paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Si unaona kazi zinaendelea na Leo rasimi Bunge linazinduliwa! Shida ni pale mtumwa wa wazungu anapoendelea kujipendekeza Kwa mizunguSo mesh’s shinda sasa shida iko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unaona kazi zinaendelea na Leo rasimi Bunge linazinduliwa! Shida ni pale mtumwa wa wazungu anapoendelea kujipendekeza Kwa mizunguSo mesh’s shinda sasa shida iko wapi?
Kazi waliyomfanyia lazima aonyeshe shukurani!!Alisema hatobadilisha Wakuu wa Mikoa na Wilaya......[emoji276]
Ni unafiki pia kutumia kifaa cha Mzungu kumsimanga. Kama unamsimamo huo usitumie simu. Uwe unacomment kichawiSi unaona kazi zinaendelea na Leo rasimi Bunge linazinduliwa! Shida ni pale mtumwa wa wazungu anapoendelea kujipendekeza Kwa mizungu
Fanya kazi mzee kwani ushasikia Biden anafuatilia kilichoandikwa na Mwanahalisi...Kikubwa cha kujifunza ni kusimamia tunachoamini ...kelele za chura haziwezi mzuia tembo kunywa maji
Huyu mpuuzi usimsikilize, maana ya Mayalla maanake ni njaa acha atangulize njaa zake kwanza kusubiri uteuzi, yupo tayari kuua hata wanae ili yeye apate mkate.Hakuna uwongo hapo, walichoandika ni ukweli mtupu. Kituo nilichopigia kura mimi wakala wa Chadema alizuiwa katakata kuingia ndani, hii nimeona kwa macho yangu kabisa sijaambiwa na mtu! - Sasa uchaguzi gani huo!
Anazeeka vibaya kwa kutanguliza njaa zake kwenye maslahi ya taifa yupo tayari kuuza nchi huyuhuyu na apuuzwe tu...PM nilikuwa nakutetea sana lakini kama na wewe unatete huu upupu uliotokea umeniangusha sana.....wanahabari wa kileo mnafeli wapi???
Mwandishi Tanzania ni Dotto Bulendu wengine wote ni makanjanja tupuWewe ilibidi ufanye kazi kwenye Mille Collines ya Rwanda! Wee si mwandishi wa habari, ikiwa wauliza swali kama hilo; ambalo hata wakulima wa vijijini wanajua jawabu! Unatuaibisha siye waandishi kwa njaa zako.
Hivi hakuna hata wachawi wa kuloga watu kama hawa?Poor man pasko. Subiri teuzi mchumia tumbo
Toka amenunuliwa na CCM kukabiliana na Chadema na akili zimemuishaPasco nafikiri unafanya kazi ya uchonganishi, kama wameandika si wao unataka tujibizane na kila anayetunyoshea kidole ?
Mkuu achana na huyu mchumia tumboKwakweli najuta kusoma huu walaka/Uzi wako kwasababu nimejikuta nakushangaa kama na wewe ndo unatafuta Utauzi kwa nguvu kiasi hichi,SMS na Call zilikuwa zinasumbua sana tena sana kwa taarifa yako mawasiliano yalikuwa ya shida na kwasababu ni Haki yetu kupata Mawasiliano ndo maana watu walipaza sauti kudai hiyo HAKI....ukijipa kazi ya Kutetea taasisi zilizokuwa zinatakiwa kutuhudumia unakuwa UMEJIONGOZA VIBAYA na nakuahidi inakushushia heshima yako sana kwasababu wao wameomba radhi na wanasema maneno yanayopingana na haya yako......
Wameandika KWELI TUPUNamalizia na lile swali la msingi la bandiko hili kuwa Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu kwa ukubwa wa kusomwa sana duniani, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki!, Je ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe?