The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

Ukimuangalia Paskali yule aliyemuuliza maswali Raisi kwenye Press na huyu wa leo...

Utagundua kuwa huyu JAMAA ana First Degree ya UNAFKI

Sent from my SM-M105F using JamiiForums mobile app
Nasikia alikashifiwa na rais na akakumbushwa kwamba jina lake lenyewe tafsiri yake ni Njaa, kwahiyo rais alitaka kumkumbusha kwamba yeye (Paskali) ni zao la njaa na yeye ni njaa, lakini pia nasikia aliwahi kuitwa kule bungeni akaenda kupewa vitisho alipotoka huko kuhojiwa akaja hapa amekuwa kama zezeta
 
Pascal is unquestionably an intelligent man
Ukimuangalia Paskali yule aliyemuuliza maswali Raisi kwenye Press na huyu wa leo...

Utagundua kuwa huyu JAMAA ana First Degree ya UNAFKI

Sent from my SM-M105F using JamiiForums mobile app

Binafsi naona ni zaidi ya unacho dhania, kitu cha kwanza Pascal is unquestionably an intelligent man, cha kujiuliza hapa ni kitu gani kimemsukuma kutuletea habari za kuhuma na kupuliza, behaving like a neither nor like a BAT!!

Looking back now nakumbuka Dk.Magufuli aliwahi kumtania kuhusu maana ya jina "MAYALLA" kwenye lugha ya Kisukuma - Pascal tufafanulie jina Mayalla linamaanisha nini? Je, siku hizi anakuwa driven na "Mayalla" ndio maana unakosa msimamo au unayo yaleta hapa ni usanii tu lakini msimamo wako kuhusu mwanenu wa Chato huko pale pale tangu kampein zako za 2015 ulipo kuwa unampigia debe la nguvu Mh.Lowassa, kisa? Mlisoma wote Ilboru! Bottom line is: kuwa na msimamo unao eleweka usichanganya Watanzania wenzako akili.
 
Nasikia alikashifiwa na rais na akakumbushwa kwamba jina lake lenyewe tafsiri yake ni Njaa, kwahiyo rais alitaka kumkumbusha kwamba yeye (Paskali) ni zao la njaa na yeye ni njaa, lakini pia nasikia aliwahi kuitwa kule bungeni akaenda kupewa vitisho alipotoka huko kuhojiwa akaja hapa amekuwa kama zezeta

Aaah, well said - naona umeniwahi.
 
U. S wamemwibia kura trump, na amegoma kuondoka ikulu. Hilo lenyewe wamelizungumziaje
Amegomaje kuondoka ikulu??? Hivi mbona lumumba ni wajinga sana???? Unajua Raisi mpya wa Marekani kwa mujibu wa katiba yao anaapishwa lini????!

Kweli Ccm ni wajinga sana😂😂
 
Nami naamini Paskali ni zoba wa kutupa, ndio maana sina haja ya kusoma habari yake yote kwani naamini ameandika uozo,
Take Note
Vivyo hivyo ndivyo uongo ulivyo, ukisema vitu vya kweli 99, halafu ukachomekea kitu kimoja tuu cha uongo, huo uongo mmoja, unabatilisha zile kweli zote 99, na zote kuonekana ni uongo mtupu!

As I said Pascal ni intelligent na very crafty - angalia alivyo frame habari yenyewe pamoja na link zake - lawama ni 99% wakati supposedly support ni a mere 1% - what does that tell you kwa kile anacho maanisha?
 
Fanya kazi mzee kwani ushasikia Biden anafuatilia kilichoandikwa na Mwanahalisi. Kikubwa cha kujifunza ni kusimamia tunachoamini kelele za chura haziwezi mzuia tembo kunywa maji
Au kama vipi Tcra wafungie hilo gazeti kwa muda usiojulikana. Ooh kumbe gazeti la Marekani!
 
Unakoenda Pascal Mayala utavua nguo, bipolar disorder uliyonayo imefikia at the maximum, unashangilia wauaji ? Wakiukaji wakubwa wa demokrasia, haki za binadamu , wavurugaji wa uchaguzi , watekaji , wizi wa kura , wauaji wavaa suti kwa mgongo wa siasa, mchana kweupe.
 
Acheni watu wapaze sauti zao!
Acheni watu waseme ukweli ulivyokuwa!
Acheni wasio waoga waseme udhalimu na wizi uliofanywa na ccm!
Mnaoshabikia huu wizi ni watu msio na ufahamu wala kujitambua ktk maisha yenu!
 
Nadhani ni vizuri na ni ustaarabu tuwashauri hao New York Times washughulike na uchaguzi wao ambao umekuwa kichekesho duniani pote; na nimekuwa nawaambia wasafishe nyumba yao kwanza, kabla ya kusema ya wengine. Kutokana na yanayo endelea huko US kwenye uchaguzi wao, pia nashauri tuwapuze kwani hawana na wamepoteza the so called moral authority in this area of democracy and elections. Kwa kujibu swali lako, nasema tuwapuuze hadi hapo watakapo weka mambo yao ya kisiasa na uchaguzi SAWA!
 
Umekuwaje kichekesho???
 
Hongera wewe umezidi kuianika Serikali na tume yake juu ya utekaji wa uchaguzi,maana sasa tumezidi kupata nguvu kuwa magombe yanakurupushwa na mabeberu.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe?

Kwenye bandiko hili, natumia kanuni ya samaki kwenye tenga la samaki, hata ukiwa na samaki 100 kwenye tenga la samaki, wengine walivuliwa asubuhi, wengine mchana na wengine jioni, ukawaweka kwenye tenga moja, yule samaki mmoja wa asubuhi akioza, then samaki wote wanakuwa wameoza, hata wale wa mchana, hata wale wa jioni, Wazanaki wana msemo wa Kizanaki usemao "wote manzi ganyanza"

Vivyo hivyo ndivyo uongo ulivyo, ukisema vitu vya kweli 99, halafu ukachomekea kitu kimoja tuu cha uongo, huo uongo mmoja, unabatilisha zile kweli zote 99, na zote kuonekana ni uongo mtupu!

