THE NEW YORKER: Rais Samia amefika Marekani kusahihisha taswira iliyoachwa na Magufuli aliyeitenga Tanzania na Dunia. Lairarua ziara ya Royal Tour



 
Ni wazi yule chui naye aliingizwa kimchongo kwenye ile filamu. Hatukuonyeshwa simultaneous/continuous scene inayojumuisha watazamaji, gari na chui. Chui haoenekani hovyohovyo barabarani saa za mchana. Yule samaki aliyevua Samia ni uwongo mtupu. Hata Mwinyi na Greenberg nao eti waliweza kuvua samaki wakubwa tu.
 
JPM alikuwa moto wa Nyuklia. Aliwatikisa na wakatikisika kweli kweli.
JPM hakumwacha salama beberu yeyote awaye yote, ndiyo maana mpaka leo hii bado wanamwogopa hata kama amezikwa kaburini.
Hapo ndipo ujue JPM alikuwa kiboko ya MAFISADI, MABEBERU na AINA ZOTE ZA WAPIGAJI.

Atukuzwe Mungu mkuu aliyetuletea JPM, mzalendo wa kweli na Mwana Afrika wa kweli.
RIP, BABA YETU MPENDWA, JPM.
 
Mi nakujua wewe na mentality zako za kikoloni.
 

Anhaaa.... walitaka tuende na policies zao na ustaarabu wao. Sisi tukaharibu. Okay.

Ustaarabu wao ni haki za wassenge, Unakubali ??????
 
Inakufurahisha kukosa kulipiza kiasasi kwa mbaya wako?
 
Sasa mbona hao uliyowataja kama Ben sanane anakumbukwa kwa huko kupotezwa tu ambacho ni kitendo kibaya ila hakumbukwi kwa mema yake au mabaya yake?

Ila wengine wakifa wanasahaulika mtu kama Maalim seif toka afariki hatajwi tena hata kuzungumzia mema yake.
 
Ujumbe wa mwandishi upo hapa.

........................Pia jarida halijamuacha salama Rais Samia na ziara yake, limeongelea ukubwa kwa idadi maafisa wa Tanzania walioshiriki kwenye safari na kuchukua ghorofa tatu kwenye hoteli ya kifahari ya Ritz huku Greenberg akisema kila mmoja alipenda kwenda kufanya manunuzi huku Rais Samia akipenda 'H&M, Zara na Calvin Klein

Jarida linaendelea kusema Rais Samia alishangazwa maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya wanyama Marekani yalivyo vizuri na kusema anafikiri tuwape simba, kifaru na tembo.
 
limeongelea ukubwa kwa idadi maafisa wa Tanzania walioshiriki kwenye safari na kuchukua ghorofa tatu kwenye hoteli ya kifahari ya Ritz huku Greenberg akisema kila mmoja alipenda kwenda kufanya manunuzi huku Rais Samia akipenda 'H&M, Zara na Calvin Klein
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…