The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Unafiki wa Wazungu, huo
Gadafi Lazima aende that is no question lakini anaondoka vipi apo ndio kuna mizengwe,
France ndio wanapata mafuta yao mengi toka Libya, UK wana visasi na Gadafi kumbuka huko Lockerbie,
Hapo kwenye nyekundu recipient mkubwa wa mafuta ya Libya sio France bali ni Italy akifwatiwa na Germany.
CrudeoilimportsfromLibya.gif

Afghanistan ni madini na Iraq ni mafuta.
Afghanistan kuna madini gani zaidi ya kusupply Opium na magaidi duniani? Unless uwe unazungumzia habari ambazo zilizoandikwa mwaka jana kuhusiana na kugundulika kwa deposits za iron, copper 10 years baada ya vita kuanza kabla ya hapo hakuna aliyejua.
 
David cameron Mshamba fulani anakwenda Libya kwa sababu kuna Mafuta mbona huyo David cameron hapeleki Majeshi yake Somalia? Kwa sababu Somalia hakuna Mafuta huko. Wazungu
Someni historia kidogo early 90s UN walipeleka majeshi Somalia, wakaishia kuchinjwa kama kuku (ref Wanajeshi 50 India/Pakistani), leo hii kuna majeshi ya AU/UN uko Somalia wanauliwa kila siku.

Ifike wakati watu humu tuanze kuandika kwa facts na sio hearsay.
 
Obama: U.S Ready to Enforce Sanctions in Libya

Last edited by a moderator:
Afghanistan kuna madini gani zaidi ya kusupply Opium na magaidi duniani? Unless uwe unazungumzia habari ambazo zilizoandikwa mwaka jana kuhusiana na kugundulika kwa deposits za iron, copper 10 years baada ya vita kuanza kabla ya hapo hakuna aliyejua.
Mkuu Eqlypz

Pitia hii link ujiridhishe kama hizo deposits zimegundulika baada ya vita kuanza.
No, the U.S. Didn't Just ‘Discover' a $1T Afghan Motherlode (Updated) | Danger Room | Wired.com

Halafu kuna na hii
 
Last edited by a moderator:
Mkuu USA sidhani kama ilikuwa inataka Gadhafi aachie ngazi. Gadhaffi amejiingiza mwenyewe kwenye crossheir baada ya kukosa washauri. Alitakiwa awaache walibya waandamane hata miezi kumi na kuruhusu vyombo vya habari vya magharibi kupiga picha watakavyo. Na angekuwa akiwapatia maji, juice na mikate mpaka watakapochoka. Kitendo cha kuanza crackdown wakijua kuwa watu wataogopa ni kosa kubwa alilolifanya, maana kwa mauaji yale huwezi kuwa salama hasa kama watu walikuwa wanakutafutia sababu baada ya kuanguka kwa ndege yao. Hii hatua iliyopo sasa ni sawa na mmakonde kakukuta unapanda kwenye mnazi wake upo katikati anakwambia UCHIPANDE UCHICHUKE, UKIPANDA NCHALE UKICHUKA NCHALE,UKIKAA HAPOHAPO NCHALE
Yaani kwa sasa ni kwamba the hague inamuita labla auwawe au ajiue, maana hataendelea kuiongoza Libya. Busara ikitumika akajiuzulu bado hatakuwa salama.

Mkuu may be i missed something.
Unajua kama wale waliojiita waandamanaji walipenyezewa silaha nzito na kuanza kuzitumia badala ya kuandamana?
 
Mkuu USA sidhani kama ilikuwa inataka Gadhafi aachie ngazi. watu walikuwa wanakutafutia sababu baada ya kuanguka kwa ndege yao. Hii hatua iliyopo sasa ni sawa na mmakonde kakukuta unapanda kwenye mnazi wake upo katikati anakwambia UCHIPANDE UCHICHUKE, UKIPANDA NCHALE UKICHUKA NCHALE,UKIKAA HAPOHAPO NCHALE
Yaani kwa sasa ni kwamba the hague inamuita labla auwawe au ajiue, maana hataendelea kuiongoza Libya. Busara ikitumika akajiuzulu bado hatakuwa salama.
Hofstede
Msikilize Gaddaffi katika hii video kuanzia dakika ya 5....
Unaweza kuisikiliza yote.
 
