Thomas Sowell: Jinsi Ujamaa wa Nyerere ulivyoiharibu Tanzania

Thomas Sowell: Jinsi Ujamaa wa Nyerere ulivyoiharibu Tanzania

Naongez tu

Ieleweke.Kwa wale wasiojua, Muasisi wa Ujamaa alikuwa KCarl Peters wa Ujerumani. Na baadae kuigwa na Nchi zingine.

ujiridhie kuhusu hilo

Wazungu walijua bila ya uwepo wa aina fulani wa Ujamaa na Kujitegemea, Capitalist system ina lenda ku Collapse.

=======

Itoshe, kuna wajinga na wapuuzi waliomezeshwa nakukaririshwa maneno, kwamba Ujamaa na kujitegemea ni Itikadi ya Kisiasa kama ilivyo itikadi ya WaCommunist wa Ulaya mashariki. Sio kweli kabisa.
Hawajui wanachokiongelea.
Karl Peters au Karl Max?Au Leninn?

"No research no right to speak."
Mao Zedong
 
Wazungu wa west siku zote wamekuwa wakidemonize socialism na communism. There is no way watasifia ujamaa au kumsifia kiongozi wa kijamaa. Chuki za kiitikadi zipo deeply ingrained ni kama ambayo hamas hawezi kusifia chochote cha yahud au shabiki mnazi wa simba asivyoweza kuisifia Yanga.
Ni wazungu hao ndio ambao wamekuwa wakitoa skolaship kwa baadhi yetu kwenda kusoma kwenye vitabu vyao, vyuo vyao, kufundishwa na hao wazungu, na tunakuwa indoctrinated kuwa ujamaa ni mbaya na Nyerere was bad.

Kuna nchi jirani kadhaa, ambazo hazikufuata ujamaa wala hazikuwa na mtu kama Nyerere, ZIKO WAPI KIUCHUMI?

Na toka Nyerere kaondoka, tuko wapi kiuchumi?
Ukomunisti au ujamaa ni mfumo wa kijinga na siku zote lazima ushindwe tu na sababu ziko nyingi sana. Soko huria japo sio perfect lakini ndio kichocheo kikubwa cha ubunifu, uvumbuzi, maendeleo na uhuru wa binadamu kulinganisha na mfumo wowote ule.
 
Kwa msiomjua, Thomas Sowell ni mchumi, mwanahistoria, mwandishi, mkufunzi mwandamizi katika Taasisi ya Hoover nchini Marekani,na kadhalika.

Sowell ni mzaliwa wa Gastonia, NC.

Kwenye hii video, anaizungumzia Tanzania na sera yake ya Ujamaa chini ya Rais Nyerere.

Isikilize/ iangalie halafu tuambie ni wapi kakosea.

I think he is spot on!

View: https://youtu.be/H-tUQmXQ-xk?si=UryuPvS5grgzt_rr

Siyo ujamaa ni usimamizi mbovu
 
Kusema kwamba ujamaa ulifeli na legacy yake haijawa nzuri sana katika nchi sio lawama, ni kuelezea uhalisia wa historia. Pia katika taifa founders ni muhimu sana kwa sababu ndio wanaoweka msingi.
Ni Lawama big time.

China, Cuba na Vietnam zimefail?

Mixed Economies kama Japan na Korea zimefail?

Tanzania sio kwamba hatupigia hatua, ukweli ni kwamba hatua tunapiga taratibu kulinganisha na ukubwa wetu..

Lakini wenye shida zaid ni wale walioamua kugeuza Elimu yetu madarasa ya kufyatua vyeti vya degree....

Vijana wenye degree hawataki uzalishaji mali, mdhara yake walipaji kodi ni wachache kulinganisha na walaji.
 
Ujamaa/Ukomunisti ni Kitu kibaya sana, hakuna ubishi juu ya suala hili.

Kufeli kwa nchi nyingi sana za Afrika zaidi sana kumesababishwa na Ubovu wa akili za waAfrika wenyewe (especially for Black Africans countries).

Rais wa zamani wa nchi ya Afrika Kusini enzi za Utawala wa Ubaguzi wa rangi Bw. Pieter W. Botha aliwahi kusema kwamba "Tuliwakataa, tuliwatenga na kuwaengua kabisa Watu weusi katika mchakato wa maendeleo ya nchi na ujenzi wake kwa sababu hawana akili nzuri. Endapo kama tungewajumuisha basi wangetuharibia mambo yetu mazuri yaliyopo Afrika Kusini leo hii."

Laana inakutafuna. Afrika ya Kusini ni ya Wazungu?
 
