inaficha ila ilishenyentwa hasa na yenyewe ndo iliomba po! sasa tukuamini wewe upo mchambawima huko?
Mchambawima yupo bibi yako. Mimi siyo wa kukaa mchambawima.

Ungekuwa ni mtu mwenye kufanya analysis, ungejiuliza yafuatayo:

1. Vita ilianzishwa na Israel ikaua wakuu wengi wa jeshi la Iran na wanasayansi na familia zao, ikapiga maeneo mbalimbali ya Iran, halafu Iran iwe kwenye nafasi nzuri ya kuipiga vibaya Israel, halafu iambiwe isimamishe mashambulizi, ingekubali kiurahisi? Si ingeona ni nafasi nzuri ya kulipiza kisasi?

2. Hivi inawezekana vipi wewe ndiye unayemtandika vibaya adui yako, halafu wewe unapoteza watu karibia mara 30 zaidi ya adui yako?

NB: iran kama ilivyo katika vita yoyote, iliweza kuleta hasara kwa Israel, lakini yenyewe ndiyo iliyopata hasara kubwa zaidi, kuanzia maisha ya binadamu mpaka miundombinu mbalimbali.

Jambo lililo jema vita imekoma, na maisha ya wanadamu yameokolewa. Vitu vyote vinaweza kutengenezwa au kujengwa upya, lakini siyo maisha ya wanadamu.
 
Mtaongea yote lakini ukweli unabaki palepale kwamba Iran haiwezi kumiliki silaha za nyuklia na kamwe haiwezi kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, taifa la Israel litaendelea kujitanua zaidi hadi wamiliki maeneo yote waliyopewa na Mungu wao. Period.
What a load of crap? He goes "maeneo yote waliopewa na MUNGU" kwani Wapalestina wanao fukuzwa, kuporwa aridhi yao na kuuwawa kila siku na ndege za Israel, kwani Wapalestina sio wanadamu na hawana aridhi walio pewa na Mungu, yaani mambo mengine ukiyasikiliza unabaki unashikwa na butwaa!!
 
Israeli unaijua au unaisikia. Israeli awe kwenye position ya ushindi huwa anakubaligi ceasefire? Hapo Lebanon ana ceasefire na Hezbollah lakini kila siku bado anashambulia, kwanini asifanye hivyo kwa Iran?

basi tuseme aliyerusha taulo ulingoni ni Trump baada ya kuona bondia wake amebananishwa kwa kipondo
 
Israel ana huruma sana aliona ayatollah atakufa kwa kihoro akaona kumsaidia asitisha vita na hii ni baada ya kuombwa saaana na waarab walioionea huruma Iran maana Iran ilishatepeta teeee kwa kipondo Tehran ilishakimbiwa na mamilioni ya wairan wakikimbilia vijijini kunusuru maisha yao.
 
Kichekesho hiki...๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

T14 Armata Echolima1
 
Niliwahi kumsikia Trump aliyo yasema kuhusu Israel ilivyo pewa fundisho la mwaka kutoka kwa makombora hatari ya Iran, ninacho mpendea Trump pamoja na vurumai zake lakini kitu kimoja huwa anasema ukweli hata ukiwa rafiki yake kivipi atasema ukweli tu hafichi au kuwa mnafiki

Trump alisema yeye aliona jinsi makombora ya Iran yalivyo kuwa yananyesha kama mvua na ilionekana wazi wazi kwamba hapakuwepo na any effective air defense systems za kuweza ku-intercept makombora ya Iran - makombora ya Iran yalionekana yalikuwa yanakwepa Air Defense systems za Israel yenyewe na zile Israel alizo zinunua kutoka huko Merikani - hii inadilisha kwamba wana sayansi WA Iran si mchezo, kumbuka kwamba wao ndio walianzisha hata hizi Drones.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

The US President said Israel was hit โ€œvery hardโ€ by Iranian missiles during the recent hostilities, speaking at the leaders'
 
Shida yako imeanzia kwenye jina lako tu!!! Kila mwenye akili timamu baada ya June 13,2025 na jinsi ndege vita za Israel zilivyokuwa zinaingia na kutoka kwenye anga la Iran ilionyesha wazi kuwa Anga hilo lilikuwa uchi wa Mnyama.

Kwa siku 12 ndege hizo zilikuwa zinajipigia popote zilikokuwa zinataka na hazikuwa na mpinzani yeyote iwe Mifumo ya ulinzi wa anga au Jeshi la anga la Iran halikuweza kuonyesha upinzani wowote kwa ndege vita za Israel.

Anapotokea kiumbe anakuja hapa na kusifia mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ambayo kwa siku 12 hazikuweza kuangusha hata ndege-vita moja ya Israel wala tu kuzizuia zisifanye mashambulizi nchini Iran hazikuweza huyo atakuwa mjinga kupindukia!!!
 
Hao unaowaita wewe Wapalestina walipewa nchi wapi? Na lini walikuwa taifa?
 
Hizo ADs za Iran zingeangusha au kuharibu angalau ndege moja zingeonekana ni bora
Mkuu nikajua unaongea kumbe unaropoka??
Mwaka Jana Oktoba Israel iliposhambulia Iran kwa ndege ADS zilizozuia missiles za hizo ndege zilikua Bavar-373.
Kwa hilo limefanya Israel itumie mashambulizi ya ndani ya kuziharibu hizo ADS kabla ya mashambulizi ya mwaka huu.
Kama ulikua hujui Bavar imesaidia kwa kiasi kikubwa kudungua makombora ya hizo f35 za mabwana zenu Israel.
Kama isingekua hizo ADS za bavar leo hii Iran ingegeuka majivu.
Tumia akili sio matope kufikiria.
Sawa ndege hazijaangushwa ila makombora yamedunguliwa kwa wingi sana.
 
Hao wanaojiita wapalestina ni jamii ya watu waliotoka kwenye nchi mbalimbali za kiarabu na kuhamia kwenye eneo hilo la nchi ambayo leo inaitwa Israel/Palestine na ndio sasa wanadai eti ni nchi yao wakati sio kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