Last edited by a moderator:
Well, I don't support Gadaffi for being in power for more than 40 years. However, I don't support Obama's plan and indeed lust desire to impose no fly zone in Libya and the intention to invade Gadaffi Militarily.

Why prohibit Gadaffi to fight against armed terrorist? Does US and Obama justify terroristic way of Revolution? Gadaffi is not opening fire to demonstrators. What is going on in Libya is not demonstration like it was in Eqypt and Tunisia, it is typical terrorism though it started as demonstration.

Forcing Gadaffi, to stop fighting against terrorist, and forcing him to withdraw his armies from some parts of his country is unacceptable, and contrary to state sovereignty principles.

What I see is that Obama is going to invade Libya unjustifiably, just like Bush did to IRAQ, this is unacceptable. Obama is forcefully insisting at this Juncture, where it is clear that Gadaffi is on the way to Victory.

I call this "OBAMA'S FIRST STUPIDITY

I WISH THIS HAPPENS ONE DAY IN THE LAND OF THE USA so that we can see how the USA will deal with this matter. "NON-SENSE"
 
Wananchi wa Libya ambayo iko Afrika wanauliwa na dikteta ambaye amekaa madarakani kwa miaka karibu hamsini, AU kimya ! Nchi za Kiarabu zote kwa pamoja zimelaani vitendo vya Gadafi na kuiomba dunia ichukue hatua, AU kimya ! Umoja wa Mataifa umepiga kura na kukubali kuchukua hatua ya kuwalinda Walibya dhidi ya Ukoo wa Gadafi, AU kimya ! Natoa wito kwa vijana wa Tanzania wajindikishe kwenda Libya kumsaidia Gadafi kama walivyofanya wakati wa vita vya kwanza Iraq kumsaidia ndugu yao Sadam Husein ?
 
Libyans like it,so is the arab league and united nations..so go shove it!
 
Wananchi wa Libya ambayo iko Afrika wanauliwa na dikteta ambaye amekaa madarakani kwa miaka karibu hamsini, AU kimya ! Nchi za Kiarabu zote kwa pamoja zimelaani vitendo vya Gadafi na kuiomba dunia ichukue hatua, AU kimya ! Umoja wa Mataifa umepiga kura na kukubali kuchukua hatua ya kuwalinda Walibya dhidi ya Ukoo wa Gadafi, AU kimya ! Natoa wito kwa vijana wa Tanzania wajindikishe kwenda Libya kumsaidia Gadafi kama walivyofanya wakati wa vita vya kwanza Iraq kumsaidia ndugu yao Sadam Husein ?
Mkuu.
Ushauri wako si mzuri.
Hapa TZ tuna CCM kwa miaka 50? 27? na unafahamu nini wanatufanyia..wapi wanatupeleka. ni vyema hao unaowashauri wabaki hapa TZ ili tujipange vizuri na sisi tudai reforms za maana.

Lakini Gaddaffi hahitaji msaada wa vijana 100 au 1000 wa kitanzania. Ndugu zake wenye uwezo,waarabu wameshamtosa. Ukisikiliza hiyo video ya gaddaffi ya juu utaelewa kuwa gaddaffi ameshatambua kuwa wakati wake wa kuuawa, au kunyongwa umefika.
 
Gaddafi lazima atapata kipondo. Ingawa ametangaza dhamira yake ya kusimamisha vitendo vya kivita, majeshi yake bado yananyemelea Benghazi. Inasemekana hivi sasa majeshi yake yamesogea mpaka kilomita 50 kutoka Benghazi. Nadhani anafikiria wabaya wake wanafanya utani!
 