Kama sio ujamaa uchumi wetu ungelingana na Kenya.
😭😭kenya katuacha mbali sana GDP yake currently $108.+billion wakati Tanzania ina $79.+billion huoni kuna utofauti mkubwa . Per capital income ya mkenya ni $1808.+annually wakati Tz per capital income ni $1224.+ huoni utofauti mkubwa kuwa kenya katuacha
 
Tanzania ni kubwa karibia mara mbili ya Kenya, ina rasilimali nyingi zaidi ya Kenya na ardhi kubwa ya kilimo kuliko Kenya.
😭😭kenya katuacha mbali sana GDP yake currently $108.+billion wakati Tanzania ina $79.+billion huoni kuna utofauti mkubwa . Per capital income ya mkenya ni $1808.+annually wakati Tz per capital income ni $1224.+ huoni utofauti mkubwa kuwa kenya katuacha
 
Laana inakutafuna. Afrika ya Kusini ni ya Wazungu?
Katika muktadha upi hasa?

1. Ndiyo, Afrika Kusini ni ya Wazungu kwa sababu takribani Asilimia themanini (80%) ya Uchumi wake wote kabisa pamoja na njia zingine zote kabisa za kuijenga Uchumi zinamilikiwa na Wazungu.

2. Hapana, kwa sababu takribani Asilimia themanini na moja nukta mbili (81.2%) ya idadi ya Watu/Wananchi wote kabisa waliopo katika nchi hiyo ni Watu Weusi huku asilimia iliyobaki ni ya idadi ya Watu ambao ni Wazungu, Chotara na Wahindi+Waarabu.
 
Ujamaa/Ukomunisti ni Kitu kibaya sana, hakuna ubishi juu ya suala hili.

Kufeli kwa nchi nyingi sana za Afrika zaidi sana kumesababishwa na Ubovu wa akili za waAfrika wenyewe (especially for Black Africans countries).

Rais wa zamani wa nchi ya Afrika Kusini enzi za Utawala wa Ubaguzi wa rangi Bw. Pieter W. Botha aliwahi kusema kwamba "Tuliwakataa, tuliwatenga na kuwaengua kabisa Watu weusi katika mchakato wa maendeleo ya nchi na ujenzi wake kwa sababu hawana akili nzuri. Endapo kama tungewajumuisha basi wangetuharibia mambo yetu mazuri yaliyopo Afrika Kusini leo hii."
Fahamu kuwa kutoendelea kwa mataifa yoyote ya africa hakuna uhusiano na kufuata itikadi ya kijamaa au kibebari. Mifumo ya kiuchumi ya kibeberu ndiyo inayo control uchumi wa dunia. Mabeberu wakiamua kukupiga pini kiuchumi hutoboi. Na wakiamua pia wanaweza wakakuacha undelezs nchi yako lakini wakijua kuwa wao ndio wanafaidika zaidi. Na media wanacontrol wao. Wanauwezo wa kukupakazia na kusema nchi haijaendelea kwa sababu yako, na watafanikiwa.
 
Nia na malengo yalikuwa mazuri, matokeo yakawa kinyume na malengo...

Niliwahi kutazama makala moja ikielezea sababu zilizoifanya Tanganyika na sasa Tanzania kuporomoka kiuchumi na kuwa taifa hohehae, moja ya sababu zilizotajwa ni pamoja na siasa za kujitegemea na ujamaa
Hii inaakisi kutokufikiri vizuri,kambona aliona yote hayo
 
Yahudi anaweza kusifia hamas sio? Hamwez kuwa waelezeaji wa issue ukiwa una bias simba ulitaja yanga lakini mumeo yahudi umeshindwa kuweka vs ni kama mpuuzi mmoja hapa ety uchumi anasema ungerekebishwa na mkapa na magufuli hv huu udini mpaka lini nyie vibwetere aliona kutaja aliefata baada ya nyerere ni mwinyi akarukia mkapa than magu dah mnajua kujizima data
Elewa hoja.
Hapo mwenye udini ni nani, wewe au mimi?
Au unafikiri ninakuataza usichukie yahudi? Mchukie yeyote, nichukie hata mimi, inawezekana unafaidika na hizo chuki.
 
Uongozi wa Nyerere kwenye uchumi na demokrasia ulikuwa sio kabisa. Namshukuru Mungu kutozaliwa wakati wake. Ila wazee wanasema aliyekuwa na roho mbaya enzi zake ni Kawawa. Huyu mzee alichukiwa mno kwa unoko aliokuwa nao.
 
Kwa msiomjua, Thomas Sowell ni mchumi, mwanahistoria, mwandishi, mkufunzi mwandamizi katika Taasisi ya Hoover nchini Marekani,na kadhalika.

Sowell ni mzaliwa wa Gastonia, NC.

