kerubi afunikaye
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,183
- 1,060
Unafikiri manjagu wanaweza kukaa kimya bure tu,mahali wanapojua watu wanaingiza hela kwa njia haramu?Ukiona wanajua halafu wako kimya ujue.......jiongeze mkuu.Mitaani kuna mengi sana.Hayo makusanyo yanaenda kwa hap matembo na isitoshe polisi wanafahamu haya mambo lakin wamekaa kimya km unaweza kufanya tafiti nenda ubungo stendi ya magari ya mlandiz na mbezi kote uko kuna matembo,
Inasemeka akilewa anageuka kuleta utemi.jamaa mbona alikuwa mtu poa sana dah pole sana kwa familia yake, jamaa mara ya mwisho kumuona ilikuwa alipokuja Moro kupambana na cheka..Mungu amlaze mahali pema inshallah.
hawa "wananchi wenye hasira kali" huwa nawatafuta sana ila sijui pa kuwapata! nilitaka wanisaidie kutatua matatizo fulani hivi kwenye hii serikali yetu tukufu na tulivu isiyojaribiwa.
daah R.I.P Tom,pumzika kwa amani mwanangu.nitaku miss sana man man
sana mkuu kwa mm niliyekulia uswazi na kujimix na wahuni kuna mambo mengi sana ya kihuni yanafanyika ktk jamii zetuUnafikiri manjagu wanaweza kukaa kimya bure tu,mahali wanapojua watu wanaingiza hela kwa njia haramu?Ukiona wanajua halafu wako kimya ujue.......jiongeze mkuu.Mitaani kuna mengi sana.
Jambo hili la watu kujichukulia sheria mkononi linazidi kuota mizizi na likiachwa liendelee ipo siku litasababisha janga kubwa.
Kama serikali imeweza kuzuia mauaji dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi inashindwa nini kuzuia vitendo hivi. Imeshakuwa kama fasheni watu maeneo mbali mbali wanashindana kuua watu wasio na hatia kwa visingizio visivyo na tija.
Tunataka kuona Polisi ikichukua jukumu lake ktk hili. Mahali anapouawa mtu watu wa eneo hilo watiwe msukosuko ukweli ujulikane nani aliyeua.
Mkuu wewe ukitoa info huwa nazikubali. Na inaelekea hivyo kwa huyu jamaa.NI KWELI KABLA HAJAWA BONDIA MASHALI ALIKUWA ANA KABA NA ALIKUWA NA KIKUNDI CHAKE HUKO TANDIKA....TMK WALIOKUWA WANA SHIGULISHA NA UPORAJI HUKU WAKICHEZA NGUMI ....KWA WALE WALIYOFIKA MITAA YA KEKO WATAELEWA NINI NACHOSEMA...
KWA KIFUPI MASHALI ALIKUWA MSELA MAV---
PUMZIKA PANAPO KUSTAHILI T.MASHALI
OVA
Mkuu mrangi. Una info zozote kuhusu Scorpion? Una undani wowote wa ni nini kilitokea?WATU KAMA HAWA WAKINA MASHALI AMBAO KWENYE JAMII WALIKUWA WATUKUTU HAKIJUANZA LEO WALA JANA NI WENGI WALIOKUWA KAMA MASHALI NA WAO YALIWAKUTA HIVYO,WATU AMBAO WANAISHI MAISHA HAYO MWISHO WAO UNAKUWAGA NI MBAYA NA MARA NYINGI SANA HUANGUKIA MIKONONI MWA RAIA..
SIKU ZOTE KIFO HUWA NA,SABABU KUTOKANA MAZINGIRA ANAYOISHI AU MAMBO ANAYOJIHUSISHA HUYO MTU.
MASHALI ALIKUWA MKABAJI,MPORAJI KABLA HATA HAJAINGIA KWENYE NGUMI,KWA SISI TULIYOKULIA MITAA YA KIHUNI NA KUWAFAHAMU BAADHI YA WABABE WAKATI HUO AMBAO MPAKA LEO HII WENGINE HAWAPO DUNIA NA KAMA WAPO BASI RAIA WALIWATIA KILEMA..
SIKU ZOTE KTK MAISHA UTAVUNA ULICHOKIPANDA.
OVA
Mkuu wewe ukitoa info huwa nazikubali. Na inaelekea hivyo kwa huyu jamaa.
Mkuu umenikumbusha mbali. Huyo Paul Sizya alikuwa mbabe na mkorofi.MKABAJI MSELA MAV TU....ALIKUWA,
SEMA WATU NAMNA HII HAWAJIFUNZI KIPINDI CHA NYUMA KUKIKUWA NA BONDIA KMJA ANAITWA PAULO SIZA ALIJUWA ANACHEZA NGUMI UZITO WA JUU,ALIKUWA NAYE ANAKABA......WAKATI ULE PALE LANGATA SOCIAL HALL WATU CHOONI WAKIENDA KUJISAIDIA WALIKUTANA NA VITASA,JAMAA ALIKUWA NA MCHEZO HUO SANA KUWAVIZIA WATU NA KUWAKABA NA KUWACHUKULIA VITU KAMA CHENI,SAA,HELAAA...
ILA NAYE AKIYAKANYAGA KWA RAIAA NAO WALIMALIZAAA HAPO HAPO....
OVA
PAULO SIZA WAKATI HUO WASAFIRI TUMETOKA SAFARI....CHENI KUBWA AH PAUL SIZA MIMACHOO KODO KUNA SIKU ALITAKA NKABAA KUNIONAAA AH AKABAKIa ah KUMBE MJOMBA....NKASEMA DAH KANIKOSA....Mkuu umenikumbusha mbali. Huyo Paul Sizya alikuwa mbabe na mkorofi.
ILE MICHENI ALIYOKUWA ANAVAA PAUL SIZA ILIKUWA YA KUPORA TU..WATUMkuu umenikumbusha mbali. Huyo Paul Sizya alikuwa mbabe na mkorofi.
sio kweli simba asiyefugika (mashali)alikuwa mtetezi wa wanyonge na alipokuwa jela aliwasaidia sana wanyonge labda ungeniambia mada maugo au said mbelwa ningekuelewa ila sio mashaliZa chini chini huku mitaani ni kwamba huyo jamaa watu walikuwa wanamtafutia sababu tu aingie kwenye kumi na nane!Walishamchoka kwa matendo yake.
Huenda wanaume wa Dar ndio wameanza rasmi operesheni "tokomeza" kwa kuangusha tembo.Ila beware na revenge,manake huyo bwana alikuwa na makundi mengi ya wahuni,from Manzese,Tandale to Kimara.
Tahadhari ichukuliwe.
Tandale na Manzese Kamaliza sana watu.Kabla hajaingia kwenye ngumu MASHALI alikuwa Mkabaji mzuri TU huko tmk
OVA