mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,950
- 5,317
Kwa nini hao wasio wastaarabu hawachikuliwi hatua?RIP baba yake mayala Former RSO, ila hao watekaji sio toka idarani ni watu tu wasiokua wastaarabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini hao wasio wastaarabu hawachikuliwi hatua?RIP baba yake mayala Former RSO, ila hao watekaji sio toka idarani ni watu tu wasiokua wastaarabu
RIP baba yake mayala Former RSO, ila hao watekaji sio toka idarani ni watu tu wasiokua wastaarabu
Mkuu inafika mahali baba mwenye nyumba anaenda jikoni kupika(bandarini) kukamata mchanga[emoji3] [emoji3] [emoji3] wazee wa miwani myeusi wao wako bize kukimbizana na kina roma.Labda yako,kwa ufisadi uliofanywa uko nyuma TISS walikua wapi?
Mkuu inafika mahali baba mwenye nyumba anaenda jikoni kupika(bandarini) kukamata mchanga[emoji3] [emoji3] [emoji3] wazee wa miwani myeusi wao wako bize kukimbizana na kina roma.
Sasa mtu anashindwa kutofautisha hizi scenarios mbili. Ya mzee wake Mayalla tayari kulikuwa na facts ambazo Nyerere alizitumia kuwawajibisha watu. Sasa hii ya bungeni na kelele za bavicha na kina Lissu utaiwajibishaje TISS? Kwenye speculation tu!Unamhoji kaka msomi wa spesho skul na UDSM?
Utakuwa kilaza wewe...
====
Ni kweli hawa TISS ni wanachama watiifu wa ccm lengo ni kutesa na kuuwa wanaopingana nao.Kutaka TISS ivunjwe ni sawa na kuibana CCM korodani zake!! Kuiua ni kuvunja uti wa mgongo wa CCM
Na log off. Nikipotea mjue tayari niko na Ben Saanane
Hoja binafsi ilishakataliwa jana....
Wanadai tz hakuna utekwaji au mauaji holela wakati kila siku wanaokotwa watu wameuawa.[emoji20] [emoji20]
.
.
Wabunge wa ccm wanasema hauna mauaji,,, ally kessy kasema, roma angeuawa......mmmhhhmm!!!
Hizi ndo zama mpya walizotaka.juzi kati hapa mello alivyotiwa nguvuni mzee wa zama mpya alicharuka kama mbogo.TISS iko chini ya rais ambaye Mimi Mwanakijiji alifunga siku 40 ili Magufuli awe rais
Kwa yote yanayoendelea naamini Mwanakijiji atakuwa kafurahi sana rohoni mwake na anachekelea
Mkuu hata ya bashite na clauds bado nayo sio fact?Sasa mtu anashindwa kutofautisha hizi scenarios mbili. Ya mzee wake Mayalla tayari kulikuwa na facts ambazo Nyerere alizitumia kuwawajibisha watu. Sasa hii ya bungeni na kelele za bavicha na kina Lissu utaiwajibishaje TISS? Kwenye speculation tu!