Achana na hao watoto wa mamushka na chama lao la wagane naona Mungi na Nicas Mtei wamejiunga bado chama la wajane litakaloongozwa na Mamndenyi a.k.a mamushka
Hongera The secretary, yaan siamini toka tunatane na wewe kama miezi tisa ishatimia lol!
ni kwa neema ya Mungu amenipa uzima na afya tele katika kipindi chote cha ujauzito Asante Mungu wa majeshi nashukuru kwani wengine wameweza na wengine hawakuweza lakini mimi bwana amenipa uwezo jina lake lihimidiwe namwomba atuongoze kwani safari tuliyo nayo ni ndefu sana.cc: Karucee asante kwa maombi yako.
Achana na hao watoto wa mamushka na chama lao la wagane naona Mungi na Nicas Mtei wamejiunga bado chama la wajane litakaloongozwa na Mamndenyi a.k.a mamushka
Huwezi hata kumwambia mkapime DNA................... chezea Mungi wewe!!
bado wewe? acha kubana mficha uchi hazai
Lily Flower ana taarifa................... sema lingine!!!!!!!!!!
Afu we umezidi majungu kha!
daaah hongera sana aisee.....barikiwa sana The secretary
umefanyajeeee....mbonamie napata madume tuuuuuuuuuuuuu?!?!?!? Bishanga....ujuzi please...
cc sosoliso
Teh teh..Niombee mwaya..
hii sijaiona, lol!Kifanyio tu ndio cha The secretary
Lol
hii sijaiona, lol!