The Daily Telegraph: Iran ilipiga kambi 5 za kijeshi za Israel

Utapata jibu hapa πŸ‘‡πŸ‘‡

Jeremiah 29:4-14
Haiji u swali bado..kwa nini awapeleke sehemu ambayo ameshaweka watu wengine wakati dunia ni kubwa na maeneo mengi yapo wazi?au kwa nini hao watu asingewaweka sehemu nyingine ili sehemu ya waisrael iwe wazi
 
Kazi ipo.

Hivi kwanini Israel na U.S waliomba ceasefire haraka baada siku chache tu please kwa anayejua sababu ?

Na kwa nini Israel imekuwa mgumu kukubali ceasefire hapo Gaza pamoja hata akiwa ana bembelezwa ?
Mkuu hii haihitaji hata kutumia nguvu kubwa kujua. Ukweli ni kwamba Israel anakiburi cha kufikiri kila mtu anamuweza, kama alikuwa ana mu- under estimate Iran basi alikosea pa kujaribu dharau. Ame- cease fire baada ya kuona Iran kuwa alikuwa serious na hayo mapigano na amehofia hasara kubwa ambayo angeenda kuishuhudia tena katika historia ya nchi yake. Trump na Netanyau wana bwabwaja bwabwaja uongo lakini waliona hatari, Iran nikama alikuwa anaisuburia hiyo moment itokee. Na sasa Iran yuko fully alert 24/7 kuliko ilivyokuwa kawaida. Mimi nachukia sana uonevu, huwezi wafanya wenzako kadri unavyotaka, eti tiafa la Mungu, Mungu gani huyo anayekubali uonevu?.
 
Hawawezi kusema ukweli lakini ukweli israel ilipigwa haswaa na ndio maana trump alileta suluhu
 
Israel anashinda vita dhidi ya wanamgambo wa hivyo vikundi anavyoonea hovyo, lakini sio full fledged military ya nchi kama Iran, hataweza ng'o.
 
Kobazi wakiwa wanafarijiana utadhani wana lolote la maana kumbe wakuu wao wa jeshi wote wako kwa mabikira.
 
Mkuu nikajua unaongea kumbe unaropoka??
Mwaka Jana Oktoba Israel iliposhambulia Iran kwa ndege ADS zilizozuia missiles za hizo ndege zilikua Bavar-373.
Mwaka huu kwanini hizo Bavar hatujaziona?
Kwa hilo limefanya Israel itumie mashambulizi ya ndani ya kuziharibu hizo ADS kabla ya mashambulizi ya mwaka huu.
Israel imetumia zaidi Airforce kuharibu hizo AD za Iran. Usitake kutudanganya kwamba hizo mobile units zote ndani ya nchi ya Iran zimeharibiwa kwa hujuma ya ndani. Ni mifumo dhaifu imeshindwa zuia makali ya Israel.
Kwanini Bavar isizuie F-35 zilizokuwa zinashinda na kulala anga la Iran?

Na mwanzo si umeandika AD za Iran zimehujumiwa zikiwa ndani, sasa huo uwezo wa kudungua makombora ya F-35 zimetoa wapi wakati unadai ziliharibiwa. Tushike lipi sasa.
 
Kazi ipo.

Hivi kwanini Israel na U.S waliomba ceasefire haraka baada siku chache tu please kwa anayejua sababu ?

Na kwa nini Israel imekuwa mgumu kukubali ceasefire hapo Gaza pamoja hata akiwa ana bembelezwa ?
Kwanini Iran ilisaini ceasefire haraka?

Kwanini Iran kama ina uwezo isigome kusaini. Mbona kwenye Iran-Iraq war Iran iligoma kusaini ceasefire wakapigana miaka nane, mbona mwaka huu baada ya vinu vya nyuklia kushambuliwa na maafisa wa IRGC kuuwawa kama vibaka, viongozi wa Iran wametoka mafichoni haraka kusaini kuacha mapigano.
 
Mie sio mtoto mdogo weweeee!
Duru nyingi za habari zimeripoti mashambulizi ya kuziharibu hizo ADS yalifanyika ndani kwa drones sio ndege usitake kutudanganya.
Jeshi la Iran limekataka suicide drones nyingi ndani ya Iran ambazo NDIZO zilikua zilitumika kufanya mashambulizi ku pave way kwaajili ya ndege vita.
Licha ya Israel kutumia idadi kubwa ya ndege lakini Iran imeweza kubalace mashambulizi,maafa yaliyotokea Iran na kwa nguvu aliyotumia Israel ni dalili tosha kusema kwa Bavar zimefanya kazi kubwa sana kuzuia maafa.
 
Unajua ceasefire ilianza kuombwa lini na Iran ikasaini lini?
Je motive za Iran-Iraq war na hii ya Iran-Israel war zinafanana??
Mbona unafikiria kama kuku we jamaa!??
Nani aliyeomba ceasefire kati ya Iran na Israel!??
 
Iran ikaishambulie Israel uone kama Iarael itasaini ceasefire.

Iran ni wajinga, Israel imekuja kushambulia vinu vya nyuklia. Imemaliza kazi sasa haina haja na jeshi uchwara la Iran ambalo ndani ya siku 10 za mapigano wanakufa maafisa 18 ikakubali kusaini ceasefire.

