THE NEW YORKER: Rais Samia amefika Marekani kusahihisha taswira iliyoachwa na Magufuli aliyeitenga Tanzania na Dunia. Lairarua ziara ya Royal Tour

Ebu fikiria Floor tatu za Ritz carton ni vyumba vingapi? Na wamekaa muda wa siku ngapi? THE OPPORTINITY COST FALLACY njoo huku utetee safari yenu mlivyoikomba nchi!!
Yaani.....au basi!
 

Hebu kasome walivyoandika, acha kuwalalamikia bila kusoma.
The new yorker wenyewe wamemponda Samia.
 
Umesema kweli na ndiyo maana watu kama Hayati Nyerere na Mkapa japo kuna namna wanalaumiwa kwa machache lakini hawafikii namna ambavyo huyu HAYAWANI wa Chato anavyolaumiwa. Sijui kwa nini misukule yake kama tameer au Nyankurungu2020 na Crimea pamoja na Etwege hayaelewi. Akili zao aliondoka nazo Magufuli. Ndiyo maana Zitto anawaambia wakachimbe makaburi yao chato wazikwe karibu na DIKTETA
 
Eti depopulation. Akili ya kipuuzi kabisa. Huoni watoto wa mtaani na Panya road wa kutosha? Achilia mbali ombaomba? Fikra za kusadikika, innuendos na conspiracy theories za kipumbavu zinawatesa sana wajinga mnaaojiona mumeelimika kumbe bure kabisa.
 
Dah!...upo serious mkuu ?...ina maana huko ughaibuni ndio kuna suluhisho la hayo ?

Kwamba kitakachopatikana baada ya hiyo ziara ni zaidi ya gharama za msafara ?.... tusubiri tuone
Statesman
Zinafuatwa pesa, zinazokwenda kutumika huko vijijini, tatizo letu waswahili tumejikita katika lawama mpaka tunapoteza uwezo wa kuyatazama mambo katika jicho lenye usawa.

Royal Tour mambo yakikaa sawa inakwenda kuifungua nchi kwa mapana yake. Inakwenda kutafuta wateja wa biashara zitakazoitumia treni ya umeme, wanakwenda kutafuta wawekezaji watakaoanzisha biashara zitakazoutumia umeme wa Stieglers.
 
Duuh mzafara umejaza floor tatu ya the ritz carlton Hotel.

Na wamekwenda kufanya shopping tu.

Daah.



Kutembea vijijini, kusikiliza matatizo ya Watanzania? SSH hana huo muda labda kusafiri nje ya nchi, kutembelea red carpet, shopping.
 
Weka facts straight, Royal Tour sio sababu ya hayo uliyoyataja. Bila royal tour hayo pia yangeweza kufanyika, japo sio mbaya pia kufanya hiyo royal tour.

Ila Rais kuomba kuwapa Marekani Tembo, faru na Simba ni Jambo la ajabu kidogo. Sijui viongozi wetu wa Afrika wamekumbwa na nini.
 


Neno au maana ya tishio haujalitumia vema. Labda ungefafanua tishio kivipi?
Limetumika kwa usahihi kabisa mkuu.
Tishio (threat) au kikwazo ni neno sahihi kama lilivyotumika.
Yaani hayati hakuonekana kama opportunity kwenye mipango ya aliowaita yeye 'mabeberu'

Unajua kwenye kupanga, ili mambo yaende vema, unaangalia uwezo (strength) weakness (madhaifu) fursa (opportunity) na vikwazo au vitu vinavyotishia mipango kushindwa kukamilika (threats)
Sasa, inaonesha kwenye karibu kila mipango ya mabeberu, hayati JP alionekana kikwazo/tishio!

I hope umeelewa.
 
Aisee. Mzungu si RAFIKI yako, wametuanika big time
sio rafiki hata kidogo wazungu

imagine huyo huyo Peter Greenberg aliyekuwa "rafiki" wa Samia ndio anamchana Samia kwenye hiyo article...

Peter Greenberg ndio aliyesema kwenye msafara wa Samia "everybody wants to go shopping...."

Na ni huyo huyo Greenberg aliyeliambia gazeti kwamba samaki aliyevuliwa na Samia kiukweli alitumbukizwa kwenye mtumbwi kimazingira kwa sababu Samia ni Rais, lakini hakuvuliwa na Samia. Yani Samia mwongo!

Samia hajaishi na wazungu, hajui wazungu walivyo wanafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…