Thomas Sowell: Jinsi Ujamaa wa Nyerere ulivyoiharibu Tanzania

Karl Peters au Karl Max?Au Leninn?

"No research no right to speak."
Mao Zedong
 
Ukomunisti au ujamaa ni mfumo wa kijinga na siku zote lazima ushindwe tu na sababu ziko nyingi sana. Soko huria japo sio perfect lakini ndio kichocheo kikubwa cha ubunifu, uvumbuzi, maendeleo na uhuru wa binadamu kulinganisha na mfumo wowote ule.
 
Siyo ujamaa ni usimamizi mbovu
 
Kusema kwamba ujamaa ulifeli na legacy yake haijawa nzuri sana katika nchi sio lawama, ni kuelezea uhalisia wa historia. Pia katika taifa founders ni muhimu sana kwa sababu ndio wanaoweka msingi.
Ni Lawama big time.

China, Cuba na Vietnam zimefail?

Mixed Economies kama Japan na Korea zimefail?

Tanzania sio kwamba hatupigia hatua, ukweli ni kwamba hatua tunapiga taratibu kulinganisha na ukubwa wetu..

Lakini wenye shida zaid ni wale walioamua kugeuza Elimu yetu madarasa ya kufyatua vyeti vya degree....

Vijana wenye degree hawataki uzalishaji mali, mdhara yake walipaji kodi ni wachache kulinganisha na walaji.
 

Laana inakutafuna. Afrika ya Kusini ni ya Wazungu?
 
Kama sio ujamaa uchumi wetu ungelingana na Kenya.
😭😭kenya katuacha mbali sana GDP yake currently $108.+billion wakati Tanzania ina $79.+billion huoni kuna utofauti mkubwa . Per capital income ya mkenya ni $1808.+annually wakati Tz per capital income ni $1224.+ huoni utofauti mkubwa kuwa kenya katuacha
 
Tanzania ni kubwa karibia mara mbili ya Kenya, ina rasilimali nyingi zaidi ya Kenya na ardhi kubwa ya kilimo kuliko Kenya.
😭😭kenya katuacha mbali sana GDP yake currently $108.+billion wakati Tanzania ina $79.+billion huoni kuna utofauti mkubwa . Per capital income ya mkenya ni $1808.+annually wakati Tz per capital income ni $1224.+ huoni utofauti mkubwa kuwa kenya katuacha
 
Laana inakutafuna. Afrika ya Kusini ni ya Wazungu?
Katika muktadha upi hasa?

1. Ndiyo, Afrika Kusini ni ya Wazungu kwa sababu takribani Asilimia themanini (80%) ya Uchumi wake wote kabisa pamoja na njia zingine zote kabisa za kuijenga Uchumi zinamilikiwa na Wazungu.

2. Hapana, kwa sababu takribani Asilimia themanini na moja nukta mbili (81.2%) ya idadi ya Watu/Wananchi wote kabisa waliopo katika nchi hiyo ni Watu Weusi huku asilimia iliyobaki ni ya idadi ya Watu ambao ni Wazungu, Chotara na Wahindi+Waarabu.
 
Fahamu kuwa kutoendelea kwa mataifa yoyote ya africa hakuna uhusiano na kufuata itikadi ya kijamaa au kibebari. Mifumo ya kiuchumi ya kibeberu ndiyo inayo control uchumi wa dunia. Mabeberu wakiamua kukupiga pini kiuchumi hutoboi. Na wakiamua pia wanaweza wakakuacha undelezs nchi yako lakini wakijua kuwa wao ndio wanafaidika zaidi. Na media wanacontrol wao. Wanauwezo wa kukupakazia na kusema nchi haijaendelea kwa sababu yako, na watafanikiwa.
 
Hii inaakisi kutokufikiri vizuri,kambona aliona yote hayo
 
Elewa hoja.
Hapo mwenye udini ni nani, wewe au mimi?
Au unafikiri ninakuataza usichukie yahudi? Mchukie yeyote, nichukie hata mimi, inawezekana unafaidika na hizo chuki.
 
Uongozi wa Nyerere kwenye uchumi na demokrasia ulikuwa sio kabisa. Namshukuru Mungu kutozaliwa wakati wake. Ila wazee wanasema aliyekuwa na roho mbaya enzi zake ni Kawawa. Huyu mzee alichukiwa mno kwa unoko aliokuwa nao.
 
Thomas hajui chochote kuhusu Africa.
Kuna nchi nyingi haizijawahi kufuata siasa za kijamaa na bado hali yao haina tofauti na Tanzania. Mfano Malawi.
Sio tu Malawi ilikataa ujamaa, itakataa hata kuwawekea vikwazo makaburu. Leo Malawi bado ni maskini wa kutupwa.
Kenya huwa inatolewa mfano kama nchi iliyofuata mfumo "sahihi" na kufanikiwa. Na ni kweli Kenya uchumi wao kwa miaka mingi hata leo ni mkubwa kuliko Tanzania. Lakini Kenya na Tanzania zote tulikuwa chini ya malkia. Sote tulikuwa tunatawaliwa kibepari kwa zaidi ya miaka 40, lakini Kenya likuwa juu, tena zaidi kuliko ilivyo sasa.
 
Uongozi wa Nyerere kwenye uchumi na demokrasia ulikuwa sio kabisa. Namshukuru Mungu kutozaliwa wakati wake. Ila wazee wanasema aliyekuwa na roho mbaya enzi zake ni Kawawa. Huyu mzee alichukiwa mno kwa unoko aliokuwa nao.
Uliyakosa maduka ya ugawaji!

Kwenye uchumi na demokrasia alikuwa zero kabisa.
 
Tatizo kubwa ni uongozi bora.

Binafsi ukinipa nichague kati ya ujamaa bila demokrasia na ubepari na demokrasia, jibu lake ni rahisi mno.
 
Unakoroga mambo tu kwa uchawa wa Wazungu. Upo kipropaganda sana weye.
halafu unalazimisha lazimisha nakujitungia tyu vimaneno.

"Ujamaa" kwa kidhungu chako ni nini? Na "kujitegemea" kwa kidhungu chako pia ni nini?
 
Sija angalia video hila ukimsikia mtu anasema ujamaa umehalibu tz muulize ni nchi ngapi za africa zilikuwa azifuati ujamaa hadi Nyerere anaondoka zenyewe zilikuwa bora kiasi gani ...mfano malawi au hata kenya je wakati nyerere anaondoka madarakani walikuwa wametuzidi kiuchumi kwa kiwango kikubwa kiasi gani ? Watu wanashindwa kuelewa kwa sababu ya kukosa akili nyerere alikuwa nanapigania waafrica dhidi ya wazungu hivyo fitina zao kwenye uchumi wetu zilikuwa kubwa....lengo lilikuwa kumkwamisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…