Kabla ya kuanza makala yangu hii, naomba ku -hare info kuhusu magazeti makuu 10 ya dunia hii yanaongozwa na gazeti la The Guardian la UK, likifuatiwa na The Wall Street Journal la USA, gazeti la The New York Times la USA ni la tatu, mengine ni 4. The Washington Post (USA) 5. China Daily (China) 6. The Times of India (India) 7. The Sydney Morning Herald (Australia) 8. The Asahi Shimbun (Japan) 9. Dawn (Pakistan), 10. Zaman (Turkey)

Gazeti la The New York Times, la nchini Marekani ambalo ndilo gazeti kubwa la 3 duniani, limeanza kueneza uongo kuhusu uchaguzi Mkuu wa Tanzania, kwa kuiambia dunia kuwa uchaguzi mkuu wa Tanzania haukuwa huru na wa haki.

Katika toleo lake la leo, gazeti hilo limechapisha makala kuhusu Tanzania, kwenye makala hiyo, wamesema mengi mabaya kuhusu uchaguzi mkuu wetu, kuna mengine ni kweli yalitokea, kuna mengine hayana ushahidi na kuna mengine ni ya uongo wa mchana kweupe!

Gazeti hili limefanya mahojiano na Mtanzania mwenzetu mmoja, naomba nisimtaje humu maana ni kipenzi cha baadhi ya wana JF wengi, hadi wengine ni kana kwamba wanamuabudia, hivyo ukimkosoa tuu kuwa vitu vingine, anawadanganya wazungu, watakushukia as if umemkufuru mungu wao!

Naomba kwanza nikuwekee makala yenyewe, na wewe ujisomee uone tunavyoanza kusingiziwa uongo, na kwa faida ya wale wenzangu na mimi ambao hizi kwao ni lugha za watu, nitawachambulia huyo samaki aliyeoza katika tenga hili!

Hii ni story ya pili kwa The New York Times kuizungumzia Tanzania within one week, story ya kwanza ni hii
As Tanzania’s President Wins a Second Term, Opposition Calls for Protests
Oct. 31, 2l020

Uongo katika story ni kufungwa kwa SMS, japo ni kweli wakati wa kipindi cha uchaguzi Mkuu wa Tanzania, kutokana na Watanzania wengi kuwa na simu janja na kila mwenye simu janja akanunua bundle ili kufuatilia uchaguzi kwa kutumia internet, mtandao wa internet ghafla ukaelemewa hivyo ukawa slow na sometimes ukawa haupatikani, hivyo watumiaji wa WhatsApp, Facebook, Twitter, YouTube etc ikawa haipatikani, lakini SMS zilikuwa zinapatikana kama kawaida kwasababu hazitumii internet hivyo mtu huhitaji kuwa na bundle kutuma au kupokea SMS!. Hawa New York Times ni waongo!

Alifile hii story kutoka Tanzania ni shirika la habari la AP. Kwa vile mimi ni mwandishi, na kwenye uandishi tulifundwa darasani ukipata story from a single source, kabla hujai publish, editor unapaswa kui verify kwa kufanya kitu kinachoitwa double checking na cross checking kwa watu wengine zaidi ya huyo single source wao, and it was as simple as ABC, unampigia mtu mwingine yoyote aliyeko Tanzania, una verify uliyoambiwa na source wako, jee ni kweli internet was down? Je, hata SMS? Wangepata majibu!.

Uongo kuhusu kutopatikana mawasiliano ya SMS ndio samaki mmoja aliyeoza, katika hili tenga la samaki wa story ya The New York Times kuhusu uchaguzi Mkuu wa Tanzania.

My Take
Kwa kawaida siku zote mimi huwa nashauri uongo ukisemwa na kuachwa kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, siku moja utageuka ukweli, lakini kwa makala hii, sishauri tukanushe uongo huu mdogo kuhusu SMS tuu, huu ni wa kuu puuzia tuu, maana kukanusha uongo wa gazeti kama The New York Times, ni kama kufungua the Pandora Box, kunaweza kufumka mavitu ya ajabu!.

Don't underestimate the powers of media, magazeti ya Marekani!. The Washington Post, limewahi kuandika story ya kashfa ya Watergate, ikampopoa rais wa Marekani toka White House, ikulu akaiona chungu, akabwaga manyanga na kuachia ngazi!.

Hata magazeti yetu, japo mengi ni ya kufungia samaki, lakini kwa mahitaji yetu ya Tanzania na uzalendo!, hakuna gazeti Tanzania linaweza kusema uchaguzi Mkuu haukuwa huru na wa haki, kwa mujibu wa magazeti yetu, uchaguzi mkuu wetu, licha ya kukabiliwa na dosari ndogo ndogo, uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, walioshinda wameshinda kwa haki na kihalali, walioshindwa wameshindwa kwa haki na kihalali, wakubali matokeo, uchaguzi sasa umekwisha , kazi iliyo mbele yetu ni kazi moja tuu, kuijenga Tanzania.

Namalizia na lile swali la msingi la bandiko hili kuwa Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu kwa ukubwa wa kusomwa sana duniani, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki!, Je ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe?.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
Tanzania hakukuwa na uchaguzi mkuu bali kulikuwa na uchafuzi mkuu, asiyeona hilo apelekwe milembe
 
Kwa Mara ya kwanza nmekuelewa rangi yako. Paskali.".Mayala mana yake ni njaa "

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom