Nani kakuambia uchunguzi tayari, kaletewa samansi akajieleze ana haki ya kujibu au kutojibu.Ndiyo utaratibu wa ICC, halafu uchunguzi gani wamefanya miezi miwili!?
Jana alikuwa Kizimkazi anakata keki ya siku ya kuzaliwa leo nadhani yupo Dodoma.Samia anadunda mitaa gani.
Wee jamaa unaonekana una akili lakini unachoandika hakiendaniAzunguke mikoani wakati wapo Mawaziri na wakuu wa mikoa? Wengi wetu hatujui ukubwa wa cheo cha Rais.
Endeleeni kumpa mama yenu moyo.Danganyaneni tu, endeleeni kupeana moyo.
Shida mumewekwa kwenye vitengo halafu hamna ELIMU yoyote na uwezo ni mdogo
Shoot and kill Kwa raia asiyekuwa na Silaha hakuna Sheria ya namna hiyo kimataifa!!
Shoot and kill huwezi kuwafuata nyumbani na kwenye vibanda umiza wasio husika
Shoot and kill huwezi kufyatua risasi sehemu ambayo wandamaji hawapo ?
RAIA asiye kuwa na Silaha ya moto mabomu ya machozi na maji ya washawasha yanatosha kumkimbiza
Polisi , JWTZ na wote mlioko kwenye vitengo mnafikiria Kwa kutumia makalio
Wengi wa humu ni wajinga tuAzunguke mikoani wakati wapo Mawaziri na wakuu wa mikoa? Wengi wetu hatujui ukubwa wa cheo cha Rais.
Jana alikuwa Kizimkazi anakata keki ya siku ya kuzaliwa leo nadhani yupo Dodoma.
Haha anaacha kufanya sikukuu za kitaifa anakimbilia kufanya birthday utazani mtoto wa chekechea.Jana alikuwa Kizimkazi anakata keki ya siku ya kuzaliwa leo nadhani yupo Dodoma.
Miaka yote aliyokua anazunguka hao wakuu wa mikoa na mawaziri hawakuwepo?Azunguke mikoani wakati wapo Mawaziri na wakuu wa mikoa? Wengi wetu hatujui ukubwa wa cheo cha Rais.
Alipokua anafanya hivyo hao wakuu wa wilaya hawakuwepo?Wengi wa humu ni wajinga tu
Wanafikiri kazi ya Rais ni kuzunguka mikoani au kwenda kufungua daraja ambalo hata mkuu wa wilaya anaweza kulifungua
Nani kakuambia uchunguzi tayari, kaletewa samansi akajieleze ana haki ya kujibu au kutojibu.
Moja ya utetezi wake ni huu...
I HAD to use EXCESSIVE FORCE to SLAUGHTER innocent civilians, they wanted to OVERTHROW my regime.
Alipokua anafanya hivyo hao wakuu wa wilaya hawakuwepo?
Acha ujinga, mwaka gani huo alikuwa anazunguka mikoani? Hakuna Mawaziri au wakuu wa mikoa hadi Rais akae kuzunguka mikoani kila wiki?Miaka yote aliyokua anazunguka hao wakuu wa mikoa na mawaziri hawakuwepo?
Hiyo kesi yao wanayoiota inapata ugumu kwa sababu ina sura ya kundi fulani kutaka kuipindua nchi.YANI WEWE NA HILO KANISA WOTE NI VICHAA
UKITAKA WALE WAHUNI WAACHWE WANAICHOMA NCHI NA MALI ZA WATU HADI WAFIKE IKULU WAPINDUE NCHI NA.SERIKALI NDIPO WEWE UFURAHI??
KANISA KATOLIKI TUNAJUA DRAMA ZAO KAMA ZA RWANDAN GENOCIDE HAPA BONGO ZIMEFELI...
HII NCHI IKO IMARA NA KANISA HALIWEZI YUMBISHA TAIFA HILI.
Nchi inakwenda vizuri tu yeye akiwa huko huko Dodoma, hakuna mradi uliosimama.Miaka yote aliyokua anazunguka hao wakuu wa mikoa na mawaziri hawakuwepo?
Kila mtu na malezi yake aliyokulia.Haha anaacha kufanya sikukuu za kitaifa anakimbilia kufanya birthday utazani mtoto wa chekechea.
Alipokua akitembelea huko nchi ilikua inaenda vibaya?Nchi inakwenda vizuri tu yeye akiwa huko huko Dodoma, hakuna mradi uliosimama.
Walimchukulia poa Samia sababu ni mwanamke, mbona wakati wa Magufuli waliufyata kimyaHiyo kesi yao wanayoiota inapata ugumu kwa sababu ina sura ya kundi fulani kutaka kuipindua nchi.
Vyombo vya usalama vilitumia nguvu nyingi katika kuitetea dola isipinduliwe, huwezi kumshtaki Rais aliyetumia nguvu kwa mujibu wa katiba akiwalinda watu na mali zao.
Kuna swali hawa jamaa inabidi walijibu, vipi hao jamaa wangeachwa wakaichoma nchi halafu wakaichukua ikulu, je watetezi wao wangekuja na hizi habari za ICC?.
Walileta uhuni wakafanyiwa uhuni mkubwa zaidi.
Anapiga kazi, lipo kundi kubwa la wateule wake wanafanya kazi nyingi na nzito.Alipokua akitembelea huko nchi ilikua inaenda vibaya?
Wapuuzi sana hawa jamaa, wamekuja kugundua kuwa mwanamke ni hatari sana anapopewa madaraka makubwa kuliko mwanaume.Walimchukulia poa Samia sababu ni mwanamke, mbona wakati wa Magufuli waliufyata kimya