Kwenye hii video, anaizungumzia Tanzania na sera yake ya Ujamaa chini ya Rais Nyerere.

Isikilize/ iangalie halafu tuambie ni wapi kakosea.

I think he is spot on!

View: https://youtu.be/H-tUQmXQ-xk?si=UryuPvS5grgzt_rr

Thomas hajui chochote kuhusu Africa.
Kuna nchi nyingi haizijawahi kufuata siasa za kijamaa na bado hali yao haina tofauti na Tanzania. Mfano Malawi.
Sio tu Malawi ilikataa ujamaa, itakataa hata kuwawekea vikwazo makaburu. Leo Malawi bado ni maskini wa kutupwa.
Kenya huwa inatolewa mfano kama nchi iliyofuata mfumo "sahihi" na kufanikiwa. Na ni kweli Kenya uchumi wao kwa miaka mingi hata leo ni mkubwa kuliko Tanzania. Lakini Kenya na Tanzania zote tulikuwa chini ya malkia. Sote tulikuwa tunatawaliwa kibepari kwa zaidi ya miaka 40, lakini Kenya likuwa juu, tena zaidi kuliko ilivyo sasa.
 
Uongozi wa Nyerere kwenye uchumi na demokrasia ulikuwa sio kabisa. Namshukuru Mungu kutozaliwa wakati wake. Ila wazee wanasema aliyekuwa na roho mbaya enzi zake ni Kawawa. Huyu mzee alichukiwa mno kwa unoko aliokuwa nao.
Uliyakosa maduka ya ugawaji!

Kwenye uchumi na demokrasia alikuwa zero kabisa.
 
Thomas hajui chochote kuhusu Africa.
Kuna nchi nyingi haizijawahi kufuata siasa za kijamaa na bado hali yao haina tofauti na Tanzania. Mfano Malawi.
Sio tu Malawi ilikataa ujamaa, itakataa hata kuwawekea vikwazo makaburu. Leo Malawi bado ni maskini wa kutupwa.
Kenya huwa inatolewa mfano kama nchi iliyofuata mfumo "sahihi" na kufanikiwa. Na ni kweli Kenya uchumi wao kwa miaka mingi hata leo ni mkubwa kuliko Tanzania. Lakini Kenya na Tanzania zote tulilikuwa chini ya Malkia. Sote tulikiwa tunatawaliwa kibepari kwa zaidi ya miaka 40, lakini Kenya likuwa juu, tena zaidi kuliko ilivyo sasa.
Tatizo kubwa ni uongozi bora.

Binafsi ukinipa nichague kati ya ujamaa bila demokrasia na ubepari na demokrasia, jibu lake ni rahisi mno.
 
Ujamaa na Kujitegemea ni Itikadi ya Siasa ndiyo, hususani Siasa za Kikomunisti.
Ujamaa na Kujitegemea ni mojawapo ya misingi mikuu mitatu ya Itikadi za Ukomunisti wenye msimamo mkali, unafahamika zaidi kwa jina la "JUCHE".
Juche Ina Misingi mikuu mitatu, yaani: Jaju, Jurip na Jiraw kulingana na. Sera hiyo ya Ujamaa na Kujitegemea.
Unakoroga mambo tu kwa uchawa wa Wazungu. Upo kipropaganda sana weye.
halafu unalazimisha lazimisha nakujitungia tyu vimaneno.

"Ujamaa" kwa kidhungu chako ni nini? Na "kujitegemea" kwa kidhungu chako pia ni nini?
 
Kwa msiomjua, Thomas Sowell ni mchumi, mwanahistoria, mwandishi, mkufunzi mwandamizi katika Taasisi ya Hoover nchini Marekani,na kadhalika.

Sowell ni mzaliwa wa Gastonia, NC.

Kwenye hii video, anaizungumzia Tanzania na sera yake ya Ujamaa chini ya Rais Nyerere.

Isikilize/ iangalie halafu tuambie ni wapi kakosea.

I think he is spot on!

View: https://youtu.be/H-tUQmXQ-xk?si=UryuPvS5grgzt_rr

Sija angalia video hila ukimsikia mtu anasema ujamaa umehalibu tz muulize ni nchi ngapi za africa zilikuwa azifuati ujamaa hadi Nyerere anaondoka zenyewe zilikuwa bora kiasi gani ...mfano malawi au hata kenya je wakati nyerere anaondoka madarakani walikuwa wametuzidi kiuchumi kwa kiwango kikubwa kiasi gani ? Watu wanashindwa kuelewa kwa sababu ya kukosa akili nyerere alikuwa nanapigania waafrica dhidi ya wazungu hivyo fitina zao kwenye uchumi wetu zilikuwa kubwa....lengo lilikuwa kumkwamisha
 
Back
Top Bottom