THE NEW YORKER: Rais Samia amefika Marekani kusahihisha taswira iliyoachwa na Magufuli aliyeitenga Tanzania na Dunia. Lairarua ziara ya Royal Tour

THE NEW YORKER: Rais Samia amefika Marekani kusahihisha taswira iliyoachwa na Magufuli aliyeitenga Tanzania na Dunia. Lairarua ziara ya Royal Tour

Mbinu zote alizotumia Magu kupambana na Covid ndio wanazotumia sasa mabeberu.

Kipindi kile covid ikiwa juu.

Jamaa akaruhusu Ligi ya mpira kuanza tena.

Pale ndipo nilielewa the guy was good upstairs.

Wazungu jambo la kwanza walilolifanya nao ni kuruhusu ligi za michezo mbali mbali kurejea.

Hiyo ilikua mbinu nzuri sana ya kuondosha hofu katika jamii.

Nitajie mwanasoka yeyote maarufu aliyeondoka kwa korona.

Ndio ujue ile ilikua ni ajenda ya kishetani ya kupunguza watu duniani.

Na hapa JF zimeanza kuibuka nyuzi za kuishinikiza serikali kuweka sheria ya kulimit namba ya watoto katika familia.

Depopulation ndio agenda kuu kwa sasa za New World Order na ndio wenye mpini kwa sasa na ndio wenye korona yao.

IMG_6933.jpg

IMG_7014.jpg
 
Ni wazi yule chui naye aliingizwa kimchongo kwenye ile filamu. Hatukuonyeshwa simultaneous/continuous scene inayojumuisha watazamaji, gari na chui. Chui haoenekani hovyohovyo barabarani saa za mchana. Yule samaki aliyevua Samia ni uwongo mtupu. Hata Mwinyi na Greenberg nao eti waliweza kuvua samaki wakubwa tu.
 
JPM alikuwa moto wa Nyuklia. Aliwatikisa na wakatikisika kweli kweli.
JPM hakumwacha salama beberu yeyote awaye yote, ndiyo maana mpaka leo hii bado wanamwogopa hata kama amezikwa kaburini.
Hapo ndipo ujue JPM alikuwa kiboko ya MAFISADI, MABEBERU na AINA ZOTE ZA WAPIGAJI.

Atukuzwe Mungu mkuu aliyetuletea JPM, mzalendo wa kweli na Mwana Afrika wa kweli.
RIP, BABA YETU MPENDWA, JPM.
 
Wewe ni mjinga,taja Nchi yeyote ambayo unajua ni mtumwa wa US? Us imesaidia na inasaidia mambo mangapi hapa Tzn na Duniani kwa ujumla,umeona kuna utumwa?

Kama Zambia na Somalia wameamua kufukuza wale tumbili za Kichina na kumleta US ,mimi ni nani niache kuwa upande wa kubwa la mabeberu Ili nifaidi meme ya Nchi?👇
Mi nakujua wewe na mentality zako za kikoloni.
 
Kwani hujui kwamba aliharibu dira ya US hapa Tanzania?

US alitaka kuifanya Tanzania Nchi ya mfano kwenye demokrasia na maendeleo Ili Nchi zingine wajifunze na kuunga mkono siasa na ustaarabu wake..

Sasa mwelekeo wa kipuuzi wa siasa za uhasama za Mwendazake zilihatibu Mchongo..

Anhaaa.... walitaka tuende na policies zao na ustaarabu wao. Sisi tukaharibu. Okay.

Ustaarabu wao ni haki za wassenge, Unakubali ??????
 
Ninajuwa nitakufa, haina ubishi. Lakini kinachonifurahisha ni kuona Magufuli amekufa yeye kabla ya sisi aliotaka tufe kwa kutupiga risasi, kututeka, kutunyang'anya fedha na kutufukuza kazini. Magufuli aliiba uchaguzi wote wa 2020 na akapanga wabunge wake wa kupitisha mabadiliko ya Katiba ili awe Rais wa maisha pale mwaka 2025. Mungu kamuonyesha UKUU wake

Hicho ndicho kinatufurahisha
Inakufurahisha kukosa kulipiza kiasasi kwa mbaya wako?
 
Hata Adolf Hitler hadi leo anatajwa sana,ukifanya mema hata ukifa mema yako yataendelea kuishi,vile vile ukifanya maovju hata ukifa maovu yako yataendelea kuishi. Leo hii tunapomkumbuka Ben Saanane,Azori Gwanda,tunapomuona Tundu Lissu na ulemavu aliopata hatuwezi kuacha kumtaja huyo dhalim.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Sasa mbona hao uliyowataja kama Ben sanane anakumbukwa kwa huko kupotezwa tu ambacho ni kitendo kibaya ila hakumbukwi kwa mema yake au mabaya yake?

Ila wengine wakifa wanasahaulika mtu kama Maalim seif toka afariki hatajwi tena hata kuzungumzia mema yake.
 
Ujumbe wa mwandishi upo hapa.

........................Pia jarida halijamuacha salama Rais Samia na ziara yake, limeongelea ukubwa kwa idadi maafisa wa Tanzania walioshiriki kwenye safari na kuchukua ghorofa tatu kwenye hoteli ya kifahari ya Ritz huku Greenberg akisema kila mmoja alipenda kwenda kufanya manunuzi huku Rais Samia akipenda 'H&M, Zara na Calvin Klein

Jarida linaendelea kusema Rais Samia alishangazwa maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya wanyama Marekani yalivyo vizuri na kusema anafikiri tuwape simba, kifaru na tembo.
 
limeongelea ukubwa kwa idadi maafisa wa Tanzania walioshiriki kwenye safari na kuchukua ghorofa tatu kwenye hoteli ya kifahari ya Ritz huku Greenberg akisema kila mmoja alipenda kwenda kufanya manunuzi huku Rais Samia akipenda 'H&M, Zara na Calvin Klein
 
Back
Top Bottom