Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 422
- 489
Hata kuwafunga wapinzani/ wakosoaji, kuondoa demokrasia, nayo malengo yake yalikuwa mazuri?
Hata kuwafunga wapinzani/ wakosoaji, kuondoa demokrasia, nayo malengo yake yalikuwa mazuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kuwafunga wapinzani/ wakosoaji, kuondoa demokrasia, nayo malengo yake yalikuwa mazuri?
Hata kuwafunga wapinzani/ wakosoaji, kuondoa demokrasia, nayo malengo yake yalikuwa mazuri?
Unaambiwa at one point in the nineteen seventies Tanzania ilikuwa na political prisoners wengi zaidi ya apartheid South Africa, hiyo ni moja ya matokeo mabaya sana ya siasa za Nyerere.Matokeo mabaya ni yapi?
Zinasaidia sana kwa kubaini makosa yaliyofanyika chini ya uongozi wake, mipango yake na itikadi zake ili tusije tukarudia makosa kama yale na kupotea tena njia.Lawama kwa nyerere zinasaidia nini kipindi hiki
Kwa msiomjua, Thomas Sowell ni mchumi, mwanahistoria, mwandishi, mkufunzi mwandamizi katika Taasisi ya Hoover nchini Marekani,na kadhalika.
Sowell ni mzaliwa wa Gastonia, NC.
Kwenye hii video, anaizungumzia Tanzania na sera yake ya Ujamaa chini ya Rais Nyerere.
Isikilize/ iangalie halafu tuambie ni wapi kakosea.
I think he is spot on!
View: https://youtu.be/H-tUQmXQ-xk?si=UryuPvS5grgzt_rr
Kwanini hatukulingana na Kenya wakati wote tulikuwa tunafuata ubepari kati ya 1919 - 1961?Kama sio ujamaa uchumi wetu ungelingana na Kenya.
Hii mifano watanzania wengi wenye vinasaba vya Kenya wanapenda kuitumia sana sana Wapare maana Kenya ni chimbuko lao, ukimsikia tu mtu anaaanza Kenya hivi na Tanzania hivi ooh Kenya hawana Ardhi ooh Tanzania wanayo Ardhi halafu anajiweka upande wa Kenya huku anawaona watanzania km sio namna gani Mpare huyo, watanzania wanayo Ardhi ambayo imehodhiwa na kakikundi cha watu fulani na ukiigusa wanakushughulikia ipasavyoKenya ndiyo unapenda kuitumia kama baseline? Nilidhani ungelinganisha between two time lines
🌤️🙋♂️✍️🎯👏👌👍👊🤝🙏💐🛡️Ni muhimu pia kufahamu kwamba Nyerere alirithi kutoka kwa wakoloni uchumi mzuri uliokuwa unafanya vizuri mfano Kiwanda cha nyama kawe, mashamba ya mkonge, ngano, chai na kahawa, vyama vya ushirika vilivyokuwa imara, benki, reli zilizokuwa zinafanya kazi, mipango miji n.k ila wakati anaondoka madarakani karibia kila kitu katika uchumi kilikuwa kimeenda kombo na kuharibika. Kwa kipimo chochote huwezi kusema huko ni kufanikwa.
Nilitaka niache kukujibu ila ngoja..
Hasira hizi zote ni kwa neno Successors au kun kitu unataka ufafauzi?
Nimechagua successors wa Nyerere ambao walipambania Economic reforms aggressively...
😲🤔🤓Hii mifano watanzania wengi wenye vinasaba vya Kenya wanapenda kuitumia sana sana Wapare maana Kenya ni chimbuko lao, ukimsikia tu mtu anaaanza Kenya hivi na Tanzania hivi ooh Kenya hawana Ardhi ooh Tanzania wanayo Ardhi halafu anajiweka upande wa Kenya huku anawaona watanzania km sio namna gani Mpare huyo, watanzania wanayo Ardhi ambayo imehodhiwa na kakikundi cha watu fulani na ukiigusa wanakushughulikia ipasavyo
Kuendelea kumlaumu Nyerere kwa katiba mbovu ni kuonyesha jinsi gani sisi tuliopo sasa tusivyo na uwezo wowote.Nyerere hakuwa smart angekuwa smart asingeandaa katiba mbovu Kama hii ambayo Ccm wanaitumia Kama silaha ya kubakia madarakani with zero impact.
Pia hakuwekeza katika kuandaa Elimu bora mfano kusema lugha ya kiswahili ni siasa Ambazo hazikuwa na tija .
Ujamaa ni Sera mbovu Sana kuwahi kuandaliwa Tanganyika.
Ujamaa ulifeli kwasababu haikuwa muda wake, ujamaa unauingiza taratbu taratibu kwa kupitia mfumo wa kibepari (nchi kama Denmark na nyingine za ukanda huo baadhi ya watu hupenda kuziita "capitalist countries with strong social policies)Ukomunisti au ujamaa ni mfumo wa kijinga na siku zote lazima ushindwe tu na sababu ziko nyingi sana. Soko huria japo sio perfect lakini ndio kichocheo kikubwa cha ubunifu, uvumbuzi, maendeleo na uhuru wa binadamu kulinganisha na mfumo wowote ule.
Kama nimemsikia vizuri, kaitaja Côte d’Ivoire.Ngosha katoleq mfano nchi ganiya kiafrika ambayo haikufuata ujamaq wa Nyerere na ni bora kuliko Tanzania?
Kwa msiomjua, Thomas Sowell ni mchumi, mwanahistoria, mwandishi, mkufunzi mwandamizi katika Taasisi ya Hoover nchini Marekani,na kadhalika.
Sowell ni mzaliwa wa Gastonia, NC.
Kwenye hii video, anaizungumzia Tanzania na sera yake ya Ujamaa chini ya Rais Nyerere.
Isikilize/ iangalie halafu tuambie ni wapi kakosea.
I think he is spot on!
View: https://youtu.be/H-tUQmXQ-xk?si=UryuPvS5grgzt_rr
Kwa msiomjua, Thomas Sowell ni mchumi, mwanahistoria, mwandishi, mkufunzi mwandamizi katika Taasisi ya Hoover nchini Marekani,na kadhalika.
Sowell ni mzaliwa wa Gastonia, NC.
Kwenye hii video, anaizungumzia Tanzania na sera yake ya Ujamaa chini ya Rais Nyerere.
Isikilize/ iangalie halafu tuambie ni wapi kakosea.
I think he is spot on!
View: https://youtu.be/H-tUQmXQ-xk?si=UryuPvS5grgzt_rr
Vidole viliteleza Hapo kweli nilijichanganya majina.Wewe ungetulia kwanza ujifunze haya mambo kwa undani, Carl Peters aliyekuwa anatapeli ardhi Morogoro alianzisha lini ujamaa?!
Kuna mkuu wa wilaya shabiki wa Thomas Sowell? Nani huyo?Sasa yule mkuu wa wilaya anayependa sana kuvipost vitabu vyake atasemaje?
Kweli, nilichanganya majina.Amechanganyikiwa.
Kweli, lakini Nyerere hakuwahi kuwa na itikadi za Kikomunisti, hivyo basi wewe ndie umejichanganya hapo kwa kulazimisha Nyerere alifuata itikadi hizo.Ni Karl Max na Lenin ndio Waasi wa falsafa hizo