Hapo kwenye nyekundu recipient mkubwa wa mafuta ya Libya sio France bali ni Italy akifwatiwa na Germany.Unafiki wa Wazungu, huo
Gadafi Lazima aende that is no question lakini anaondoka vipi apo ndio kuna mizengwe,
France ndio wanapata mafuta yao mengi toka Libya, UK wana visasi na Gadafi kumbuka huko Lockerbie,
Afghanistan kuna madini gani zaidi ya kusupply Opium na magaidi duniani? Unless uwe unazungumzia habari ambazo zilizoandikwa mwaka jana kuhusiana na kugundulika kwa deposits za iron, copper 10 years baada ya vita kuanza kabla ya hapo hakuna aliyejua.Afghanistan ni madini na Iraq ni mafuta.
Someni historia kidogo early 90s UN walipeleka majeshi Somalia, wakaishia kuchinjwa kama kuku (ref Wanajeshi 50 India/Pakistani), leo hii kuna majeshi ya AU/UN uko Somalia wanauliwa kila siku.David cameron Mshamba fulani anakwenda Libya kwa sababu kuna Mafuta mbona huyo David cameron hapeleki Majeshi yake Somalia? Kwa sababu Somalia hakuna Mafuta huko. Wazungu
Mkuu EqlypzAfghanistan kuna madini gani zaidi ya kusupply Opium na magaidi duniani? Unless uwe unazungumzia habari ambazo zilizoandikwa mwaka jana kuhusiana na kugundulika kwa deposits za iron, copper 10 years baada ya vita kuanza kabla ya hapo hakuna aliyejua.
Mkuu USA sidhani kama ilikuwa inataka Gadhafi aachie ngazi. Gadhaffi amejiingiza mwenyewe kwenye crossheir baada ya kukosa washauri. Alitakiwa awaache walibya waandamane hata miezi kumi na kuruhusu vyombo vya habari vya magharibi kupiga picha watakavyo. Na angekuwa akiwapatia maji, juice na mikate mpaka watakapochoka. Kitendo cha kuanza crackdown wakijua kuwa watu wataogopa ni kosa kubwa alilolifanya, maana kwa mauaji yale huwezi kuwa salama hasa kama watu walikuwa wanakutafutia sababu baada ya kuanguka kwa ndege yao. Hii hatua iliyopo sasa ni sawa na mmakonde kakukuta unapanda kwenye mnazi wake upo katikati anakwambia UCHIPANDE UCHICHUKE, UKIPANDA NCHALE UKICHUKA NCHALE,UKIKAA HAPOHAPO NCHALE
Yaani kwa sasa ni kwamba the hague inamuita labla auwawe au ajiue, maana hataendelea kuiongoza Libya. Busara ikitumika akajiuzulu bado hatakuwa salama.
HofstedeMkuu USA sidhani kama ilikuwa inataka Gadhafi aachie ngazi. watu walikuwa wanakutafutia sababu baada ya kuanguka kwa ndege yao. Hii hatua iliyopo sasa ni sawa na mmakonde kakukuta unapanda kwenye mnazi wake upo katikati anakwambia UCHIPANDE UCHICHUKE, UKIPANDA NCHALE UKICHUKA NCHALE,UKIKAA HAPOHAPO NCHALE
Yaani kwa sasa ni kwamba the hague inamuita labla auwawe au ajiue, maana hataendelea kuiongoza Libya. Busara ikitumika akajiuzulu bado hatakuwa salama.
Mkuu.Wananchi wa Libya ambayo iko Afrika wanauliwa na dikteta ambaye amekaa madarakani kwa miaka karibu hamsini, AU kimya ! Nchi za Kiarabu zote kwa pamoja zimelaani vitendo vya Gadafi na kuiomba dunia ichukue hatua, AU kimya ! Umoja wa Mataifa umepiga kura na kukubali kuchukua hatua ya kuwalinda Walibya dhidi ya Ukoo wa Gadafi, AU kimya ! Natoa wito kwa vijana wa Tanzania wajindikishe kwenda Libya kumsaidia Gadafi kama walivyofanya wakati wa vita vya kwanza Iraq kumsaidia ndugu yao Sadam Husein ?
Kobello, even the armed terrorists are Libyans, what do you expect? the Arab League, despite the USA influence, and UN wants Gadaffi and the terrorists to enter into negotiations to cease fire, but USA and Obama wants Gadaffi out, wants that Gadaffi should not respond to terrorist attacks. Anyway, is USA and OBAMA the spokesman for the Arab League and the UN
Well, I don't support Gadaffi for being in power for more than 40 years. However, I don't support Obama's plan and indeed lust desire to impose no fly zone in Libya and the intention to invade Gadaffi Militarily.
Why prohibit Gadaffi to fight against armed terrorist? Does US and Obama justify terroristic way of Revolution? Gadaffi is not opening fire to demonstrators. What is going on in Libya is not demonstration like it was in Eqypt and Tunisia, it is typical terrorism though it started as demonstration.
Forcing Gadaffi, to stop fighting against terrorist, and forcing him to withdraw his armies from some parts of his country is unacceptable, and contrary to state sovereignty principles.
What I see is that Obama is going to invade Libya unjustifiably, just like Bush did to IRAQ, this is unacceptable. Obama is forcefully insisting at this Juncture, where it is clear that Gadaffi is on the way to Victory.
I call this "OBAMA'S FIRST STUPIDITY
I WISH THIS HAPPENS ONE DAY IN THE LAND OF THE USA so that we can see how the USA will deal with this matter. "NON-SENSE"
Hapo kwenye red ni tetesi au kuna ushahidi?Mkuu may be i missed something.
Unajua kama wale waliojiita waandamanaji walipenyezewa silaha nzito na kuanza kuzitumia badala ya kuandamana?