PostGE2025 THRDC Yapendekeza Oktoba 29 kuwa siku ya kitaifa ya kumbukizi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Bila shaka hiyo siku ntakuwa ganja sana na ntakuwa chimbo pori na blast na wanyama wangu!
 
Hizi habr zitawasaidia vp uchaguzi Mkuu 2030?
Wenzenu CCM huko wako busy kupanga safu zao kuelekea 2030 nyie mko busy kutaftiza vijihabari. Ikifika 2030 mnapigwa tena then mnarudi nyuma ya keyboard kuweka mabandiko
Uko radhi kufirwa kisa CCM
 
Kumuomba ridhaa ya nini? Hiyo ni siku ya raia na Haina uhusiano na taasisi yoyote so raia tukiamua iwe siku ya maombolezo na itakuwa
 
Inakuwaje tusipokuwa na low iq’s kama wao wanavyofikiria?
 
That's a last nail onto the pretty casket of the tyrant/CCMs!
 
Naunga mkono hoja. Hii siku iitwe Samuya Massacre Day.
 
Wakati mwingine sio vizuri kukaa ukisubiri diagnosis ya psychiatrist. Just do your own diagnosis and check in at the nearest psychiatric facility!
 
Wakati mwingine sio vizuri kukaa ukisubiri diagnosis ya psychiatrist. Just do your own diagnosis and check in at the nearest psychiatric facility!
Chizi anawaona wengine wote kwamba ni machizi isipokuwa yeye. Asante kwa ushauri wako, nitaufanyia kazi
 
Hizi habr zitawasaidia vp uchaguzi Mkuu 2030?
Wenzenu CCM huko wako busy kupanga safu zao kuelekea 2030 nyie mko busy kutaftiza vijihabari. Ikifika 2030 mnapigwa tena then mnarudi nyuma ya keyboard kuweka mabandiko
Sasa wewe unawashwa wapi? Tuwe wakweli wewe kama wewe wapi panawasha?
 
Sasa wewe unawashwa wapi? Tuwe wakweli wewe kama wewe wapi panawasha?
Kinachoniwasha ni jinsi nyie CHADEMA ya sasa mnavyokiharibu chama na siasa za upinzani kwa ujumla. Badala ya kujenga chama na upinzani kwa ujumla, nyie mko busy kudemka na mambo yasiyosaidia chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…