Kobello, even the armed terrorists are Libyans, what do you expect? the Arab League, despite the USA influence, and UN wants Gadaffi and the terrorists to enter into negotiations to cease fire, but USA and Obama wants Gadaffi out, wants that Gadaffi should not respond to terrorist attacks. Anyway, is USA and OBAMA the spokesman for the Arab League and the UN
 
Kobello, even the armed terrorists are Libyans, what do you expect? the Arab League, despite the USA influence, and UN wants Gadaffi and the terrorists to enter into negotiations to cease fire, but USA and Obama wants Gadaffi out, wants that Gadaffi should not respond to terrorist attacks. Anyway, is USA and OBAMA the spokesman for the Arab League and the UN

Well, I don't support Gadaffi for being in power for more than 40 years. However, I don't support Obama's plan and indeed lust desire to impose no fly zone in Libya and the intention to invade Gadaffi Militarily.

Why prohibit Gadaffi to fight against armed terrorist? Does US and Obama justify terroristic way of Revolution? Gadaffi is not opening fire to demonstrators. What is going on in Libya is not demonstration like it was in Eqypt and Tunisia, it is typical terrorism though it started as demonstration.

Forcing Gadaffi, to stop fighting against terrorist, and forcing him to withdraw his armies from some parts of his country is unacceptable, and contrary to state sovereignty principles.

What I see is that Obama is going to invade Libya unjustifiably, just like Bush did to IRAQ, this is unacceptable. Obama is forcefully insisting at this Juncture, where it is clear that Gadaffi is on the way to Victory.

I call this "OBAMA'S FIRST STUPIDITY

I WISH THIS HAPPENS ONE DAY IN THE LAND OF THE USA so that we can see how the USA will deal with this matter. "NON-SENSE"

You sound like MUSSA KUSSA. Are you providing mercenaries to Gaddafi and you are afraid that the deal will not pay back?. A reasonable person shouldn't play a game of chicken and egg like this.
 
Kama kuna rebels wenye silaha,then ina maana walishafanya maandalizi way before,hii hatua ya wananchi kuandamana ni kama instigation tu towards war,hata kama Gaddafi angewaachia waandamane,bado unaweza kuona wangetafuta sababu ya kupambana kama Gaddafi hatajiuzulu na walishajiandaa kutumia nguvu dhidi ya serikali.
 
Afu MWANASHERIA ninakushauri uandike kwa kiswahili. Utaeleweka vizuri zaidi! Nawasilisha.
 
Gaddafi anasema alaumiwe only kama angekuwa anapambana na wananchi,anadai anapambana na insurgents wenye silaha na ambao wanastir civil war na kuigawanya Libya,na serikali yake ina haki ya kuprotect Taifa kama vile serikali ya marekani ilivyofanya wakati wa civil war kutumia nguvu za serikali kuwalazimisha South wabaki kwenye union.
Gaddafi says thats exactyl what he is doing....Together with a couple of videos i watched,sikutegemea kama Gaddafi ni that smart!
 
Kama yuko wa kulaumu sio Obama peke yake. Waliokamata hatamu ya kutaka Gadafi aondoke kwanza walikuwa Walibya wenyewe, lakini Gadafi tafauti na Misri na Tunis, aliamua kuzibia masikio kilio cha watu wake na kuanza kuwapa kisago. Na walioamua kuwepo na eneo huru lisiloruka ndege za Libya ni Umoja wa mataifa baada ya kupata ridhaa za kwanza kutoka nchi za Kiarabu. Kama hawa wangelikataa kusingefikiwa makubaliano. Lakini zaidi, Uingereza na Ufaransa. Hata Urusi na China ambao wangeweza kupinga kura hiyo waliamua kukaa chonjo ili ipitishwe. Kwa ufupi, Gadafi amekosa uhalali wa kutawala Libya, pili amejijengea maadui mwenyewe.

Hata hivyo, bado nafasi ya kujirekebisha - Walibya wanataka demokrasia - akiwapatia hilo wao wenyewe wataamua kwenye visanduku nani awaongoze.
 
After weeks of hesitation and divisions among his advisers, President Barack Obama endorsed military action against Libya's Moammar Gadhafi, saying U.S. values and credibility are at stake to stop "the potential for mass murder" of innocents.
 
Back
Top Bottom