Iran ambao hawajatimiza lolote kwenye vita nao wanasaini. Sasa mjinga nani hapo, Iran walitakiwa wagome uone kama pangekalika hapo Tehran.
 
Unamuongopea nani jamaa Kila mtu kaona kilichotokea!?
Iran alikua ana malengo gani kama sio kujilinda!?
Na malengo gani ya Israel yaliyotumika?
-Regime change failed.
-Dismantling IRGC failed.
-Kuharibu mpango wa nuclear failed,maana Iran Ina nuclear sites 8 na zilizopigwa ni tatu tu.
Nani unamdanganya katika ulimwengu huu wa kidijitali!??
Usisahau Israel Haifa oil refinery plant imeharibiwa na kufanya kuvuja kwa benzene poisonous gas 100 times higher than usual,majengo ya uwekezaji kama ya microsoft,Adani, Investment tower na jengo la hisa yamelipuliwa,makazi na asset za kiraia na ofisi za serikali zimelipuliwa zinazo cost $20 billions+ kuzikarabati.
Nani mjinga hapo kati ya Israel aliyeomba kusitishwa vita ilhali malengo hayajatimia na hasara zote hizo ama Iran aliyejipambania na kujilinda!?
 
Kwanza Iran ina AD systems nyingi ukiachana na Bavar.

Kuna S-300 kutoka Urusi hizi Israel ilishazipondaponda muda tu, kama zilikuwepo mabaki ndio nazo zimemalizwa.

Kuna Sayyad AD na kuna Raad na mifumo mingineyo. Zote hizi hazijadondosha fighter jet hata moja.

Sasa kwa ushahidi wa fighter zimeshindwa, mlitoka kudanganya umma kuwa mmedondosha F-35 na mmekamata rubani mwanamke. Baadae mmekuja kwenye "timedondosha makombora mengi".

Sasa mbona makombora ya kumuua Mkuu wa Majeshi, Mkuu wa Airforce, Mkuu wa Usalama wa Taifa, Mkuu wa Majeshi mwingine aliyedumu siku mbili, na wakuu wengineo mbona mlishindwa kuyazuia?

Nuclear sites nazo mkashindwa kulinda. Sasa mmezuia makombora ya kwenda shambani au wapi.
 
Unajua ceasefire ilianza kuombwa lini na Iran ikasaini lini?
Je motive za Iran-Iraq war na hii ya Iran-Israel war zinafanana??
Mbona unafikiria kama kuku we jamaa!??
Nani aliyeomba ceasefire kati ya Iran na Israel!??
Kuku ni Ayatollah na machawa wake ambao wanajua kabisa Israel ndio kaanzisha mashambulizi ili aharibu nuclear capabilities za Iran, alafu mara tu baada ya mashambulizi kuisha Iran inakubali kusaini ceasefire.

Habari za ceasefire kaomba nani achana nazo tutabishana, tuje kwenye nani kasaini hiyo ceasefire. Waliosaini ni Iran na Israel.

Israel kasaini sababu ameishaharibu nuclear wepoans capability ya Iran ndicho kilimpeleka huko, hivyo vita ni irrelevant kwake.

Iran kasaini ili? Unapigwa kisa unasaini kuacha kujibu mapigo sasa si bora ya kuku, we si unakuwa nguruwe kabisa.
 
Here we go again!!
S300 zilikuwa tatu tu hapo Iran na mbili ziliharibika mwaka Jana pindi Iran anazuia shambulizi la Israel Oktoba.
Mfumo wa long range surface to air missile ni wa Bavar-373 peke yake hizo zilizobaki ni za short na medium.
-Hao wote uliowataja wameuliwa kwa mashambulizi ya ndani ya suicide drones na mabomu ya kutegwa ripoti nyingi zililetwa humu.
Hawakuuliwa kwa shambulizi la anga la ndege za f35 nenda kasome ripoti vizuri.
Hizo ndege zenu kama ni bora sana kwanini zilikua zikirusha makombora kwa masafa ya anga la mbali!?
 
Unamdanganya nani wewe jamaa!?
Sisi sio watoto usi twist mambo hapa.
Iran Ina nuclear sites 8 na alizolipua Israel na Marekani ni 3 tu.
Tena ripoti kutoka IAEA zinasema Iran anaweza kurudi urutubishaji ndani ya miezi michache hivyo inamaanisha lengo lilifeli.

Kitendo Cha Netanyahu kuanzisha vita na kushindwa malengo yake huku akiwa amepata hasara kubwa ya mabilioni ya dola na kuomba kusitishwa vita huko ni kushindwa.
Iran ilikua inajilinda haikuanzisha vita na imelipiza inavyoweza kwenye kambi za jeshi la Israel hana sababu ya kuendelea na vita hiyo.
Aliyefeli Israel ambaye hajatimiza lengo hata moja.
 
Unazungumzia hii operation iliyofeli!?
Hata ripoti zinasema kuwa shambulizi limeshindwa kuharibu hiyo nuclear site.
Nguvu ilotumika kubwa pesa nyingi na mafanikio zero.
 
Wewe na huyo wote matahira,chanzo Cha habari ni Cha wakristo wenzenu kikidai kambi zimeharibiwa ninyi mnapinga.
Mi sio kiazi kama wewe niamini kila habari za mtandao bila ushahidi
 
kumbuka hiyo vita ya iran na iraq ilikuwa ni ya kubuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…