Faka25
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 1,738
- 1,134
Sasa hivi Tuko wapi?sio tishio sema kuingiza nchi shimoni kutokana na ushamba wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi Tuko wapi?sio tishio sema kuingiza nchi shimoni kutokana na ushamba wake
Mbinu zote alizotumia Magu kupambana na Covid ndio wanazotumia sasa mabeberu.
Kipindi kile covid ikiwa juu.
Jamaa akaruhusu Ligi ya mpira kuanza tena.
Pale ndipo nilielewa the guy was good upstairs.
Wazungu jambo la kwanza walilolifanya nao ni kuruhusu ligi za michezo mbali mbali kurejea.
Hiyo ilikua mbinu nzuri sana ya kuondosha hofu katika jamii.
Nitajie mwanasoka yeyote maarufu aliyeondoka kwa korona.
Ndio ujue ile ilikua ni ajenda ya kishetani ya kupunguza watu duniani.
Na hapa JF zimeanza kuibuka nyuzi za kuishinikiza serikali kuweka sheria ya kulimit namba ya watoto katika familia.
Depopulation ndio agenda kuu kwa sasa za New World Order na ndio wenye mpini kwa sasa na ndio wenye korona yao.
Mi nakujua wewe na mentality zako za kikoloni.Wewe ni mjinga,taja Nchi yeyote ambayo unajua ni mtumwa wa US? Us imesaidia na inasaidia mambo mangapi hapa Tzn na Duniani kwa ujumla,umeona kuna utumwa?
Kama Zambia na Somalia wameamua kufukuza wale tumbili za Kichina na kumleta US ,mimi ni nani niache kuwa upande wa kubwa la mabeberu Ili nifaidi meme ya Nchi?👇
Wewe ambae una mentality za kujitegemea umesaidiaje Nchi hadi sasa kujitegemea?Mi nakujua wewe na mentality zako za kikoloni.
Ingekuwa tweeter ningekupiga block za kutosha.Wewe ambae una mentality za kujitegemea umesaidiaje Nchi hadi sasa kujitegemea?
Ningeshukuru kwa sababu ku argue na mpumbavu anaweza kufanya na wewe uwe kwenye level zake..Ingekuwa tweeter ningekupiga block za kutosha.
Stress ndiyo nini?Una stress!
Pole sana mkuu.
NaaamHivi, ni kwanini hayati JPM, alionekana kuwa tishio?
Kila agenda lazima atajwe. Itabidi kifo chake kichunguzwe
Kwani hujui kwamba aliharibu dira ya US hapa Tanzania?
US alitaka kuifanya Tanzania Nchi ya mfano kwenye demokrasia na maendeleo Ili Nchi zingine wajifunze na kuunga mkono siasa na ustaarabu wake..
Sasa mwelekeo wa kipuuzi wa siasa za uhasama za Mwendazake zilihatibu Mchongo..
Umevurugwa hadi umepoteaNingeshukuru kwa sababu ku argue na mpumbavu anaweza kufanya na wewe uwe kwenye level zake..
Hata hapa JF unaweza block mbona si una ignore na huoni contents zangu bila shida.
🚮🚮🚮🚮Umevurugwa hadi umepotea
Atalazimishwa kuliwa?Kwa hiyo msaada wa USA ukija na sharti la haki za mashoga poa.
Mwanao wa kiume akiliwa poa ???
Inakufurahisha kukosa kulipiza kiasasi kwa mbaya wako?Ninajuwa nitakufa, haina ubishi. Lakini kinachonifurahisha ni kuona Magufuli amekufa yeye kabla ya sisi aliotaka tufe kwa kutupiga risasi, kututeka, kutunyang'anya fedha na kutufukuza kazini. Magufuli aliiba uchaguzi wote wa 2020 na akapanga wabunge wake wa kupitisha mabadiliko ya Katiba ili awe Rais wa maisha pale mwaka 2025. Mungu kamuonyesha UKUU wake
Hicho ndicho kinatufurahisha
Sasa mbona hao uliyowataja kama Ben sanane anakumbukwa kwa huko kupotezwa tu ambacho ni kitendo kibaya ila hakumbukwi kwa mema yake au mabaya yake?Hata Adolf Hitler hadi leo anatajwa sana,ukifanya mema hata ukifa mema yako yataendelea kuishi,vile vile ukifanya maovju hata ukifa maovu yako yataendelea kuishi. Leo hii tunapomkumbuka Ben Saanane,Azori Gwanda,tunapomuona Tundu Lissu na ulemavu aliopata hatuwezi kuacha kumtaja huyo dhalim.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kisasi katulipia Mungu wetu mwenye nguvu na upendoInakufurahisha kukosa kulipiza kiasasi kwa mbaya wako?
Kvp kwa kuchukua roho ya Mwendazake ndio kalipa kisasi?Kisasi katulipia Mungu wetu mwenye nguvu na upendo